Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,403
- 920
Tanzania Daima, Kiu, Uwazi, ni kundi mmoja ni magazeti pendwa ya Udaku.
Sasa hayo majina ya mawaziri yapo wapi?
KUna watu wengine ni tatizo tu; sijui kwanini wanafikiria waatu wanahitaji kujua majina ya mawaziri; sasa hao watu waliotajwa (japo hawajatajwa) wakisema hawakuomba hivyo itakuwaje? Hata kama wlaikuwa na mpango ina maana hawa kina Lema hawana hekima kabisa ya kujua nini vya kusema na nini vya kutokusema?
yupo right kutaja..jee kama ni propaganda.MM wakti mwingine unataka kila mmoja aunge mkono hoja zako.una siasa chakavu wewe..
KUna watu wengine ni tatizo tu; sijui kwanini wanafikiria waatu wanahitaji kujua majina ya mawaziri; sasa hao watu waliotajwa (japo hawajatajwa) wakisema hawakuomba hivyo itakuwaje? Hata kama wlaikuwa na mpango ina maana hawa kina Lema hawana hekima kabisa ya kujua nini vya kusema na nini vya kutokusema?
tatizo la chadema ni attention seekers...wanataka kila siku wawe kwenye headlines...wenzio ccm wako kimya headlines zao zitaanza 2014..chadema wataishiwa na nguvu ikifika 2014 kama wasipoangalia vizuri
Magazeti makini yaliobakia kwa sasa ni Uhuru na Habari Leo
Bado sijaelewa busara inayotumiwa na CHADEMA kuhusu mawaziri wa ccm wanaotaka kuhama. CHADEMA wanafaidi nini kwa kuwataja especially sasa wakati tuna miaka 2 na ushee kabla ya uchaguzi mkuu? Sijaipenda kabisa hii move.
KUna watu wengine ni tatizo tu; sijui kwanini wanafikiria waatu wanahitaji kujua majina ya mawaziri; sasa hao watu waliotajwa (japo hawajatajwa) wakisema hawakuomba hivyo itakuwaje? Hata kama wlaikuwa na mpango ina maana hawa kina Lema hawana hekima kabisa ya kujua nini vya kusema na nini vya kutokusema?
KUna watu wengine ni tatizo tu; sijui kwanini wanafikiria waatu wanahitaji kujua majina ya mawaziri; sasa hao watu waliotajwa (japo hawajatajwa) wakisema hawakuomba hivyo itakuwaje? Hata kama wlaikuwa na mpango ina maana hawa kina Lema hawana hekima kabisa ya kujua nini vya kusema na nini vya kutokusema?
Ok sasa wakija huko CDM na wakiutaka Uraisi kama Mh Shibuda itakuwaje?