Lema ang'aka kuhusu Zanzibar, Amwambia Chenge asijione Mungu mdogo

Ha ha ha Nagu alikuwa Waziri eti Leo anauliza swali LA nyongezaaaa uuuhu
Kwani mtu akiwa Waziri akiachia ngazi haruhusiwi kuuliza swali la nyongeza. Jamani hivi hawa wabunge wanajua kweli responsibilities zao Bungeni. Yaani wanasema maneno wanayojua yatawafurahisha hao wanachama wao badala ya kuzungumza mambo ya maana kwa ajili ya mustakhabali wetu. mpaka sasa nadhani UKAWA wanajua wanawakilisha Vyama vayo wake up! naona bado mko kwenye usingizi wa pono. Na hii itawacost. Tuna Rais Intelligent ambae anaweza kuchambua vitu vikaeleweka wakw rika zot, jinsia, zote na washabiki wa vyama vyote!!! Mh. Rais naomba kwenda kutoa elimu kwa wabunge topic moja tu Roles and responsibilities zao as wabunge! tena kwa kujitolea!! Ntawaonyesha clips za wabunge na mifano hata ya Halmashauri iliyokuwa na wabunge wa vyama viwili lakini kwenye malumbano FOCUS ni kwa MWANANCHI na si vinginevyo!
 
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amesema leo bungeni suala la Zanzibar si la kichama,Ni suala la nchi na lisipotafutiwa ufumbuzi lina athari kwa kila mtu.

Lema amewaambia wabunge wa CCM hii nchi ikiharibika hata watoto wao wataharibikiwa na hawawezi kukaa madarakani kwa maisha yao yote.

Lema amemtolea mfano mbunge Marry Nagu na kumwambia akumbuke serakali iliyopita alikuwa waziri,Lakini leo naye anauliza maswali ya nyongeza.

Lema alienda mbali zaidi na kumwambia Mwenyekiti wa bunge Chenge asijione ni mdogo wake Mungu kwa kukalia kiti cha spika.

Godbless Lema nimegundua ni mbunge bora wa muda wote,Viva Chaliii

Hawahawa Mh. Magufuli angeenda kusolve wangesema anavunja katiba. Sielewi kabisa wanalolitaka. Hawahawa wangesema ooh anavunja Katiba nk. Mh. Magufuli is very very smart anajua mwenyewe anavyolishughulikia. mlikuwa mnataka kama zamani kila data mnayo. Hili jambo linashughulikiwa kisayansi, tena ya hali ya juu. Kwa taarifa yenu Mh. is very very porpular huku. Na ninaamini anachofanya ni kuheshimu na kufuata utaratibu.
 
ameshugulikia kinini saasa mkuu,..wakati ye anapigilia msumali kukandamiza demokrasia
kusov angewapa cuf haki yao mkuu
 
Nikisikia jina la CCM,...
roho inaniuma,...i hate them forever
nitawafundisha na vizazi vyangu vyote ubaya wa hili chama,..

hata mimi pia nitawafundisha
 
Acha ujinga, na kupisto ili uonekane upo. Usichanganye mada, c Zanzibar hapa hatuongelei mambo uliolishwa kichwani. Ujitahidi kupambanua akili zako, baada ya miaka 10 au 20 utakuwa wapi, na umechangia nini kwa watakao baki. Unaanza kumuongelea Mh Lowasa, ni ujinga na kuonyesha hupambanui kit kichwani mwako. Power no Permanent.
Chochote kinahosemwa na mtu wa chadema ni cha kupuuza,vigeugeu hawaaminiki.
 
Sio wakati wote kinachosemwa kwa MANENO kitakuwa sawia na MATENDO! Man can speak of an Ocean like it is a new Miracle on Earth!!
 
Duh. Haya majanga sasa Lema kawa mbunge bora. Sema tu ukweli kuwa watu wa Arusha hawakuwa na option zaid ya Lema. Lakin kiuhalisia Lema hafai kuwa mbunge. Ni bomu na ni kupoteza muda
 
ameshugulikia kinini saasa mkuu,..wakati ye anapigilia msumali kukandamiza demokrasia
kusov angewapa cuf haki yao mkuu
Usilolijua ni kama usiku wa kiza. Mimi niko ZnZ na ninaelewa kila kitu kilichofanywa na CUF. Lakini masikini tena watanzania bara ndio wanaoshupalia wakati hata ukweli wenyewe hawaujui. Kifupi Katiba haimruhusu Rais Kiungilia uchaguzi wa Zanzibar period. Maalim anajua kilichofanyika na ndio maana ali-entertain hata hayo mazungumzo kwani anajua atakapobanwa kwa walichokifanya.
 
Teeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh, mkuu wewe jiandae kwa mashambulizi toka kwa viwavi
Mbona mnachochea mambo kwa kusema ni bomu hatari. Mjue kuwa hilo bomu litadhibitiwa kabla halijalipuka. Tuna intelijensia imara. Nadhara mungedili na namna ya kumtoa babu Seya gerezani kama mlivyo ahidi na kupania wakati wa uchaguzi.
 
Nikweli tuliahidi kumtoa babu seya,endapo tunge ingia ikulu sasa lubuva hakutaka tufanye hayo tuliyo yaahidi,vipi mbona mnawakimbia wadhungu?
 
Tatizo la ccm wanasubiri mpaka wakose tonge, ndiyo waanze muongea ukweli, mfano :- Msekwa, Sitta, Membe etc, lakini wakiwa kwenye kijani & njano zao, daaaaaaah! Unaweza sema labda wao hawana mpango wa kuja kuishi kwenye hii Nchi yetu ya TZ.
Ha ha ha mbona umewasahau kina Lowassa na wengine
 
Duh. Haya majanga sasa Lema kawa mbunge bora. Sema tu ukweli kuwa watu wa Arusha hawakuwa na option zaid ya Lema. Lakin kiuhalisia Lema hafai kuwa mbunge. Ni bomu na ni kupoteza muda
Option ipi unayo maanisha wewe mkuu?ina maana lema alikuwa mgombea pekee?hakuna vyama vingine vilivyo kuwa kwenye uchaguzi huo?unataka kusema kuwa lema amekubalika kiasi hicho hadi vyama vingine kuogopa au kuamua kumuunga mkono kwa kutopeleka wagombea wao?nimeamini kabisa ukiwa mwana ccm lazima ujitoe ufahamu na wewe ni mmoja wapo tayari ufahamu huna
 
Mkuu Lema ni bomu na ni janga la taifa. Katika vitu ambavyo kila Mkazi wa Arusha atakwambia ukweli ni uwezo wa mbunge wao Lema. Uwezo wa Lema ni mdogo sana na ni janga la taifa. Kwa sabb Arusha ni ngome ya chadema hakukuwa na option nyingine zaid ya kuchagua Lema. Lakin ukweli utabaki pale pale kuwa Lema ni bomu na ni janga la taifa
 
Kalitegue basi hilo bomu,Mtaendelea kuugulia maumivu
 
Back
Top Bottom