Lema ang'aka kuhusu Zanzibar, Amwambia Chenge asijione Mungu mdogo

Na vipi alipoosema ni fahari kwa Mungu kumzomea na na kumnanga fisadi lowassa? Unakubaliana nae?
Ndio nifahari kweli kumzomea riz kama fisadi lowasa yuko wazi alishasema fisadi ni kikwete au nalo umesahau?
 
Katika bunge la 11 Mbunge wa Arusha mh. Godless Lema alitoa hotuba moja matata sana ya maslahi ya taifa yenye hoja lukuki, maneno ya kipekee ambayo ingefaa sana kama taifa hii iwe hotuba ya kihistoria na iwekwe katika MAKUMBUSHO ya taifa kwa ajili ya kizazi kijacho. Jambo hili si la mzaha hata kidogo japo ma CCM watakuja hapa na hoja dhaifu na matusi!

Crocozilla: hoja yako ingekuwa na mashiko kama ungeambatanisha na nukuu au dondoo chache za hiyo "hotuba matata sana ya maslahi ya taifa yenye hoja lukuki". Kwa maana kila amsikiliziaje mtu huguswa na baadhi ya naneno, maudhui, hoja au hata matamshi. Hivyo basi, twambie yaliyokugusa. Pia tupe sababu kwa nini unadhani hiyo hotuba inafaa kuwekwa KUMBUKUMBU kitaifa tena kwenye MAKUMBUSHO ya Taifa. La ni ushabiki tu.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Hahahhahh kumbe ndio maana siasa initwa mchezo mchafu eehhhh okay kuna kitu nimepata hapo
 
Hotuba ya Godbless Lema ilikuwa ni nyundo,ni msumari wa moto kwa wahafidhina wote wa CCM.
Ni speech ya kukumbukwa
 
Lema Ni hazina ya Taifa letu Ata ngosha analijua Hilo hapo magogoni.

Ndo maana kafanywa waziri wa mambo ya ndani japo kivuli, vipi kama angekua ndo waukweeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. kawa muwazi na kaonyesha uzalendo wa kweli, anastahili sana.peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez!!!!!!!!!!!!!!!
 
Bangi iruhusiwe tuu maana hii kuvutia choon mnaleta mada za hovyo

uweke huo upupu makumbusho kweli
 
HAKIKA BADO MIZUKA YA GODBLESS LEMA INANIZINGUA SANA KICHWA, aliongea maneno mazito sana kwa waelewa na hasa wafuatiliaji wa mambo ya historia za nchi mbalimbali hasa zilizokumbwa na Ugaidi ama vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Alitoa mifano ya waziwazi kabisa ili angalau mwenye macho ya rohoni na aone na mwenye masikio mawili na asikie neno alilokua akitoa nabii wa kizazi kipya, Siyeogopa suluba za kisiasa na asiyeogopa kusema ukweli. Unaweza kufanya uzinzi kwa siri lakini huwezi kupata Ukimwi kwa siri.

Hakika viongozi wa CCM wakumbuke kua auaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga. Hongera sana Kamanda Lema, kumbuka tunakutegema sana pamoja na makamanda wengine woooote tuiowatuma Bungeni.

Msijipendekeze hata kwa mchuzi kwa maana huku tunawaona tu kupitia mitandao ya kijamii japo jamaa wamebania TBC YETU, wamesahau kua ni kodi zetu ila msijali.

Tupo nyuma yenu daima. ukija Chuga tutafute wanachama watiifu hapa Kijenge juu.
 
kuwa Rais wa Arusha A Town si mchezo.ccm walikimbia wenyewe?Alimwambia chenge kuwa hicho kiti asijifananishe na Mungu.kila kitu kina mwisho.

swissme
 
HAKIKA BADO MIZUKA YA GODBLESS LEMA INANIZINGUA SANA KICHWA, aliongea maneno mazito sana kwa waelewa na hasa wafuatiliaji wa mambo ya historia za nchi mbalimbali hasa zilizokumbwa na Ugaidi ama vita vya wenyewe kwa wenyewe. Alitoa mifano ya waziwazi kabisa ili angalau mwenye macho ya rohoni na aone na mwenye masikio mawili na asikie neno alilokua akitoa nabii wa kizazi kipya, Siyeogopa suluba za kisiasa na asiyeogopa kusema ukweli. Unaweza kufanya uzinzi kwa siri lakini huwezi kupata Ukimwi kwa siri. Hakika viongozi wa ccm wakumbuke kua auaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga. Hongera sana Kamanda Lema, kumbuka tunakutegema sana pamoja na makamanda wengine woooote tuiowatuma Bungeni. Msijipendekeze hata kwa mchuzi kwa maana huku tunawaona tu kupitia mitandao ya kijamii japo jamaa wamebania TBC YETU, wamesahau kua ni kodi zetu ila msijali. tupo nyuma yenu daima. ukija Chuga tutafute wanachama watiifu hapa Kijenge juu.

Lema ukimsikiliza sio siri unajua kabisa kuna baadhi ya nyuzi haziko sawa kichwani.Ana wehu fulani hivi.Sijajua vizuri lakini nahisi labda katika ukoo wao kuna mtu aliwahi ugua kichaaa yeye karithi
 
Back
Top Bottom