Mizizi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 1,275
- 391
kweli alifanya mengi mojawapo kuhakikisha Mwalimu Nyerere
ametoweka.
Kujitwalia kiwira, kufanya biashara akiwa ikulu, kuchukua mabilioni NSSF, kukarabati ikulu kwa mabilioni, Kumuua Mwl Nyerere, Kuuza Nyumba za serikali, Kuuza shirika la Reli, Kumuuzia mama Anna Mkapa Lamada apartments, Kuingiza Tz wawekezaji Uchwara, Kuratibu ukwapuaji wa EPA, Kutununulia ndege Mbovu ya Rais, Radar, kuuza viwanja vya Wazi, kupora ardhi yetu na kuwapa wazungu, Kuua watu pemba na Unguja, Kuua waislamu Muembe chai, Kutoa chuo cha Umma cha Tanesco Morogoro na Kuwapa Waislamu hadi leo hatuna wataalamu wa umeme na hivyo umeme unakatika katika, Serikali yake kushindwa kusimamia mambo ya msingi na kusababisha maafa makubwa kama vile Ajali ya Treni na MV Bukoba!Kuajili wasio raia wa Tz kwenye sekta nyeti kama vile Daudi Balali! Kuwapiga mabomu wanafunzi wa vyuo vikuu! Kutuletea kiongozi Mbovu! Kutuongezea Idadi ya wanajeshi wasiokuwa na Kazi yoyote! Kuuza madini yetu kwa bei chee, eti kwa mrahaba wa 3%. Pumbav zake