Lema ameanzia mbali sana tangu TLP ALIPATA KURA...

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
Mheshimiwa lema ameanzia siasa mbali mwaka 2005 aligombea ubunge kwa tiketi ya TLP na kupata hapo ndipo nakuja na hoja ya umuhimu wa kuwa na mgombea binafsi ni wengi sana wanabanwa na hivi vyama vya siasa wakati wana uwezo so plz cdm hakikisheni katiba mpya inatoa uhuru huo japo kuna hofu ya kudhoofika kwa vyama lakini kwa vyama imara vitadumu tu.
 
Uchaguzi wa mwaka jana CDM kuna sehemu hata wangesimamisha jiwe lingeshinda. Anyway, Lema anajua how to maintain integrity.
 
Mheshimiwa lema ameanzia siasa mbali mwaka 2005 aligombea ubunge kwa tiketi ya TLP na kupata hapo ndipo nakuja na hoja ya umuhimu wa kuwa na mgombea binafsi ni wengi sana wanabanwa na hivi vyama vya siasa wakati wana uwezo so plz cdm hakikisheni katiba mpya inatoa uhuru huo japo kuna hofu ya kudhoofika kwa vyama lakini kwa vyama imara vitadumu tu.

ujambazi wenzake sita waliuwawa na polisi baada ya kwenda kupiga eneo la chekereni 1997 yeye alifaikwa kukimbia na pia muuza mitumba akifahamika kama godii
 
Nauliza tu maana kuna methali inatufundisha kuwa " aisifuye mvua........" na ile nyingine inatuonya " kuchamba kwingi.......' hivyo ni vema wanasiasa wakavumiliana maana kila mbuyu na shetani wake, ahsanteni!
 
Back
Top Bottom