Lema alipukiwa na vigelegele na Shangwe kwenye msiba wa wana CCM

Kamanda Lema anachokisimamia katika taifa letu hakika HAKIFAHAMU MIPAKA YA KI-ITIKADI za kisiasa nchini hvyo bado wanasiasa wengi sana wataendelea kupigwa butwaa na mwanaharakati huyu pamoja na CHADEMA.

Kutetea dhana ya UBINADAMU, HAKI NA UTU WA MTANZANIA kwa gharama yoyote ile. Big up Kamanda Lema, Big Up CHADEMA na Big up sana 'Nguvu ya Umma' bila kujali chama chako ulimo!!
 
yes uko correct, ame experience kitu cha ajabu msibani, ameshtushwa katika hali ya majonzi umekuwepo mlipuko wa furaha baada ya umati kumuona kipenzi chao yani kipenzi cha watu wa arusha yani mh. Lema, umeeleweka kamanda, endelea kutuhabarisha km kuna zaidi apo...

Kamanda huku hakuna la ziada zaidi ya vituko vichache vya wanamagamba kama vile Mukama kuonekana mnyonge na vibaraka wachache wa chama na serikali kama vile RCO kumwangalia kwa dharau sana Lema huku wananchi wakiendelea kuonyesha ushirikiano na CDM zaidi kuliko ccm.vilevile kuna
wakina Mrisho Gambo katibu wa uvccm. Ameonekana amekaa mbali kabisa na Beno Malisa nalazamika kuondoka na msafara niliokuja nao kwa kuzingatia itifaki na viongozi wa chama na serikali wanaondoka pia huku Beno akiwa amefuatwa na wanamagamba wanaojipendekeza na Kamanda Lema ametoka na kama kawaida anasalimiana na masela waliokuwa huko baada ya kushindwa kuingia ndani kutokana sehemu zote kujaa natamani kumsalimia nashindwa kutokana na itifaki itaniletea kiwingu.
 
CDM bana! vigegele kwenye msiba! .... i wonder what next ...

"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯


kilichotokea ni kwamba wanawake wa Jiji la Arusha walishinwa kabisa kuificha upendo mkubwa waliyonayo kwa mbunge wao huyo kipenzi. Ambaye yuko tayari kujitoa kafara kwa ajili yao. Tafadhali msimwonee wivu anainjoy matunda ya uaminifu wake kwa wananchi wake. Big up president of Arusha Honourable Godbless Lemma!!!
 
Huyo RCO na wenzake si wanatamani kumtwanga risasi sema tu jamaa anasimama kwa nguvu ya umma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom