Lema akwepwa; Atakiwa kuleta ushahidi kwa maandishi siyo kuhutubia!

wabunge wenu wana pupa na wamejaa ulimbukeni! na inabidi muwatahadhalishe mapema! bungeni si mahali pa matusi na dharau! waambieni uchaguzi umekwisha tunataka kusikia hoja sio matusi! shame on you CHADEMA kutupelekea wahuni bungeni

Nahisi huyu ni "shake well brain"
 
Basically, Hon. Lema was interrupted and could not finish his argument. From this you can tell that the intention was to stop him from making his statement. They feared he would spit fire against them. Sasa alete ushahidi wa nini? Na kwa kitu gani? Actually, that depicts how foolish CCM and its Speaker are.
 
Wakuu wa JF,
Habari kutoka mjengoni zinatabaisha kuwa ccm wameshtukia dili utetezi wa Mh.Gobless Lema (Chadema) dhidi ya hoja ya spika wa bunge mh Anne Kitoto cha ndege. Spika amenukuliwa kuliambia bunge kuwa mh lema sasa atatakiwa kujitetea kimaandishi na siyo kuhutubia bungeni kama ilivyopangwa. Wadau wa karibu na hilo lichama konge barani africa ambalo siku si nyingi tutashuhudia anguko lake wanaseama ccm wamesense kuendelea kuharibika kwa public image yake ndo maana wameona walikwepeshe hilo kombora (Long range missile) kwa style hiyo.

Source; Mdau aliyeko bungeni

Wamegundua kwamba, Lema yupo sahihi na kwa kuwa Lema alikuwa front line basi atakuwa na perfect information kuliko mtu aliyeletewa karatasi la propaganda akasome ama bila yeye kujua au kwa makusudi ya kutaka kuPINDA ukweli. Na kama Lema angepewa ukumbi wa kujitetea basi hakika umma ungekuwa nyuma yake. Baada ya kuwakilisha Lema atatakiwa kutozungumzia utetezi huo kwa vyombo vya habari hadi hapo maamuzi yatakapofanyika baada ya miaka mitano. Hiyo ndiyo strategy ya kulimaliza suala hili kiutu uzima.
 
tutajua ni waongo tu ... maana kama GL hatawajibishwa then jibu ni kwamba uthibitisho wake ni wa kweli.

ingawa natia shaka hata kama ukiwa ni wa kweli anaweza kuwajibishwa tu ili ionekane kuwa alikosea.

tusubili
 
CCM NA SPIKA WAKE AKA KITOTO CHA NDEGE NGASTUKA KWANI WATAACHWA UCHI.nAANGALIA BUNGE SASA KAMA VILE KASEMA KESHO WATAENDELEA NA HOJA MBALI MBALI ZA WABUNGE
 
Ni kwamba bado hawajamfaham vzr Lema ni nani, ngoja niwaibie siri ni kwamba Lema ni Mcha Mungu mzuri tu, so hapendi kweli ipindishwe, he is the man of truth oriented also he is the active and action oriented politician, afu km ccm wangeweza kufika kwenye hotuba na kampen zake za kuomba ridhaa ya kuwawakilisha wananchi wa Arusha alisema kuwa anaenda bungeni kupambana na uongo wa viongozi wa ngazi za juu, so that is the first, so Mr Pinda!! af akasema kuwa hamwogopi mtu wala kiongozi yeyote asiyekuwa na maadili safi ya uongozi yeye anamwogopa Mungu tu!! tofauti na ccm wanaomwogopa Shekhe yahya tu, CCM you should have to take your chance to ofence youeselves coz the hands of our lord is in its position. Wana JF mi nawahakikishia CCM haitamweza Lema, na wamejichanganya kumwambia kua ajitetee kwa maandishi!!! CCM kwa kheri coz hii nayo haitowaacha!!
 
Acha ijinga na utoto wewe, wanajua kuwa ukweli wote utatolewa na kufichuliwa hivyo wanatumia hiyo njia ya maandishi ili kuficha uchafu wao, kwani ni nani hawajui?
siku zao ni 40 tu
ni uamuzi wa busara maana hakawii kuporomosha matusi yule mchaga! bunge lina hadhi yake bwana sasa hayo matusi yake ni bora ayaandike halafu ayasome aone yana sound vipi! TV zinaangaliwa na watoto siku hizi ala!
 
Kwa taarifa tu hata hayo maandishi hajapeleka, Speaker anapingana na kanuni. Ni lazima awasilishe kwa kuongea sio maneno. Nyie CCm acheni upenzi usio na maana angalieni fact. Waziri hawezi kudanganya sisi tusio na pakusemea tukae kimya na walio na pakusemea pia wakae kimya. Huo utakua ni upuuzi mkubwa. Ndo maana ya kubeba dhamana ya wananchi lazima uwawakilishe kama Lema alivyofanya.
 
Spika ni below standard..kulikuwa na shida gani ajitetee huyio mbunge watu wajadili?
 
Wakuu wa JF,
Habari kutoka mjengoni zinatabaisha kuwa ccm wameshtukia dili utetezi wa Mh.Gobless Lema (Chadema) dhidi ya hoja ya spika wa bunge mh Anne Kitoto cha ndege. Spika amenukuliwa kuliambia bunge kuwa mh lema sasa atatakiwa kujitetea kimaandishi na siyo kuhutubia bungeni kama ilivyopangwa. Wadau wa karibu na hilo lichama konge barani africa ambalo siku si nyingi tutashuhudia anguko lake wanaseama ccm wamesense kuendelea kuharibika kwa public image yake ndo maana wameona walikwepeshe hilo kombora (Long range missile) kwa style hiyo.

Source; Mdau aliyeko bungeni

Haina shida. Nina uhakika tutalipata laivu na ikiwezekana Tanzania daima, Raia mwema na Mwanahalisi waichapishe ili watz wengi wasomeee. CCM hawaishi kutapatapa...
 
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amesikitishwa na hatua ya kutopewa nafasi ya kutoa ushahidi Bungeni leo, kuhusu agizo alilopewa na Spika, kuthibitisha kwa ushahidi kuwa Waziri Mkuu amelidanganya Bunge..
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari, Lema amesema yuko tayari kuchagua kupigwa risasi kuliko kufuta kauli yake aliyoitoa Bungeni, YA KUOMBA mwongozo wa spika wa nini kifanyike endapo Waziri Mkuu analidanganya Bunge.

Source: ITV NEWS BULLETIN(0800PM)
 
Duh ... huyu chalii ni mgumu balaa .... hana wasiwasi kabisa na mimi nimemsikia
 
Huyu ni mwakilishi wa wakazi wa Arusha na si Pinda wala Makinda ambao hawakuchaguliwa..wasimchezee na kumbabaisha hata kidogo, maana watakuwa wanachezea kazi aliyotumwa kuwakilisha
 
Kweli itajulikana na kweli itawawela huru. Mijitu mingine mitunzi ya uongo tu, uongo haujengi hata siku moja, uongo husababisha maumivu kwa jamii. Enzi za kutawala kwa kutumia uongo zilimalizwa na Gobachev. Tumuogope Mungu. Taifa lisilomuogopa Mungu huangamia.

Msema ukweli ni kipenzi cha Mungu, Mwongo ni mwana halisi wa shetani.
 
Topic kama hizi zingenoka sana kama angeliwapo MALARIA SUGU ah uko wapi kaka njoo utetee jahazi wanalizamisha hawa.
 
Back
Top Bottom