Lema akwepwa; Atakiwa kuleta ushahidi kwa maandishi siyo kuhutubia!

Yangu macho na masikio kama ni kweli Lema aitishe press conference bse hizi ni zama za uwazi na ukweli
 
"Ni uamuzi wa busara maana hakawii kuporomosha matusi yule mchaga! bunge lina hadhi yake bwana sasa hayo matusi yake ni bora ayaandike halafu ayasome aone yana sound vipi! TV zinaangaliwa na watoto siku hizi ala!"

Kama ni matusi angeaachwa atukane tani yake kisha achukuliwe hatua kali, hakuna tusi jipya duniani. Nahisi kuna kandege ka CCM ndani ya CDM kamechunguliwa majibu ya Lema na kubaini yana nguvu za hoja kakaenda kumtonya Makinda...
 
kalagabaho akilili unayoongelea ni hiyo ya kuufanya uongo kuwa kweli na ukweli kuwa uongo? Watanzania wameerevuka sasa twataka ukweli na utendaji
 
Tanzania Ipo shughuli kipindi hiki, Mungu atupe uzima tuyashuhudie mabadiliko makubwa yaliyo mbele yetu!
 
Ningekuwa mshauri wa anayejiita mtoto wa mkulima kama sifa -ningemshauri akiri alichosema kilikuwa kutoka upande mmoja -sasa amepata upande mwingine ataunda tume huru kulishugulikia tatizo na wauaji wafikishwe mahakamani haraka haki itendeke kama hawapo juu ya sheria.
 
Tunasubiri kujua ukweli halisi wa mambo na wala si siri kwani wakati mtoto wa mkulima anateleza ilikuwa siri?. Naomba Mh. Lema atueleze watanzania hadharani hata kama Anna Makinda amekwepa upuuzi wake alioutaka ili kumchafua zaidi mtoto wa mkulima.

Kwa siasa hizi hatutaendelea kamwe labda kizazi cha tatu kutoka sasa ambacho kitahakikisha KIDUMU kimemwagika kabisa.
Mtimbwafs hatungoji kizazi cha tatu majibu lazima yatolewe hadharani wakati ni sasa. Kama huyo mama Spika alikusudia kuzima hoja ya kupata kanuni ya ukweli na uongo wa mtoto wa Mkulima.
Kama ni hivyo basi wabunge wa opposition au bunge kwa ujumla wake watakuwa hawana imani na Spika anaye tetea uongo!!!!!!!
 
wabunge wenu wana pupa na wamejaa ulimbukeni! na inabidi muwatahadhalishe mapema! bungeni si mahali pa matusi na dharau! waambieni uchaguzi umekwisha tunataka kusikia hoja sio matusi! shame on you CHADEMA kutupelekea wahuni bungeni

kalagabaho wewe ni mshhh.........eenzzzzzi na paaambaf kabisa.

Jina lako kalagabaho linajieleza: ni jitu lilolozubaazubaa halina mbele wala nyuma liko palepale!

Hivi unafikiri wewe KWA AKILI YAKO FINYU Mhe.Lema angeweza kuwasilisha ushahidi wa matusi yapi pale. Kwani yale mauaji ya Arusha ilikuwa ni fumanizi kwamba pengine angelisema kuwa alimshika mgoni wake akiwa ana....kwenye.....ya mkewe???????????

Acha ujinga mpuuzi mkubwa wewe. Kitu walichokinusa WENZAKO WA CHAMA CHA MAJAMBAZI(CCM) ni kuwa ULE USHAHIDI NI KWELI TUPU NA LAZIMA UNGELITIKISA BUNGE KAMA UNGELISOMWA MOJA KWA MOJA. Makinda alipotea stepu kwa kumtrishia Mhe. Lema kuwa alete ushahidi mpaka leo akifikiri kuwa Lema asingeweza kupata huo ushahidi ilhali umejaa kila pembe ya Nchi hii!!!!

Wewe kalagabaho wakti CHADEMA inaendelea KUFANYA VITU VYA UHAKIKA.




 
kalagabaho umejinyea kachambe! cry-boy leo angejikojolea kama si kujinyea! amshukuru huyo ajuza asiyejua kanuni za bunge kwa kumuokoa!
 
Mhuni anajulikanaje? Huwezi kujua mhuni bila wewe kuwa mhuni. So mhuni wa zamani ni mhuni tu hata wakitokea wahuni vijana! Hebu fikiria wewe ni mzee sasa halafu unitwa mhuni inakaaje man?
wabunge wenu wana pupa na wamejaa ulimbukeni! Na inabidi muwatahadhalishe mapema! Bungeni si mahali pa matusi na dharau! Waambieni uchaguzi umekwisha tunataka kusikia hoja sio matusi! Shame on you chadema kutupelekea wahuni bungeni
 
Wakuu wa JF,
Habari kutoka mjengoni zinatabaisha kuwa ccm wameshtukia dili utetezi wa Mh.Gobless Lema (Chadema) dhidi ya hoja ya spika wa bunge mh Anne Kitoto cha ndege. Spika amenukuliwa kuliambia bunge kuwa mh lema sasa atatakiwa kujitetea kimaandishi na siyo kuhutubia bungeni kama ilivyopangwa. Wadau wa karibu na hilo lichama konge barani africa ambalo siku si nyingi tutashuhudia anguko lake wanaseama ccm wamesense kuendelea kuharibika kwa public image yake ndo maana wameona walikwepeshe hilo kombora (Long range missile) kwa style hiyo.

Source; Mdau aliyeko bungeni
Hiyo ni mbinu ya chama tawala kupata hicho walichonacho cdm ili waweze kujadili kwanza jinsi ya kukabiliana nao katika vikao vya chama , lazima mama atakuwa alilimwa memo kukumbushwa yaliyotokea baada ya kumshambulia na kumsimamisha mhe. Kabwe wakati wa bunge la 9.
 
Wana jf, l am a new member. But hawa ccm watazuga mpaka lini? siku yao yaja
 
wabunge wenu wana pupa na wamejaa ulimbukeni! na inabidi muwatahadhalishe mapema! bungeni si mahali pa matusi na dharau! waambieni uchaguzi umekwisha tunataka kusikia hoja sio matusi! shame on you CHADEMA kutupelekea wahuni bungeni

Mkuu ni vizuri ukalitumia hili jukwaa kubadilishana idea na watanzania wenzako kuliko kutukana umma wa watanzania, hakuna mbunge yeyote aliyepelekwa bungeni na chama chochote cha siasa bali ni maamuzi ya wananchi, ustaarabu haununuliwi naamini si haki kuwatukana Watanzania zaidi ya milioni mbili na nusu waliyoiamini Chadema na kuipigia kura na kati ya hao mamilioni wapo waalimu, wanajeshi, madaktari maphd holder, maprofesa wanafunzi n.k, narudia tena hata kama una kaswende ya ubongo si busara kuutukana umma wa Watanzania.
Muungwana ni vitendo.
 
bao la kisigino liko wapi sasa! na hao wabunge wenu vilaza mtakoma mwaka huu! pale sio kijiweni mwendo ni kutunga sheria na kujenga hoja sasa hao kina mr 2 na lema waendelee tu na maneno yao ya kampeni lazima watiwe kamba!
We huujui mchezo wa siasa unavyochezwa so ni bora utafute mwanaume (sijui we ni wa jinsia gani thou nhisi sio ya kiume) wa kukupenda leo utulie naye mle valentine. Mchezo wa siasa waachie wataalam wa CDM kwani umeishaambiwa Mnyika na Lissu wameipitia hiyo maneno lazima watatoka na kitu cha uhakika. Wale machalii hawabahatishagi mamaangu...
 
wabunge wenu wana pupa na wamejaa ulimbukeni! na inabidi muwatahadhalishe mapema! bungeni si mahali pa matusi na dharau! waambieni uchaguzi umekwisha tunataka kusikia hoja sio matusi! shame on you CHADEMA kutupelekea wahuni bungeni

huyo aliyepelekwa na CDM kamshinda wa CCM, shame on you Chichiem kusimamisha vilaza!
 
Wakuu wa JF,
Habari kutoka mjengoni zinatabaisha kuwa ccm wameshtukia dili utetezi wa Mh.Gobless Lema (Chadema) dhidi ya hoja ya spika wa bunge mh Anne Kitoto cha ndege. Spika amenukuliwa kuliambia bunge kuwa mh lema sasa atatakiwa kujitetea kimaandishi na siyo kuhutubia bungeni kama ilivyopangwa. Wadau wa karibu na hilo lichama konge barani africa ambalo siku si nyingi tutashuhudia anguko lake wanaseama ccm wamesense kuendelea kuharibika kwa public image yake ndo maana wameona walikwepeshe hilo kombora (Long range missile) kwa style hiyo.

Source; Mdau aliyeko bungeni
apeleke tu kwa maandishi, copy waandishi wa habari and JF of course
 
Back
Top Bottom