Lema akutana na Meya wa jiji la London nchini Uingereza

Mkuu Ritz
Usihangaike sana na molemo, Gwalihenzi & co Lema ameenda kufuturisha London hiyo ndiyo namna walivyobunu kula pesa ya ruzuku hivi ile M4C aliyokuwa akiifanya Dar iliishia wapi?

Chama
Gongo la mboto DSM

Hebu tuambie mkuu Lema amekula Tsh ngapi ili tuchangie vizuri. Tusije badilisha jukwaa la great thinkers kuwa kitu kingine sasa.
 
Kwa wale ambao wameshasoma alama za nyakati ukutani, 2015 ni siku ya mazishi ya CCM na matanga kuanuliwa siku hiyohiyo. Msimamizi wa mirathi ya nchi tayari anaandaliwa. Hivyo safari ya Lema na wengineo wa M4C zina baraka zote kwa maandalizi haya.
 
Sasa kama wewe umenifuatilia sana ukajua sifahamu kiingereza na mie kuna ubaya gani nikimfuatilia Lema na hatimaye nimejua kuwa Lema hajui kingereza...kama una ushahidi wa video clip Lema anaongea kingereza au anafanya munakasha wa kingereza weka humu JF.

Halafu ulivyokuwa muongo umeumbuka muanzisha thread kakuchuuza kabadilisha Lema na Meya watakutana jumanne wewe unasema wameishaongea.

Hivi kuna uhusiano gani kati ya ubora wa kiingereza cha mtu na leadership qualities. Lema is a very credible leader. Mafisadi wengi waliotumia kiingereza chao vizuri wakafanikisha kuweka fedha zao uswizi na LEMA, afadhali yupi? Hivi nchi hii tumefika sasa tunapimana kwa viwango vya lugha ya mkoloni wetu badala ya kiswahili? Aibu.
 
Kwani wanaoenda Uchina ni lazima wajue Kichina? Au wanaokuja huku kwetu toka uchina ni lazima wajue Kiswahili au Kingereza? Mbona urafiki kati ya Tanzania umedumu miaka mingi bila kujali tofauti zetu kwa ligha?
 
Ebu pitia michango yote kuanzia post #1 mpaka ya mwisho hakuna mtu yeyote kashangaa Lema kwenda Uingereza sio issue kwenda Uingereza issue ni Lema kuonana na kufanya mazungumzo na Meya wa London, Wanabodi wanahoji lugha gani wameongea sababu wanasema Lema hajui kiingereza na Meya wa London hajui kiswahili au kulikuwa na mkalimani...kama una clip yeyote ambayo Lema anaongea kiingereza tuwekee mkuu tumalize ubishi.


Mbona sisi wengine tuliosoma UDSM pamoja na Ridhiwani tunajua kiingereza chake, lakini hatushangai wala hatuulizi akienda nje anaongea lugha gani? Mbona kwa Lema mnataka kuleta kuwa Issue? Kwani kati ya English na Kiswahili ni ipi ambayo ukikosea unatakiwa uone aibu zaidi?
 
Mkuu Ritz
Usihangaike sana na molemo, Gwalihenzi & co Lema ameenda kufuturisha London hiyo ndiyo namna walivyobunu kula pesa ya ruzuku hivi ile M4C aliyokuwa akiifanya Dar iliishia wapi?

Chama
Gongo la mboto DSM

Idiot....
 
Haya bhana! Sasa matawi 7 uk yanasaidia nini wakati hawataruhusiwa kupiga kura? Chama kimeona kuna umuhimu wa kwenda uk wakati hapa Tz sehemu za vijijini ndio kwanza hata balozi wa nyumba 10 kutoka cdm hamna? Naipenda cdm lakini si kwa mtindo huu!

Wapende wajumbe wa nyumba kumi kumi ambao hawaelewi dunia inaendaje, ila wanajua sana bendera, kofia T-Shirt na Kanga za CCM
 
Mbona sisi wengine tuliosoma UDSM pamoja na Ridhiwani tunajua kiingereza chake, lakini hatushangai wala hatuulizi akienda nje anaongea lugha gani? Mbona kwa Lema mnataka kuleta kuwa Issue? Kwani kati ya English na Kiswahili ni ipi ambayo ukikosea unatakiwa uone aibu zaidi?

Haya bana kila la heri kwenye mkutano wenu huko London.
 
Hebu tuambie mkuu Lema amekula Tsh ngapi ili tuchangie vizuri. Tusije badilisha jukwaa la great thinkers kuwa kitu kingine sasa.

Mkuu Aweda,
Wewe ni mjumbe wa baraza pitia Kinondoni ulizia matumizi ya hiyo safari ni ufisadi tu wengi wa hao watanzania hawana uwezo kupiga kura na wengi wao hawana uwezo wa kusafiri nje ya UK kutokana na matatizo ya kisheria cha zaidi wengi walijilipua ukimbizi, sasa jiulize wanatija gani na chama? Unakumbuka Lema alivyokuwa akifanya mikutano kila siku Dar? Yaliishia wapi zaidi ya kuwa ilikuwa ni njia kujipa ulaji?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Ana akili kwako anakuambia Lema kaishaongea na Meya wa London kumbe kaongea na Haruna Mbeyu...naona umeamua kubadili ID.
kwa taarifa yako ma actor wa holywood wengi ni maarufu na wanapewa heshima kuliko mayor wa London.Wanatembea Arusha na kupokelewa na madogo waliofeli hivyo vidato na kupiga course za miezi 3 halfu wanaenda wapokea hao maVIP na mwisho wa siku hao maVIP wanawakubali kuliko waliotoka vyuo vya kibongo.Halfu worse hao ma VIP katika special requrements zao huwa wanataka guide nayeongea kithugu safi.Na huwa mara nyingi maxi hawapatikani katia ya wasomi.Na wakipatika na operationala manger huwa hawapati maxi nzuri toka kwa wageni.

Yaani language ni skills zaidi ya eductaion ndugu yangu.Roho isikuume sana kwa Lema kuanza na waziri mkuu mtarajiwa baada ya Cameron.
 
Mkuu taweka profile ya huyo Meya...mkuu unaweza kutuwekea kipande chochote cha hotuba ya Lema ya kiingereza.

Mi sioni sababu ya kukuwekea kipande ch akukuaminisha .ILa ningependa uniambie ni kinakufaya uone kuwa kiingereza ni issu sana kukifahamu?Au wewe ni mmojawapo ya wale waaoigopa hilyo lugha?Congolese huwa hata hawaisomi kingereza muda wote ila wanajifunzi ukubwani na wanaongeza vizuri tuu ingawa lafudhi inakuwa imeingiliwa na kifaransa.Ila mara zote huwa ni kizuru kuliko wabongo waliokisoma hadi versity.
 
Back
Top Bottom