Lema 'aichana' Idara ya Usalama wa Taifa

Status
Not open for further replies.
Hellow Great Thinkers

Nimesikitishwa sana na kauli yamkuu wa Polisi Arusha Andengenya, kuhusiana na malalamiko ya Mh Lema kuelezea attempt za kutaka kumuua yeye, baadhi ya wanachama wa Chadema na Wanaharakati wa Arusha. Huyu bwana akajump into conclusion kwamba hizi kauli ni za mtaani, za kihuni na si za kweli!!!! Akaendelea lakini Jeshi limejipanga kufanya uchunguzi kuhusu suala hilo!!!!

Swali langu na kwa wengi walio sikiliza zile kauli...!! uchunguzi wa nn na wakati amesema kauli ni za mtaani na za uongo??? Na Je sisi tutegemee nn kuhusu huo uchunguzi?? Utakuwa wa haki kweli?? Na huyu bwana angekuwa ni kiongozi wa ccm kapeleka malalamiko kwake angethubutu kutoa kauli za ajabu kama hizo?!!!

Inasikitisha sana kwa kweli!!!!
 
Kwa kutumia sheria hizo za nchi (katiba) hawa wakuu wa vyombo vya usalama wanateuliwa na nani na unatarajia wajipendekeze kwa nani? Alitokana na chama gani?
umeshajibu mwenyewe kuwa wanajipendekeza na wengine wanapendekezwa na Mwenyekiti wa Magamba bila kuangalia maslahi ya Nchi bali Chama na haya ndio matunda yake. uteuzi umelenga zaidi maslahi ya Chama na C wananchi,anaweza akawa mwana CCM asiye na Kadi ila akili yake ni CCM moyo wake ni CCM NA ASIYE uzalendo kama hawa hata wewe ulivyo.
 
Nafikiri Arusha siku moja itakuwa Banghazi ya Tanzania maana chadema inatafutiwa kila sababu ili iangushwe lakini hawataweza maana watu Wa Arusha sasa hivi wako tayari kwa lolote.
Niliona siku ya mkutano Wa chadema ulifanyika mwezi uliopita.
Ombi langu kwa usalama Wa taifa wasitumiwe na vyama kutuharibia nchi.

Sijaelewa hawaelewi nini hawa jamaa kwamba CCM Arusha haitakiwi tena iwe Lema ni mbunge au mtu mwingine yeyote wa CDM atapewa kura ila si mtu wa CCM hata kama atafunga mabomba ya maziwa na asali mji mzima
 
Huyu Lema ana matatizo gani?
Kwanini asiige kutoka kwa Zitto na Mnyika?
Anaonekana mtu wa vurugu muda wote, ameshasababisha wakazi wa Arusha kumwaga damu na bado anaendelea kuchochea vurugu!
Wakazi wa Arusha amkeni, huyu siyo mtu mzuri kwenu.

Mkuu mimi nilikuwa shabiki mkubwa sana wa Godbless Lema lakini kauli zake baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge zimekuwa zikinichanganya na kwa sasa simuamini na wala kumshabikia tena.

Nashukuru kwa kuwa mbunge wangu, Ndg. Mnyika amejipambanua kuwa miongoni mwa wabunge wa upinzani wenye busara na ambaye kauli zake huwa ni za kujenga na si kubomoa. Akiendelea hivyo nitampa tena kura yangu uchaguzi ujao. Kusema kweli Mnyika ameonyesha ukomavu wa kisiasa na kuonyesha kwamba Tanzania ni yetu sote na tuitetee na siyo kuifananisha na Libya. Leo Libya wamegawa asilimia 35 ya mafuta yao kwa Ufaransa ati kwa sababu wamewasaidia kumng'oa Gaddafi, sijui akili au matope.

Angalizo: Sitaki mtu alinagnishe ugawaji huo na ugawaji wa madini yetu.
 
Mkuu wengine hatukupata fursa ya kusikia hizo kauli ungetusaidia kidogo kututoa tongotongo.
 
Mkuu mimi nilikuwa shabiki mkubwa sana wa Godbless Lema lakini kauli zake baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge zimekuwa zikinichanganya na kwa sasa simuamini na wala kumshabikia tena.

Nashukuru kwa kuwa mbunge wangu, Ndg. Mnyika amejipambanua kuwa miongoni mwa wabunge wa upinzani wenye busara na ambaye kauli zake huwa ni za kujenga na si kubomoa. Akiendelea hivyo nitampa tena kura yangu uchaguzi ujao. Kusema kweli Mnyika ameonyesha ukomavu wa kisiasa na kuonyesha kwamba Tanzania ni yetu sote na tuitetee na siyo kuifananisha na Libya. Leo Libya wamegawa asilimia 35 ya mafuta yao kwa Ufaransa ati kwa sababu wamewasaidia kumng'oa Gaddafi, sijui akili au matope.

Angalizo: Sitaki mtu alinagnishe ugawaji huo na ugawaji wa madini yetu.
Uko sahihi kumsifia Mnyika lakini umepotoaka kabisa katika kulizungumzia hili la LEMA hapa anatishiwa maisha aiseme? kwani ni uongo ukosefu wa haki hautafikisha TZ kuwa kama LIBYA,TUNISIA,na Misri, Hoja gani itajengwa hapa kama haki haikutendeka katika uchaguzi wa meya hali CCM ikajua inavunja sheria? Lema si mchungaji au padre madhabahuni mpaka pale anopoonewa na Waarusha wanpoonewa asitoe kauli? Yuko sahihi kama angepotika kauli useme kauli ipi,na aliitoa wapi ilikuwa ni mbaya? Lema ni muwazi na ukumbuke kibinadamu LEMA anachakujifunza toka kwa MNYIKA na MNYIKA anahakijifunza toka kwa LEMA.

La pili hujadili maada hapa Lema anatishiwa maisha na usalama wa Taifa hili kwako ni sawa kabisa na huoni mapungufu yoyote?
 
Hellow Great Thinkers

Nimesikitishwa sana na kauli yamkuu wa Polisi Arusha Andengenya, kuhusiana na malalamiko ya Mh Lema kuelezea attempt za kutaka kumuua yeye, baadhi ya wanachama wa Chadema na Wanaharakati wa Arusha. Huyu bwana akajump into conclusion kwamba hizi kauli ni za mtaani, za kihuni na si za kweli!!!! Akaendelea lakini Jeshi limejipanga kufanya uchunguzi kuhusu suala hilo!!!!

Swali langu na kwa wengi walio sikiliza zile kauli...!! uchunguzi wa nn na wakati amesema kauli ni za mtaani na za uongo??? Na Je sisi tutegemee nn kuhusu huo uchunguzi?? Utakuwa wa haki kweli?? Na huyu bwana angekuwa ni kiongozi wa ccm kapeleka malalamiko kwake angethubutu kutoa kauli za ajabu kama hizo?!!!

Inasikitisha sana kwa kweli!!!!

Siku hizi polisi kuchunguza kauli za 'mtaani na za kihuni'. Na kama afande Andengenya anajua hizi haya maneno si ya kweli, kwa nini atumie kodi za watanzania kuchunguza kitu ambacho hakipo?
 
Kaburi lako limeshachimbwa,unasubiri kuzikwa.

Mchimba kaburi huingia mwenyewe!! kunguru we...hujui utendalo.
Unaandaa kiama chako halafu unachekacheka... kama juha vile.... Subiri mziki utakaouanzisha, utalazimishwa kuucheza mwenyewe. Tz, ina wenyewe, haiko hapa kuchezewa na malimbukeni kama wewe. Kama umeshindwa ustaarabu wetu...kitoe...Somalia na Iraq zipo kwa ajili yenu watu wa shari. HAPA HAMTOPATA NAFASI KAMWE!!!
 
uko sahihi kumsifia Mnyika lakini umepotoaka kabisa katika kulizungumzia hili la LEMA hapa anatishiwa maisha aiseme? kwani ni uongo ukosefu wa haki hautafikisha TZ kuwa kama LIBYA,TUNISIA,na Misri, Hoja gani itajengwa hapa kama haki haikutendeka katika uchaguzi wa meya hali CCM ikajua inavunja sheria? Lema c mchungsji au padre madhabahuni mpaka pale anopoonewa na Waarusha wanpoonewa asitoe kauli? Yuko sahihi kama angepotika kauli useme kauli ipi,na aliitoa wapi ilikuwa ni mbaya?Lema ni muwazi na ukumbuke kibinadamu LEMA anachakujifunza toka kwa MNYIKA na MNYIKA anahakijifunza toka kwa LEMA.
la pili hujadili maada hapa Lema anatishiwa maisha na usalama wa Taifa hili kwako nisawa kabisa na huoni mapungufu yoyote?

Mkuu sina ugomvi na Lema ila nami nimetoa maoni yangu tu. Najua Lema si Padre kama Slaa lakini kauli zake hizo si salama kwa nchi. Nilishtuka nilipoona watu kama 200 hivi wamekufa Libya ndani ya hospitali madaktari hawapo. Twende taratibu. Kauli za machafuko si nzuri hata kidogo. Tunaojua vita tunaelewa madhara yake. Tuache Walibya na Libya yao tuongelee Tanzania yetu.
 
[/COLOR]Nilikuuliza wewe ndio sababu nilinukuu maandishi yako. Bado nakuliza tena hivi vyombo vya usalama vilivyoko vinatumiwa na ccm na kwa maneno yako vinapoteza public trust. Je huoni ni wakati muafaka kwa vyama vya saisa ikiwemo cdm kuanzisha military wings zao. Hivi vilivyoko nivya ccm na kwa manufaa ya ccm. Au nikuulize hivi kifanyike nini ili vyombo hivi virudishe hiyo public trust ambayo vimeipoteza.

No response, sihitaji ligi. kama umeelewa safi otherwise nikutakie kila la kheri.
 
Sijaelewa hawaelewi nini hawa jamaa kwamba CCM Arusha haitakiwi tena iwe Lema ni mbunge au mtu mwingine yeyote wa CDM atapewa kura ila si mtu wa CCM hata kama atafunga mabomba ya maziwa na asali mji mzima
CCM si kuwa haihitajiki Arusha bali hawatakiwa katika ardhi na maji ya Tanzania,hawatakiwi kuonekana mchana wala usiku kwa haya fedheha na ubaradhuri waliliotuletea. hivi bado kuna watu wenye akili timamu bado wapo CCM?
 
Mkuu sina ugomvi na Lema ila nami nimetoa maoni yangu tu. Najua Lema si Padre kama Slaa lakini kauli zake hizo si salama kwa nchi. Nilishtuka nilipoona watu kama 200 hivi wamekufa Libya ndani ya hospitali madaktari hawapo. Twende taratibu. Kauli za machafuko si nzuri hata kidogo. Tunaojua vita tunaelewa madhara yake. Tuache Walibya na Libya yao tuongelee Tanzania yetu.
Unatakiwa kujua moja tuu kuwa hata LEMA leo hii akibaki kimya asiongee watu zaliwa watu wengine zaidi ya lema, na hali ya ukikwaji wa sheria ndio kama hii kwa nini tusiwe kama LIBYA,TUNISIA na MISRI? Unatakiwa kujua pia ukosefu wa haki ndiyo chanzo cha yote hayo hiyo hotuba uliyosema kawaambie Serikali? na wala haimhusu Lema kauli hiyo ni kauli ya woga endapo Nyerere angekuwa na mtatazamo kama wako asingepigania uhuru? vilevile asingewatuma askari vitani Uganda kuikomboa TZ. huwo ni mtazamo wa woga na udhaifu ambayo unapaswa kudhrauliwa kwa dharau zote zinzostahili

KUMBUKA HATUJENGI AMANI KWA WOGA TUNAJENGA AMANI KWA HAKI
 
Lema marekebisho kidogo, hao wanaitwa Usalama wa Serikali si Usalama wa Taifa!

Ni Agent wa Usalama wa Taifa, ambao wanashughulikia usalama wa Serikali na viongozi wa Serikali, wana Mkurugenzi wao pia nadhani ni idara inayojitegemea kama Polisi. Nadhani ni sehemu ya Usalama wa Taifa kama vile Polisi, JWTZ nk.

Wanaofahamu zaidi wafafanue. Hayo ni mawazo yangu kwa kuangalia muundo na kazi wanazofanya hao jamaa na jina la idara yenyewe.
 
Mkuu sina ugomvi na Lema ila nami nimetoa maoni yangu tu. Najua Lema si Padre kama Slaa lakini kauli zake hizo si salama kwa nchi. Nilishtuka nilipoona watu kama 200 hivi wamekufa Libya ndani ya hospitali madaktari hawapo. Twende taratibu. Kauli za machafuko si nzuri hata kidogo. Tunaojua vita tunaelewa madhara yake. Tuache Walibya na Libya yao tuongelee Tanzania yetu.
Halafu tutaachaje Libya au Tunisia au Misri tuijadili Tanzania yetu ili hali mambo yaliyowapelekea wao kufika huko ndio yanayofanyika sasa hapa Tanzania,tunatakiwa kujifunza kwa wenzetu ili tuepuke hayo kama haki ndio hii na unaogopa ya LIBYA bac ishauri hiyo Serikali ifanye haki na isizidishe woga kwa watu na usianze kuwashambulia wale wanaotafuta haki na kusema ukweli kama LEMA, mkuu kumbuka WOGA WAKO NI MAUTI YAKO, take care bye
 
Mkuu yaani hujui hata uchaguzi ujao utakuwa lini!!!? Au mmepanga kuusogeza mbele uchaguzi? halafu watu kukaa kijiweni sio kama wanapenda ila hawajaandaliwa mazingira ya kazi, Sawa ndugu kwa kuwa na kazi nzuri mpaka kuwadhalrau walio kijiweni. Lakini usisahau hali hii imesababishwa nani, sidhani kama kuna mzazi anayependa kuona mwanae yupoyupo tu... OLE WAO WANAOCHEKA SASA.

Uchaguzi unaozungumziwa hapa ni wa Meya wa Arusha. Kinachogombewa na viongozi wa cdm ni umeya, si kingine. Lema na Mbowe wana maslahi binafsi na nafasi hiyo, inaleleweka hiyo, wanataka kumweka mtu wao kwa gharama yeyote ili kukidhi malengo ya kibiashara... ya kisiasa baadaye. Halafu eti wanadai kutetea machaliii???? Hakuna usanii unaozidi matendo ya hawa wanasiasa uchwara.
 
Uko sahihi kumsifia Mnyika lakini umepotoaka kabisa katika kulizungumzia hili la LEMA hapa anatishiwa maisha aiseme? kwani ni uongo ukosefu wa haki hautafikisha TZ kuwa kama LIBYA,TUNISIA,na Misri, Hoja gani itajengwa hapa kama haki haikutendeka katika uchaguzi wa meya hali CCM ikajua inavunja sheria? Lema si mchungaji au padre madhabahuni mpaka pale anopoonewa na Waarusha wanpoonewa asitoe kauli? Yuko sahihi kama angepotika kauli useme kauli ipi,na aliitoa wapi ilikuwa ni mbaya? Lema ni muwazi na ukumbuke kibinadamu LEMA anachakujifunza toka kwa MNYIKA na MNYIKA anahakijifunza toka kwa LEMA.

La pili hujadili maada hapa Lema anatishiwa maisha na usalama wa Taifa hili kwako ni sawa kabisa na huoni mapungufu yoyote?

Mheshimiwa tunaomba CV za Lema na Mnyika na uzowefu wao ktk masuala ya siasa. Nafikiri umegusia kua Lema ni muwazi na anajifunza kwa Mnyika na Mnyika nae anajifunza kwa Lema. Ni afadhali ukatupa CV zao ili watu wajue capacity zao ktk kuelewa mambo. Kua muazi inaweza kua sifa nzuri lakin ktk politics sometime sio inavyofanya kazi. Politics is a dirty game.
 
hii serikali ina jambo lake lakini mguvu ya wananchi hawaiwezi itawang'oa tu iwe isiwe
 
Status
Not open for further replies.
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom