Lema afungua tawi jipya la chadema

Technician

JF-Expert Member
Mar 30, 2010
841
222
lema.JPG
Mbunge wa Arusha Mjini Godbles Lema akihutubia wananchi mara baada ya kufungua tawi jipya la Chadema katika chuo kikuu ch Sebastiani Kolowa wilayani Lushoto jijini Tanga mwishoni mwa wiki iliyopita.

HASIRA ZA MAENDELEO.
KILA MWANANCHI MPENDA MAENDELEO ANATAKIWA KUMPONGEZA HUYU KIJANA KWA UJASIRI WAKE.
................................BIG UP HON G.LEMA!!.............................................
 
Wakati wanaendelea kupiga kelele za watu kuhatarisha amani ya nchi kwa maisha magumu ya watanzania,ni kipindi kizuri sana kwa watanzania kujenga mtandao mkubwa wa chadema kwasababu ndio chama mbadala wa ccm
Tusiwaamshe waliolala,wakiamka wataharibu.
 
Mkuu kipindi cha uchaguzi mkwere alisema wananchi wasibabishwe na vyama vya upinzani kwasababu ni vya msimu,watu wanafanya kweli anaanza kulia lia kama mtoto kanyimwa maziwa.
 
Haya sie yetu macho, Je mnazijua sirka na mila za watu wa huko Lushoto. Haya wanafunzi kesho wanamaliza vyuo sasa kura mtapata wapi .
 
Haya sie yetu macho, Je mnazijua sirka na mila za watu wa huko Lushoto. Haya wanafunzi kesho wanamaliza vyuo sasa kura mtapata wapi .

kwani baada ya kumaliza vyuo ndo itikati zimeisha ama ndo mwendelezo ktk jamii ktk kuwaelimisha na kuongeza wanachama wale waliokuwa wapo njia panda. Pili pia ni mda wa wale wanaomaliza secondary nao kuingia chuo nao wapewe itikadi na kuongeza wanachama.
 
HM Hafif hapo umechemka. wanachofanya ni sumu mbaya sana. wanachuo wale wakitoka pale baada ya kumaliza masomo yao wanaingia uraiani sehemu tofauti wakisambaza ujumbe. so inakuwa more rapidly widespread. chukulia pale wanasoma wanaotoka ntwara, mbeya,chigoma,musoma singida, wanaondoka na spirit ile wanaenda anza sambaza kwa familia zao,marafiki na wengineo. ni balaaa! haf ni wasomi when they stick at it they remain so.
 
Haya sie yetu macho, Je mnazijua sirka na mila za watu wa huko Lushoto. Haya wanafunzi kesho wanamaliza vyuo sasa kura mtapata wapi .

ukimaliza shule hauruhusiwi kupiga kura...? vilaza bana
 
Mkuu kipindi cha uchaguzi mkwere alisema wananchi wasibabishwe na vyama vya upinzani kwasababu ni vya msimu,watu wanafanya kweli anaanza kulia lia kama mtoto kanyimwa maziwa.

Naona leo Ngongo unaongea kwa upoleeee

kipindi cha uchaguzi ulikuwa unamwaga sumu
 
HM Hafif hapo umechemka. wanachofanya ni sumu mbaya sana. wanachuo wale wakitoka pale baada ya kumaliza masomo yao wanaingia uraiani sehemu tofauti wakisambaza ujumbe. so inakuwa more rapidly widespread. chukulia pale wanasoma wanaotoka ntwara, mbeya,chigoma,musoma singida, wanaondoka na spirit ile wanaenda anza sambaza kwa familia zao,marafiki na wengineo. ni balaaa! haf ni wasomi when they stick at it they remain so.

Huzijui Tarbia za watanzania hususan wanapokuwa chuo na wanapmaliza na kwenda duniani. OK all in all, lets hope for the best
 
Haya sie yetu macho, Je mnazijua sirka na mila za watu wa huko Lushoto. Haya wanafunzi kesho wanamaliza vyuo sasa kura mtapata wapi .

Ni kwamba huna akili au umezikopesha?
Kwani wanafunzi wakimaliza masomo wanapoteza sifa ya kupiga kura?
Au uliambiwa wakimaliza masomo wanakufa?

Kwa taarifa yako hakuna moto unao enea vibaya kama ukianzia kwa wanafunzi,wakimaliza hapo wengine wataenda dodoma,singida,zanzibar etc na huko wataeneza mazuri ya chadema!

Kama kapata wanachama 400,afu wote sio wakazi wa lushoto ni habari njema sana,huko watokako wakishawishi watu wawili kima mmoja jumla ni ngapi?
Hao walio shawishiwa,kila mmoja wawili jumla?

Endeleeni kilalamika tu
 
Back
Top Bottom