Leicester City, Special Thread

Naona Mashabiki wa Manyau, na Arsenal wanawaonea wivu...Leicester... acheni hizo bhana..wape gwala washkaji wako vizuri Leo...
 
Leichester city wapo vizuri. Hasa pale nyuma. Wanakaba wote. City wamepiga shoot 3 on target 1. Okazaki kakosa nafasi nUri ya kufunga goli baada ya kupewa cross safi na vady. Walitakiwa waawe wanaongoza mbili mpaka sasa.
 
Aisee jamaa wanamuadhibu city hapa naona
Mahrez anafunga bonge moja la bao
Leicester city 2 Man city 0 dk 50
 
Jamaa wanacheza mpira wa kujituma sana hawaangalii star ..city kakutwa na wenye city yao
 
Kwa heshima ya EPL, NAOMBA LEICESTER WACHUKUE NDOO MSIMU HUU. Nawashabikia kuanzia sasa hivi kama timu ya pili baada ya Manu ili tu wachukue ndoo kuwe na hamsha hamsha kwa timu ndogo msimu ujao kuwa nao wanaweza.
Mi ni Manu fan.
 
Duh hii ligi ishakuwa ngumu aiseee kila mtu alijua leo ndio mwisho wa hawa watu ila naona wanaendelea kaza tuuu kila siku wao wanakaza tu aiseee
 
Hatari sana....hawa Leicester wakiwapiga Arsenal next game basi kombe nawapa
Sioni Arsenal wakochomoka. Haijalishi wanacheza wapi, hawa jamaa ni fighters. Beki ya Arsenal hawawezi kabisa kuwazuia hawa jamaa, sioni Per na wenzake akimzuia Mahrez au Vardy.
 
Mpokeeni mgeni wenu huyu

1454829481132.jpg
 
Hiii team imenfanya nimuamin jamaa m1 anaitwa shafii dauda ni mchambuzi wa ukweli wa mpira..yaani kabla league haijaanza aliulizwa unahisi team gani itakuwa tishio akajbu Leicester city..nlizalau uchambuzi ule ila sas nmemuamin,jamaa cjui aliwaftlia vipi akawajua vile
 
Back
Top Bottom