Leicester City, Special Thread

Hahahahaha ina maana mnataka kusema na hii timu ina washabiki wa kitanzania kweli? Kesho tutasikia hata Derby County na wanashangiliwa wakirudi Premier League.
 
Hahahahaha ina maana mnataka kusema na hii timu ina washabiki wa kitanzania kweli? Kesho tutasikia hata Derby County na wanashangiliwa wakirudi Premier League.
Nimecheka Sana kuona huu Uzi tehteh itakuwa sababu Leicester Kama Houston USA wabongo wanaoishi hapo Kama chama Lao ILA nimecheka sijui Shedafa Na uzi wake WA Totenham umeishia wapi?
 
Leicester city na kamati ya ufundi
 
Attachments

  • 1451521992839.jpg
    1451521992839.jpg
    54.8 KB · Views: 36
  • 1451522009459.jpg
    1451522009459.jpg
    31.9 KB · Views: 33
  • 1451522025009.jpg
    1451522025009.jpg
    64.4 KB · Views: 32
  • 1451522044279.jpg
    1451522044279.jpg
    49.1 KB · Views: 36
Nimecheka Sana kuona huu Uzi tehteh itakuwa sababu Leicester Kama Houston USA wabongo wanaoishi hapo Kama chama Lao ILA nimecheka sijui Shedafa Na uzi wake WA Totenham umeishia wapi?

LOL humu kuna vituko. Nilivyoona hii Thread niliwakumbuka wabongo wanaoishi katika huu mji pia. Inawezekana ni sawa na michezo ya huku tunaposhangilia timu ya nyumbani hata kama ni boya. Kweli uzi wa Tottenham sijui ulifia wapi.
 
Huu uzi ufungwe tu, WANAFIKI wameshakimbia. Naona tairi zinachomoka kila siku!
Hongera Leicester kwa kutimiza malengo! 40 points on the dot!
 
kwanini ufungwe na nani mnafiki hapa kati yetu na wewe?
Sijawahi kuwa shabiki wa leicester, naona walipokuwa wanafanya vizuri mlikuwa na viherehere sasa hivi mnaingia kuhu kwa kwikwi.
Hongereni hata hivyo kwa kufikia malengo!
Sina unafiki, hii sio timu yangu ila mawa-appreciate kwa juhudi.
 
Hahaha wakikaza buti hata Europa watacheza wako vizuri na wakijizatiti kipindi hiki cha usajili kuongeza nguvu watabaki top 4
 
C.T.U plz mbona hamna update yoyote hapa? Tangu jan 04 mpaka leo hakuna kilichofanywa na hawa mbwa? Dirisha la usajili walisajili, juzi wamemng'oa live meno bila ganzi, Vardy amepewa mkataba mpya pale king power zote hizo c habari? Tendea haki huu uzi bhana.
 
ndani ya etihad weekend , baada ya kuwatumbua liverpool ngoja tuone ..hawa jamaa wameleta mapinduzi ndani ya epl mimi nawapa nafasi wanaweza wakamaliza ndani ya big 4.kama umeshawatazama match zao vizuri nadhani utakubaliana na mimi.
 
Heko Leicester City, wakishinda kombe itakuwa poa sana kwa EPL. Itawapa hamasa timu ndogo kuwa kushinda EPL sio lazima mipesa au ukubwa wa club, kuwa ukijiamini na kujituma unaweza! Italeta changamoto zaidi.
 
Leceister mmeifahamu lini?
Mkuu waulize hao....inawezekana hawa ni mashabiki wa Chelsea ama Asernal wanajaribu kupunguza stress kwa kuishabikia Leicester...

Kipigo kibaya sana ndugu yangu....waache mashabiki wa Chelsea wajimwage hapa huenda watapunguza stress za kufungwafungwa...
 
Ni timu nzuri na imekuwa tishio kwa sasa.... All the best kwao......
 
Mkuu waulize hao....inawezekana hawa ni mashabiki wa Chelsea ama Asernal wanajaribu kupunguza stress kwa kuishabikia Leicester...

Kipigo kibaya sana ndugu yangu....waache mashabiki wa Chelsea wajimwage hapa huenda watapunguza stress za kufungwafungwa...
Na hivi wanafanana jenzi.......
 
Back
Top Bottom