Leicester City, Special Thread

T. Martins game ya leicester city vs Man U baba hilo game yani litapigwa game mpaka nyasi ziwake moto, paleee old Trafford kitanukaa. Halafu hii ndiyo match yakuweka mkeka na kuweka upande wa leicester city
Mbaya wa united nafikiri atakuwepo LEONARD ULLOA, VIVA THE FOXES, HUU MWAKA WETU
 
Dua zinaendelea...
Cg0u9ZuWkAApEvL.jpg
 
Ila nahofia hata point pale old traford maana wenyewe wapo kwenye Ari ajabu,,,labda darajani anaweza akaokota hata point moja,,,
 
Kwi kwi kwi kwi kwi lol! Msalimie kocha wenu :):) Mie nimeacha kushangilia Arsenal mpaka Arsene Wenger afukuzwe, kwa sasa temporarily chama langu ni Leicester wananipa raha sana wanavyocheza kwa determination ya hali ya juu na kujiamini. Natamani Arsenal wangekuwa wanacheza kama Leicester badala ya anao anao hata ndani miguu 12 ya mtu mzima mwenye akili timamu. Wanaudhi sana hawa Arsenal na wa kulaumiwa ni huyu kocha na management yote ikiwemo owners.

Aiseeee siamini ni wewe aiseee!!!! Duhhhhhhhhhhhh!!!!!!
 
Sawa ndio nauliza ile yellow ya pili ni halali?kuna faulo gani iliyotendeka pale?
Au ndio mambo ya refa kasema basi!

Marefa inabidi wawe wanariadha sasa ili kuwa na uwezo wa kuwepo eneo la action na kuona vizuri
ni kadi kabisa ile intention ya kucheza faulo ilikuwepo ... Alafu pia alishaonywa mara nyingi
 
Acha waombe tu Hawa ndo mabingwa wetu ila OT hatuachii point yao the next week ndo watangazwe...
Mtaani upoooooo, wapi umepotea, Ulitabiri vizuri mtani wangu, basi ntaanza kukuuliza ubashiri match za siku husika ili niweke mkeka(bet)......halafu 10% itakuhusu
 
Back
Top Bottom