leica geo office combined (au hata SKI software)

Ng'azagala

JF-Expert Member
Jun 7, 2008
1,286
221
Jamani wakuu ninaomba msaada wa software za ku post-process GPS raw data kati ya leica geo office combined (au hata SKI software) nina shida nayo sana.

huku kwetu bongo ni ngumu sana kupata vitu kama hivi, kuna wachache walikuwa nazo lakini zimekufa(hazifanyi kazi). Tafadhari nisaidieni
 
Jaribu kuspecify umefanya kitu gani kwa kutumia GPS eg. Static au RTK

static.

nina raw data za point kama nne hivi na mojawapo ni trig point. nataka kuprocess nipate UTM coordinates za hizo points nyingine based on trig pamoja na levels zake
 
Back
Top Bottom