legezo la ticha

AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,120
641
ticha.jpg
mwalimu ni mwana kinoma yani hadi raha mpaka chichogoni.......walimi kama hawa mm nawamind kinoma yani mana hachapi waala nn na akikuita utasiki oyoooooo jibu swali kama vipi usinizingue
 
kaaazi kweli kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii fani imeingiliwa
 
kaaazi kweli kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii fani imeingiliwa
umeonaeeh ila kizazi kinakokuja na ivi wameruhusiwa hao aliowataja hapo juu bujibuji na serikali ya UK waache huru ndio itakuja kua ivo na mpaka uraisi watagombea pia hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
waswahili husema ukitaka kununua kiwanja, kikague wakati wa masika. vivyo hivyo kama unataka kumpeleka mwanao kwenye shule yeyote pita pita wakati wa masomo uone walimu wake wakoje wakuu!
 
Back
Top Bottom