Legends mko wapi?

Hivi hommie Asprin, ulifikaga? Ulionaga nini huko? uliletaga taarifa kweli hapa?

kwa machungu, nimemkumbuka Babu wa loliondo!

Hahahaha hommie naona umeenda kupasha kiporo moto.....

Umenikumbusha mbaaaali sana......
Sikufika kwa babu hommie,
Nlipona kwa jina la Konyagi.

Enzi za
Nipigieeee....... mpenzi nipigieeee
Ntakupigia haaani

CC: Zion Daughter
 
Last edited by a moderator:

Halafu hommie unaweza kunambie, japo kwa ufupi kipenzi chang cheusimangala ako huku au inakuwaje?

kwa uchungu, ntaomboleza wiki moja kwa ajili ya kutokuwepo kwake hapa jamvini

Mara ya mwisho naona ndo alikuwa anamtafuta Nyani Ngabu kwa nguvu zote aisee

BTW binti sayuni, Zion Daughter ameenda kuupanda Mlima Sayuni?
 
Last edited by a moderator:
Nguli,Balantanda, Nyani Ngabu, Abdulhalim, Kiranga, Pape aka...,Bht, Carmel, Ziondaughter,Binti Maringo,Pearl, Nyamayao,Mtazamaji,Yegomasika,Asprin,Kaizer,Mwanakijiji.....na wengine wengi.
Enzi zenu jukwaa lilikuwa linachangamka sana, au ni nini kimewauzi wakuu?
Hao hapo kwenye red huwa wapo lakini sio active kama zamani.
Tumewamiss jamani
Halafu hommie unaweza kunambie, japo kwa ufupi kipenzi chang cheusimangala ako huku au inakuwaje?

kwa uchungu, ntaomboleza wiki moja kwa ajili ya kutokuwepo kwake hapa jamvini

Mara ya mwisho naona ndo alikuwa anamtafuta Nyani Ngabu kwa nguvu zote aisee

BTW binti sayuni, Zion Daughter ameenda kuupanda Mlima Sayuni?
Hahahaha hommie naona umeenda kupasha kiporo moto.....

Umenikumbusha mbaaaali sana......
Sikufika kwa babu hommie,
Nlipona kwa jina la Konyagi.

Enzi za
Nipigieeee....... mpenzi nipigieeee
Ntakupigia haaani

CC: Zion Daughter
Asprin & Kaizer Mimi miss you saaaaaaaaaaaaaaana. wapi mdada bht ? dropingcoco umenikumbusha mbali.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom