Legends mko wapi?

Nguli,Balantanda, Nyani Ngabu, Abdulhalim, Kiranga, Pape aka...,Bht, Carmel, Ziondaughter,Binti Maringo,Pearl, Nyamayao,Mtazamaji,Yegomasika,Asprin,Kaizer,Mwanakijiji.....na wengine wengi.
Enzi zenu jukwaa lilikuwa linachangamka sana, au ni nini kimewauzi wakuu?
Hao hapo kwenye red huwa wapo lakini sio active kama zamani.
Tumewamiss jamani

katika watu ambao naweza kutumia hata gharama zangu binafsi Kumtafuta ni NYANI NGABU,siamini kama na yeye ni mmoja wa watoto wapotevu.mwenye taarifa zake naomba aniPM please.
 
Mmezidi utukutu, pumba haziishi chacha maachiwa muone kama kweli maweza endesha hii forum. Hakuna hoja bali ni matusi na mambo ya majigambo na kujifanya mnajua sana imekula kwenu!

BTW nitakudokeza kidogo wengine wamekimbia baada ya kugundulika wanawapigia tarumbeta wazazi wao, kaka zao, ndugu zao etc mfano NSSF, uongozi wa juu kabisa wa CCM, wengine wako magogoni etc.

Hivi na mie ni legend? bwe he he..btw mbona nipo sana, last login ilikua mwezi uliopita!
Binafsi nitasema kinachoni-put-off..GAY MODERATION..(kwa maelezo zaidi aulizwe JF MOD 1, yes,.. the GAY MODERATOR). Mtu mpo kwene heated discussion halafu u r singly picked randomly kwamba eti wewe ni perpetrator wa kuvunja kanuni za JF, kana kwamba ulikuwa ukiji-engage kwene monologous conversation, which in any way u look at it is IDIOTIC intrinsically speaking, left or right. Sasa of course kuepo JF haimaanishi kwamba mtu huna majukumu au interest nyingine..its a matter of preference kuepo hapa na siezi kuepo mahali kwene gay moderation, watu wanafuta posts zako randomly and will ban u 4 no reason, na ukiuliza hupewi sababu au unapewa majibu ya kibabe na kejeli. of cousre any sane man will not put up with this sh!tty-excuse of 'great thinking'.
 
Naona wamekuulizia na wamekupata haswa!!!!
Na hapo kwenye red...LOL
 
Nafikiri ni majukumu ya kimaisha ila baadhi ya hao uliowataja wapo
Hakika umenena vyema.

au ndio hawa wenye majina mapya mapya?sio vizuri wanavyofanya wajue, yale yale majina yao ndio yaliyokuwa yanatufanya tufuatilie post zao zenye mashiko kwa ukaribu zaidi. Eti? Ili?
Nawasihi warudi tafadhali

Hamna hawajabadilisha majina wengi wao nawajua wengine nakutana nao nje ya JF so ni majukumu ya kimaisha yakiwa yanaongeza basi kuna vitu vingine unabidi uvipe priority
You are right!

hela za cafe ni mgogoro.
We Dawa ya malaria iliyoeksipaya........ you have been warned!

muhanga habari za siku lakini? mambo mengi tu tunachungulia chungulia....umri nao umeenda lol...
Hili nalo neno.

Mmezidi utukutu, pumba haziishi chacha maachiwa muone kama kweli maweza endesha hii forum. Hakuna hoja bali ni matusi na mambo ya majigambo na kujifanya mnajua sana imekula kwenu!

BTW nitakudokeza kidogo wengine wamekimbia baada ya kugundulika wanawapigia tarumbeta wazazi wao, kaka zao, ndugu zao etc mfano NSSF, uongozi wa juu kabisa wa CCM, wengine wako magogoni etc.

(C......P) at its best

Habari za ki-inteligensia zinasema wako jikoni.
Another (C....P)
Hivi na mie ni legend? bwe he he..btw mbona nipo sana, last login ilikua mwezi uliopita!
Binafsi nitasema kinachoni-put-off..GAY MODERATION..(kwa maelezo zaidi aulizwe JF MOD 1, yes,.. the GAY MODERATOR). Mtu mpo kwene heated discussion halafu u r singly picked randomly kwamba eti wewe ni perpetrator wa kuvunja kanuni za JF, kana kwamba ulikuwa ukiji-engage kwene monologous conversation, which in any way u look at it is IDIOTIC intrinsically speaking, left or right. Sasa of course kuepo JF haimaanishi kwamba mtu huna majukumu au interest nyingine..its a matter of preference kuepo hapa na siezi kuepo mahali kwene gay moderation, watu wanafuta posts zako randomly and will ban u 4 no reason, na ukiuliza hupewi sababu au unapewa majibu ya kibabe na kejeli. of cousre any sane man will not put up with this sh!tty-excuse of 'great thinking'.
Oups!

Naona wamekuulizia na wamekupata haswa!!!!
Na hapo kwenye red...LOL
Welkam baki...nawe ulipotelea wapi, mbona kwenye list hukutajwa. Babu alikumisi mbaya.

Mheshimiwa dropingcoco:
Babu bado yuko.
Babu bado yuko salama.
Ahsante kwa kumbumbuka babu.
Babu anarudi kitandani kulala, ili apate nguvu ya kufika Loliondo.
 
.

Babu nilienda LoLiondo tena kwa mguu, sim kwisha charge, hamna mawasiliano....lol mwenzio narudi we ndo unaenda...nakuonea huruma, unaweza rudi mwakani....mi naomba uniage kabisa.... missed you more babu....
 
Hivi huko Loliondo hujanletea japo tone moja la hako kalikwidi anakogawa yule babu?........Ole wako useme hujanletea.
 
Yaani ningeweza ningebeba ile ndoo nzima ya babu nikuletee, lakini babu mwenyewe anadai eti likwidi ina fanksheni mikononi mwake tu!!! Katuweza kweli babu wa Loliondo....
 
katika watu ambao naweza kutumia hata gharama zangu binafsi Kumtafuta ni NYANI NGABU,siamini kama na yeye ni mmoja wa watoto wapotevu.mwenye taarifa zake naomba aniPM please.

nakuomba kama gharama zitakuwa kubwa basi nitakupa shavu.....huyu mtu amepotea without gudbai........aje japo atuage basi
 
Hivi unasubiri nini wakati nakusubiri hapa

mmmhhh babu
nasubiria zamu yangu
naogopa kuruka mstari
halafu unitume fimbo..
Hopeful ulikuwa unangatwa kucha
unakatwa nywele
unanyonywa funza
Na kuletewa mkongojo...
 
Hakika umenena vyema.

You are right!

We Dawa ya malaria iliyoeksipaya........ you have been warned!

Hili nalo neno.

(C......P) at its best

Another (C....P)
Oups!

Welkam baki...nawe ulipotelea wapi, mbona kwenye list hukutajwa. Babu alikumisi mbaya.

Mheshimiwa dropingcoco:
Babu bado yuko.
Babu bado yuko salama.
Ahsante kwa kumbumbuka babu.
Babu anarudi kitandani kulala, ili apate nguvu ya kufika Loliondo.

Hivi hommie Asprin, ulifikaga? Ulionaga nini huko? uliletaga taarifa kweli hapa?

kwa machungu, nimemkumbuka Babu wa loliondo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom