Legends mko wapi?

dropingcoco

Senior Member
Jun 21, 2008
124
11
Nguli,Balantanda, Nyani Ngabu, Abdulhalim, Kiranga, Pape aka...,Bht, Carmel, Ziondaughter,Binti Maringo,Pearl, Nyamayao,Mtazamaji,Yegomasika,Asprin,Kaizer,Mwanakijiji.....na wengine wengi.
Enzi zenu jukwaa lilikuwa linachangamka sana, au ni nini kimewauzi wakuu?
Hao hapo kwenye red huwa wapo lakini sio active kama zamani.
Tumewamiss jamani
 
Nafikiri ni majukumu ya kimaisha ila baadhi ya hao uliowataja wapo

au ndio hawa wenye majina mapya mapya?sio vizuri wanavyofanya wajue, yale yale majina yao ndio yaliyokuwa yanatufanya tufuatilie post zao zenye mashiko kwa ukaribu zaidi.
Nawasihi warudi tafadhali
 
Hamna hawajabadilisha majina wengi wao nawajua wengine nakutana nao nje ya JF so ni majukumu ya kimaisha yakiwa yanaongeza basi kuna vitu vingine unabidi uvipe priority
 
Nguli,Balantanda, Nyani Ngabu, Abdulhalim, Kiranga, Pape aka...,Bht, Carmel, Ziondaughter,Binti Maringo,Pearl, Nyamayao,Mtazamaji,Yegomasika,Asprin,Kaizer,Mwanakijiji.....na wengine wengi.
Enzi zenu jukwaa lilikuwa linachangamka sana, au ni nini kimewauzi wakuu?
Hao hapo kwenye red huwa wapo lakini sio active kama zamani.
Tumewamiss jamani

Kwa sababu wewe tangu 2008 umetoa thanks nne tu na posts 60
 
sure hat mie natafuta post zao sizioni nakumbuka michongo ya kina kaiser ilikuwa imesimama, though hata mie naingia mara moja moja sana ni kwa sababu na kazi nyingi kwa kweli lakini wakipata muda wasiache kupita pita angalau kudrop some lines, mc u guys:wink2:
 
dah....kina cheusimangala,Gaijin,Belinda Jacob,wakwetu Bht,Nyamayao....nimewakumbuka sana hawa watu.....wameendaga wapi?
 
  • Thanks
Reactions: bht
dah....kina cheusimangala,Gaijin,Belinda Jacob,wakwetu Bht,Nyamayao....nimewakumbuka sana hawa watu.....wameendaga wapi?
preta bana! yaani unaulizia watu wakati wewe mwenyewe hauonekani?, hii kwa kisayansi tunaita zetrokoltropolosis.
 
Nguli,Balantanda, Nyani Ngabu, Abdulhalim, Kiranga, Pape aka...,Bht, Carmel, Ziondaughter,Binti Maringo,Pearl, Nyamayao,Mtazamaji,Yegomasika,Asprin,Kaizer,Mwanakijiji.....na wengine wengi.
Enzi zenu jukwaa lilikuwa linachangamka sana, au ni nini kimewauzi wakuu?
Hao hapo kwenye red huwa wapo lakini sio active kama zamani.
Tumewamiss jamani

Mie niliji-bann mwenyewe...Hahahaha.I miss so much Jf ya kipindi hicho.wapi bht jamani,nyamayao.. na wengine weeeengi.I miss you!
Hebu nielezeni maana ya chit chat ni nini?
 
sure hat mie natafuta post zao sizioni nakumbuka michongo ya kina kaiser ilikuwa imesimama, though hata mie naingia mara moja moja sana ni kwa sababu na kazi nyingi kwa kweli lakini wakipata muda wasiache kupita pita angalau kudrop some lines, mc u guys:wink2:

muhanga habari za siku lakini? mambo mengi tu tunachungulia chungulia....umri nao umeenda lol...
 
dah....kina cheusimangala,Gaijin,Belinda Jacob,wakwetu Bht,Nyamayao....nimewakumbuka sana hawa watu.....wameendaga wapi?

best hata wewe huonekani sana siku hizi japo unajitahidi tahidi sio kama sie.
Mie nipo shida za dunia tu ndio zinatupoteza wengine.
Ila huyo Nyamayao nimemmiss kweli sijui hata yuko wapi.
 
Back
Top Bottom