Lecturers!

&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
huyo dogo mwenyewe namshangaa,anadhan udsm Gpa kubwa znapatkana ka karanga,ngoja aone mzk wake kudadadek.
wengi huwa wanakuja na mbwembwe kama hzo first year, lakin kadri muda unavyokwenda huwa wanapoa. Hazuiliwi kuota lakin asidhan GPA ya 4 ni rahis kama kupanda dalala za chuo~mwenge.
 
wapendwa,

ili uwe lecturer lazima uwe na PhD. mtu mwenye masters anaweza kupanda hadi assistant lecturer position tu, haendi zaidi ya hapo.

kuhusu GPA, mara nyingi ni standard za vyuo tu na hata mamlaka za udhibiti kama TCU na NACTE hutoa GPA elekezi tu. na in case of acute shortage, wanaweza kuajiri hata mtu wa GPA ya chini zaidi ya GPA elekezi. nafahamu kuwa UDSM wao wanataka 3.8, lakini vyuo vingi wanakubali 3.5.

kwa walioko vyuoni bado, nawaasa jutahidini sana kupata GPA nzuri zaidi kadiri inavyyowezekana. GPA nzuri inalipa sana. hata huku mtaani mambo si haba. mi nina ndoto nikishainyakua PhD ndiyo niangalie kazi vyuoni na consulting companies

ninayaweza mambo yote kwake YEYE anitiaye nguvu!

Glory to God!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom