Lebo, brochures na posters

dmatemu

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
956
549
Wadau mambo vp, natafuta wataalamu wa kuprint LEBO, POSTERS na BROCHURES kwa bei nafuu inayotia moyo kufanya nao kazi. Naomba kwa yeyote anayewafahamu au kuhusika na wataalamu wa mambo hayo wanisaidie niweze kuwapata.
 
mimi ni mtaalamu wa ku-design (Graphic Designer). Sasa sijajua kama unatafuta Graphic Designer ama Printer?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom