"learn to love" hivi hii kitu inawezekana?

Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
193
hawayuu JF!
jamani naomben tushee experience kidogo. hivi kile kinachoitwa learn to love (kujifunza kupenda) kama nimepatia kiinglish, ni kitu ambacho kinawezekana kweli??
me nimepata hii doubt baada ya kujikuta nimedevelop friendship nawadada tofauti ambao wanasifa za kua wake wazuritu ila hua sikufall kwa hata mmoja.

hata hivyo nimekua na shaka ya kumweka yeyote kati ya hao katikamahusiano rasmi kwa kua bado sijazihakiki feelings zangu kwake.
hapa ndipo kiini cha swali langu kua inawezekana nikawa na mtu just kwasabab anasifa chanya na nikajifunza kumpenda kadri tutakavyo kua pamoja??​
 
mchukue mmoja mweke ndani
akishaanza kula vyako na wewe kula vyake ndo itakuwa ground nzur ya kuanza kupenda /kupendana na km ikiwa anafanya vle we wapenda na wala hakuboi utampenda tu

nawasilisha
 
kwa mwanaume nadhani ni ngumu kujifunza lkn kwa mwanamke inawezekana though not sure,,,,,,
 
dah! rose swali linakuaja kua "Je kama hutompenda"?? kumbuka ushamweka ndani.
ushamwahidi mengi, mmefuata formalities zote, mbaya zaidi labda yeye anakupenda truly!!
Naogopa mno kumuumiza mtu kimapenzi.
 
i just give u my experience,i had a boy alikua ananipenda sana na alikua ananipa kila ninachotaka pia naweza kusema ana sifa ya kupandwa na mwanamke yeyote kuanzia tabia,mpaka vingine,he knows how to care,how to love,he was so commited lakini nlilikuwa simpendi,nikajipa moyo kuwa ntajifunza kumpenda two years in relationship na most of times tulikua pamoja lakini nlilijikuta inakuwa ngumu sana kumpenda,kilia nilipojaribu kujifunza kumpenda i aproved failure then i become to realize kwamba you can not learn to love someone coz love is naturaly and automaticaly,na lama ukiulazimisha moyo you will suffer for the rest of your life,kilichotokea nilimwacha yule kaka nilimwambia ukweli kwamba nimeshindwa kujifunza kumpenda,nilimwonea huruma coz nilimpotezea muda mwingi na aliweka malengo na matumaini yake yote kwangu,i just warn you,pls dont try to play with peoples feelings,if u don love them find the one u love
 
ndo ivo ukikaaa nae ndan utampenda km ukitaka kumpenda
 
kwa mwanaume nadhani ni ngumu kujifunza lkn kwa mwanamke inawezekana though not sure,,,,,,

ni kwel kdg...asi unajua enz zile bnt unapelekwa tu kwa mzee abdala anakuwa mmeo bt afta mda unampenda tu namambo yanasimama tu
 
Haiwezekani kujifunza kumpenda mtu mkiwa ndani ya nyumba ..haya ni maneno tu
 
honestly, i dont believe that. its either you are in or out.
 
i just give u my experience,i had a boy alikua ananipenda sana na alikua ananipa kila ninachotaka pia naweza kusema ana sifa ya kupandwa na mwanamke yeyote kuanzia tabia,mpaka vingine,he knows how to care,how to love,he was so commited lakini nlilikuwa simpendi,nikajipa moyo kuwa ntajifunza kumpenda two years in relationship na most of times tulikua pamoja lakini nlilijikuta inakuwa ngumu sana kumpenda,kilia nilipojaribu kujifunza kumpenda i aproved failure then i become to realize kwamba you can not learn to love someone coz love is naturaly and automaticaly,na lama ukiulazimisha moyo you will suffer for the rest of your life,kilichotokea nilimwacha yule kaka nilimwambia ukweli kwamba nimeshindwa kujifunza kumpenda,nilimwonea huruma coz nilimpotezea muda mwingi na aliweka malengo na matumaini yake yote kwangu,i just warn you,pls dont try to play with peoples feelings,if u don love them find the one u love

Mtende
me nakubaliana na wewe, mpaka nafikia kuweka hi thread hapa ni akua nimejitahidikumpenda mtu lakini nimeshindwa kabisa.lakini hua nasikia kuhusu kijifunza kupenda, so nikawa najiuliza kwa nini haikufunction kwangu??

I hate hurting others romantically.kamwe sitarudia kosa ili as nimemuumiza sana mhusika kwani nilipojiachia kujairib kumpenda yeye ndo ailiweka tiki kua amenipata.things ziliposhindikana kabisa imekua merse kwake.
 
sasa kumbe umejaribu umeshindwa,usisikilize maneno ya watu in my experience u can never learn how to love,just believe or not
 
i just give u my experience,i had a boy alikua ananipenda sana na alikua ananipa kila ninachotaka pia naweza kusema ana sifa ya kupandwa na mwanamke yeyote kuanzia tabia,mpaka vingine,he knows how to care,how to love,he was so commited lakini nlilikuwa simpendi,nikajipa moyo kuwa ntajifunza kumpenda two years in relationship na most of times tulikua pamoja lakini nlilijikuta inakuwa ngumu sana kumpenda,kilia nilipojaribu kujifunza kumpenda i aproved failure then i become to realize kwamba you can not learn to love someone coz love is naturaly and automaticaly,na lama ukiulazimisha moyo you will suffer for the rest of your life,kilichotokea nilimwacha yule kaka nilimwambia ukweli kwamba nimeshindwa kujifunza kumpenda,nilimwonea huruma coz nilimpotezea muda mwingi na aliweka malengo na matumaini yake yote kwangu,i just warn you,pls dont try to play with peoples feelings,if u don love them find the one u love
Comment kama hizi zinatakiwa ziwe na hadhi ya nyota tano aisee dada nakupa tano umeelezea kila kitu na mtoa mada hii post ikuongoze uendako, kama hujampenda mtu una haja ya kuanzisha uhusiano nae mmwage anza mbele utakutana na wako wa moyo huko mbele ya safari
 
Mtende
me nakubaliana na wewe, mpaka nafikia kuweka hi thread hapa ni akua nimejitahidikumpenda mtu lakini nimeshindwa kabisa.lakini hua nasikia kuhusu kijifunza kupenda, so nikawa najiuliza kwa nini haikufunction kwangu??

I hate hurting others romantically.kamwe sitarudia kosa ili as nimemuumiza sana mhusika kwani nilipojiachia kujairib kumpenda yeye ndo ailiweka tiki kua amenipata.things ziliposhindikana kabisa imekua merse kwake.

Hakuna cha kujifunza bwana kwa nini ujifunze wakati ukitulia wa kwako uliyeandikiwa na Mungu atatokea tu?????
 
Unaweza kujifunza kupenda. Mi mwenyewe nipo kwenye hiyo course.
Nikigraduate nitaleta ushuhuda hapa.
 
jamani ubishi utawafanya mfe na utamu wenu kwani ngono ndo skukuu ya kwel dunian amna cha paska idi wa xmas kufakunoga anatambua hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom