'Leaning on my shoulders'. Why girls?

eti kumtoa baru!umenikumbusha mbali sana na huu msemo!haupo siku hizi kwa kweli!
a.k.a kutoka nduki
a.k.a kuulaza
a.k.a kutoka mita
ahahahhahahhah kweli lugha ni kiumbe hai

utasoma namba ya kiatu.
Saa hiyo na wewe vingereza kibao na novel ya john grisham. Usista duu kazi! Ila kama hanukii perfume ana jasho aaah unamtoa nduki tu.
 
BADILIA TABIA kama umenisoma vizuri nilisema ntafanya maamuzi magumu..nadhani hapo kwenye bold panahusika..naona upole wangu unaniponza ati!

tatizo mkuu mnasafiri kama mabubu, pengine hata salamu hakuna! Safari ni sehemu ya kujuana na sometimes to make friends!

Akikulalia we mtekenye, akicheka tu, imekula kwake, it will be the right time 4 u to make HARD DECISION

 
Ahahahaaaaaaa, kutanua miguu ama kuweka kiwiko cha mkono kiunoni! Inabidi ureact haraka make ukitulia mtu anatake advantage! Baadaye atakugusa matiti alafu ajifanye ni bahati mbaya! Na ukitulia utajuta kwa nini hukureact mapeeeeeeema!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

We kam vile me we hutanuagi?manake karibu 90% ya wanaume inaokaa nao lazima atanue miguu
 
Mara nyingi ninapofanya safari zangu za kwenda mikoani huwa natumia mabasi..japo pia mara moja moja pale ambapo kipande kimeruhusu naweza kupanda Precision Air..lakini muda mwingi ni mabasi. Kila mara ninaposafiri kwa bahati nzuri au mbaya ninapata siti ambayo inakuwa na mdada hata kama ni siti za watu watatu basi at least atakuwepo mdada..kwa hili sijui hasa kwa nini inatokea hivi!!..

Kama zaidi ya mara tatu hivi ninapokuwa safarini imenitokea wadada ninaokuwa nimekaa nao siti moja kusinzia..inawezekana ni uchovu wa safari au la..sijui kwa kweli..but kinachonishangaza wadada hawa wanapokuwa wamelala hupenda kunilalia begani (leaning on my shoulder)..Mara nyingi ninakuwa sipendi kwa sababu inaniongezea mzigo..lakini wengi wao ninapowashtua kwa nini wananilalia hushtuka na kuniomba samahani..lakini haichukui muda utaona tena mtu kanilalia na saa zingine anakoroma kabisa na mate yanamtoka..Kuna siku nilipanga nimpe mtu nakozz but nikaghairi baada ya kumuamsha mara kibao na kuombwa samahani za kutosha tu..

Wakati nilidhani haya hutokea kwenye safari ndefu..kumbe nilikuwa najidanganya..juzi nikitoka Mwenge kwenda Tegeta dada mmoja tena kwenye daladala kanifanyia the same thing..kiukweli nilibaki kushangaa kwa sababu huu ulikuwa mwendo mfupi kiasi nikashindwa kuelewa huu usingiz wa huyu mdada umetokea wapi??..nilimind na kwa sababu sikupenda kuharibiwa siku ilibidi nisimame ili yeye aendelee kuuchapa!!

Sasa wakubwa najiuliza..hivi nyie wadada mnapotulalia hivi hamjui na sisi tunahisia??..na je ikitokea miye nimekulallia utanielewa?..au wababa wenzangu na nyie yanawakuta haya au ni mimi tu??...Vinginevyo mtafanya nifikirie maamuzi magumu...lol

sometimes ni muonekano wako unakuponza
labda unaoneka 'easy kuingilika'
au easy kuchunika so wanaanza steps lol
but huwakuta wengi hii kitu
 
Hahahahaaaaa! Kaka SnowBall punguza woga!!! BAHATI YA MTENDE KUOTA JANGWANI HIYO afu wewe unjibalaguza!!!! Mwenzio naombwaga niwalalie watu nikiwa ndani ya Dar Express kwenda kijijini kwa Mdingi! LOL! Ila nakomaaga kusinzia wima coz most men do smell bad, especially kama hujamzoea!!!!

Hizo zinakuwa INVITATION TO TREATY@ business law!!! Sasa wewe yaelekea umezoea vya KUNYONGA, vya KUCHINJA kama hivo HUVIWEZI!!!!

Chezea mwanaume umemtamani, afu HAMADIII! Huyu hapa mpo siti moja????!!! LAZIMA SILAHA ZOTE ZA MAANGAMIZI ZITUMIKE!!!!!! lolest

aisee nafikiri nakudondokeaga Lara 1....mambo yako ya ukweli na uwazi mie roho kwatuuuuu...lol
 
mdau Snow Ball kuna ishu mbili kwa uelewa wangu

Mosi; ladies love guys who smell "fresh n clean" kama walivogusia wadau wengine.

Pili; most ladies are attracted to "athletic shoulders"

kwaiyo ukikaa pembeni ya bidada ambaye nati zake hazijakaza kiviiiile, atalean kwenye shoulder yako as an expression of attraction towards u, I'm afraid in most cases usingizi ni kisingizio tu!

wewe sikiliza conversation za wadada, wakiwa wanajadili macelebrity labda, utasikia wow did u see that chest? zile shoulders wooow e.t.c...(rejea thread inayozungumzia ni kwanini wanawake huvutiwa na wanaume wenye vifua vikubwa)

...kazi kwako...u know ur morphology, if it matches what I've stated above, then perhaps those r the reasons kaka.
 
snowhite wimbo uliouomba wa pacha wako, "Lean on Snowball" huu hapa....



"Lean On Snowball"
Sometimes in our lives, we all have pain
We all have sorrow
But, if we are wise
We know that there's always tomorrow

[Chorus:]
Lean on me, when you're not strong
And I'll be your friend I'll help you carry on
For it won't be long, till I'm gonna need
Someone to lean on

You can call on me brother when you need a hand
We all need somebody to lean on
I just might have a problem, that you'll understand
We all need somebody to lean on

Please swallow your pride, if I have things
You need to borrow
For no one can fill, those of your needs
That you won't let show

[Chorus]

If there is a load, you have to bear
That you can't carry
I'm right up the road, I'll share your load
If you just call me...call me
If you need a friend....call me
If you need a friend....If you ever need a friend
Call me....Call me....

hahahahhahhahhha pacha wangu mwacheni jamani!sa kwani kama wifi yangu ndo anapenda kifua cha kulean on!akhu aanze tu kumkosesha raha my wee wangu!nimekumbuka wimbo wa michael bolton 'lean on me" BAK yuko wapi aniwekee jamani
 
Last edited by a moderator:
snowhite wimbo uliouomba wa pacha wako, "Lean on Snowball" huu hapa....



"Lean On Snowball"
Sometimes in our lives, we all have pain
We all have sorrow
But, if we are wise
We know that there's always tomorrow

[Chorus:]
Lean on me, when you're not strong
And I'll be your friend I'll help you carry on
For it won't be long, till I'm gonna need
Someone to lean on

You can call on me brother when you need a hand
We all need somebody to lean on
I just might have a problem, that you'll understand
We all need somebody to lean on

Please swallow your pride, if I have things
You need to borrow
For no one can fill, those of your needs
That you won't let show

[Chorus]

If there is a load, you have to bear
That you can't carry
I'm right up the road, I'll share your load
If you just call me...call me
If you need a friend....call me
If you need a friend....If you ever need a friend
Call me....Call me....


hahahahaaaa, thanx BAK, japo sio mimi niliyeuomba wimbo, but me love the song much.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
[FONT=century gothic [USER=10162]snow[/USER]hite wimbo uliouomba wa pacha wako, "Lean on Snowball" huu hapa....[/FONT]



"Lean On Snowball"
Sometimes in our lives, we all have pain
We all have sorrow
But, if we are wise
We know that there's always tomorrow

[Chorus:]
Lean on me, when you're not strong
And I'll be your friend I'll help you carry on
For it won't be long, till I'm gonna need
Someone to lean on

You can call on me brother when you need a hand
We all need somebody to lean on
I just might have a problem, that you'll understand
We all need somebody to lean on

Please swallow your pride, if I have things
You need to borrow
For no one can fill, those of your needs
That you won't let show

[Chorus]

If there is a load, you have to bear
That you can't carry
I'm right up the road, I'll share your load
If you just call me...call me
If you need a friend....call me
If you need a friend....If you ever need a friend
Call me....Call me....


ahsante BAK,i love the song!ila nimeupenda zaidi ulivyoupersonalize eti ''lean on SnowBall'' ahahahhahah wapi pacha wangu asikilize dedication hiyo!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom