'Leaning on my shoulders'. Why girls?

my pacha wala si uchokozi mambo ya kupiga nyunyu la ukweli hivo ndo nini?af si unajua miunyunyu wa wanaume ilivo mitamu!sa piga picha iwe imetupiwa na mtoto wa kiume wa mama yangu aliyeniachia ziwa ahahahahhahahhahahha chezeya pacha wangu wewe!kazi kwao vishanshuda wanaokuzimia chini kwa chini af wanajifanya kukulalia ili ufike bei!ahahahhah we unafanya mchezo na pama hilo!:yo:

Wewe haya tu...naona leo umeniweza..but ngoja nikuitie kiboko yako The Boss
 
Last edited by a moderator:
Mie na wewe tena pacha wangu snowhite ?...ije mvua..lije jua..yaani pamoja... na nakuhakikishia simuiti tena The Boss ..ila ndo uwaambie hao mashostito wako..bega langu sio godoro..lina mwenyewe bana!..si unakumbuka 'bulging from behind'..
si ndo nlitaka kushangaa pacha!manake The Boss akija unafikir ntaonga hiv huwa anantaftia angle akinibana humo wala sikohoi nabaki ndio mzee,abee niko hapa ahahahahahhahah!wapi The Boss!
mashosti wangu ntawaambia bana wakuache mwenyewe wakuache mara 800.maswala ya kukulalia lalia af wanataka kiwe nini,mambo ya bulging from behind yanawahuu?ala :frusty:
 
Last edited by a moderator:
Me kama hao wanaonilalia huwa najifanya kama nami nimeuchapa usingizi wa maana, ila nahakikisha mkono unatinga kati kati ya miguu yake then unajua kifuatacho.....Jamani kusafiri kwa Bus raha mustarehe tunatongozana kwa matendo na hisia. Cant wait to board ZE BIG MAYAI
 
wanakulalia na wewe umeridhika tu rusha ngumi.....

Frankly hakuna kitu nachukia kama kulaliwa begani ninapokuwa safarini haijalishi jinsia , especially nisiyemjua...tena ukirudia nakukoromea kabisaaaaaaaaa

sasa wewe hujawa mkali aisee(ndo maana pacha wako kashtuka hapo)....

Au unyunyu unaopulozia mtamu kama mtakatifu ivuga alivyosema?

Wewe mwenzangu na mie......naichukia sana hiyo tabia sijui ya kulaliwa au kuegemewa yaani sipendi na mtu akinilalia / kuniegemea mara ya kwanza namwambia kistaarabu.....walah akirudia huwa sisemi nae zaidi ya kumsukuma tena kwa nguvu zote alaaah!.......ya nini kuchoshana bana!

Mimi kwanza nikisafiri hata kama nimeamka saa kumi usiku siwezagi kulala nikiwa kwenye chombo cha moto.......huwa nawashangaa wanaolala na kukoroma!
 
Me kama hao wanaonilalia huwa najifanya kama nami nimeuchapa usingizi wa maana, ila nahakikisha mkono unatinga kati kati ya miguu yake then unajua kifuatacho.....Jamani kusafiri kwa Bus raha mustarehe tunatongozana kwa matendo na hisia. Cant wait to board ZE BIG MAYAI

Kwa hiyo mkuu kwako hizo ni advantage?..lol
Kweli ukiona wa kazi gani wenzio wanasema watampata lini??.. sakapal njoo umuone bro ana mbinu yake nzuri!
 
Last edited by a moderator:
Wewe mwenzangu na mie......naichukia sana hiyo tabia sijui ya kulaliwa au kuegemewa yaani sipendi na mtu akinilalia / kuniegemea mara ya kwanza namwambia kistaarabu.....walah akirudia huwa sisemi nae zaidi ya kumsukuma tena kwa nguvu zote alaaah!.......ya nini kuchoshana bana!

Mimi kwanza nikisafiri hata kama nimeamka saa kumi usiku siwezagi kulala nikiwa kwenye chombo cha moto.......huwa nawashangaa wanaolala na kukoroma!

Ukute ni li bouncer...ila kiukweli inakera sana..yaani wewe ukoromee kwenye bega langu?...aaarrghh
 
Ukute ni li bouncer...ila kiukweli inakera sana..yaani wewe ukoromee kwenye bega langu?...aaarrghh

Haijalishi SnowBall .....yaani nasukumaga watu mie bila huruma.....wewe una huruma ndio mana lol! U baunsa wake huko huko sio kwenye mabega ya wenzie khaaa! ....sitakagi huo ujinga manake mie pia silaliagi mtu.....kwanza nikisafiri huwa silali kamwe!

Anza na wewe kuwasukuma tehe tehe!
 
Last edited by a moderator:
Me huwa nachukia tabia ya wanaume kutanua miguu huwa namueleza kabisa kaka sogeza miguu yako usawa wa kitu chako,au anajitia kiwiko cha mkono kuweka kiunoni huwa nasogeza na mkono unaona mtu anajitia kuuvuta

Ahahahaaaaaaa, kutanua miguu ama kuweka kiwiko cha mkono kiunoni! Inabidi ureact haraka make ukitulia mtu anatake advantage! Baadaye atakugusa matiti alafu ajifanye ni bahati mbaya! Na ukitulia utajuta kwa nini hukureact mapeeeeeeema!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Haijalishi SnowBall .....yaani nasukumaga watu mie bila huruma.....wewe una huruma ndio mana lol! U baunsa wake huko huko sio kwenye mabega ya wenzie khaaa! ....sitakagi huo ujinga manake mie pia silaliagi mtu.....kwanza nikisafiri huwa silali kamwe! Anza na wewe kuwasukuma tehe tehe!

Unajua nini sweetlady ...wakati mwingine unajua tu huyu hana usingizi ila anasikilizia..yaani usingizi gani kutoka Ubungo yaani kufika Kimara ushalala?...ni mitego tu wengine?...bado naamini wenye usingzi ni wachache wengi wanavizia..
 
Last edited by a moderator:
By KIBONGOMKUTI Me kama hao wanaonilalia huwa najifanya kama nami nimeuchapa usingizi wa maana, ila nahakikisha mkono unatinga kati kati ya miguu yake then unajua kifuatacho.....Jamani kusafiri kwa Bus raha mustarehe tunatongozana kwa matendo na hisia. Cant wait to board ZE BIG MAYAI

Kwa hiyo mkuu kwako hizo ni advantage?..lol
Kweli ukiona wa kazi gani wenzio wanasema watampata lini??.. sakapal njoo umuone bro ana mbinu yake nzuri!

mmmmh mpenz hapo hata sikushauri mhhhh huo ushauri waachie wasomaji wengine wa hii thread hapo pita tuu wende zako lol!! waweza jikuta unalala segerea bureee na safari ikaishia njiani wengine ni maafande atii
 
Unajua nini sweetlady ...wakati mwingine unajua tu huyu hana usingizi ila anasikilizia..yaani usingizi gani kutoka Ubungo yaani kufika Kimara ushalala?...ni mitego tu wengine?...bado naamini wenye usingzi ni wachache wengi wanavizia..

Umeonae?

Sasa na wewe ndio uache kujipigilia hayo mapafyumu ya bei ghali lol.....fuata ushauri wa pacha wako snowhite! Wanakutega hao!
 
Last edited by a moderator:
Umeonae?

Sasa na wewe ndio uache kujipigilia hayo mapafyumu ya bei ghali lol.....fuata ushauri wa pacha wako snowhite! Wanakutega hao!
mi nishamwambia aache kujitupia mapouder hataki eti madai yake pasnaa mjini hapa!ndo matokeo yake hayo wanaweka vitenzi viegemeshi ahahhahahhhhahah wacha kabisa wadada wa mujini wanatisha!
 
Hahahaha nimependa "vitenzi viegemeshi" lol.....wewe kweli mwalimu!

af pacha wangu hajajua tu wadada wa mujini wana mbinu nyingi
yani akiwastua wanajifanya kushtuka na kuanza sorry nyingi,af wanaanza kueleza matatizo ya nyumbani kwao
oh unajua yani nachelewa kulala,si unajua kakangu maisha kuhangaika
basi na pacha wangu tena navomjua na JF ilivomkaa kichwani ka mi dadake si ataanza kutoa maushauri!sasa hapo!hapo!kwenye maadvice hapo ndo kule kongo kwetu ku kinshasa tunasema nguvu ya mamba kumayi!
 
Hahahahha SnowBall ya kweli haya???
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom