Leading ict institutios in tanzania

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,938
1,437
Wadau ni kampuni au mashirika gani ni leaders na ni mfano katika kutumia teknolojia mbali mbali za ICT

Kwa wanaojua tutaje kampmuni au shirika katika kila kigezo ambalo tunadhani liko fit na kweli mtu akienda kujifunza pale hatakaa tu kwenye dawati.

je makampuni , mashirka au taasisi gani za serikali mtu unaweza kuparactise na kujifunza mambo kwa vitendo kama vile

  • Web designing and Programming
  • Database design, programming and Implimentation
  • Graphics
  • Networking and computer internetwrking.
  • Systems analysis and development
  • Computer system admistration
  • Wireless and or Mobile communication

NB.
This is not marketing thread ni technical thread.
Kama kuna kigezo nimesahau unaweza kuongeza.
 
Hapo kwenye Wireless and Mobile communication nilikuwa nafikira ni kati ya Mobile companies na TCRA

Kuna mtu anaju kama pale TCRA kuna wana vifaaa fulani fulani maalum na specific au systems zao ni just simple kama kwenye taasisi za kawaida ?
 
Wadau ni kampuni au mashirika gani ni leaders na ni mfano katika kutumia teknolojia mbali mbali za ICT

Kwa wanaojua tutaje kampmuni au shirika katika kila kigezo ambalo tunadhani liko fit na kweli mtu akienda kujifunza pale hatakaa tu kwenye dawati.

kaka vipo vingi sana na vingi vipo kiaiashara zaidi so vya uhakika na vinavyosifika
1. st joseph
2. ucc
3.ifm
4.dct
vyote ni nivizuri mnooo ila st joseph ni bei mno. na wa mwaka wa mwisho wanapelekwa nje.kusoma
 
Honesty,
Miye nilidhani Mtazamaji anamaanisha sehemu ambayo mtu anaweza kufanya real market exposure to practice the theoretical knowledge aliyopata kwenye hivyo vyuo ulivyotaja.
Maana vyuo mara nying wanabase sana kwa theory either kwa kukosa muda wa kutosha au walimu wengine hawako competent in practical aspects.
That is why they have field practical/training, and with my experience most of students struggle a lot in securing a 'right' place.

I stand to be corrected.
 
mzee IFM ni kizurii,ila dah life yake iko tyt,inabidi ujitume kweli kweli ndo utoke pale,
i know how the chuo is!!!
 
Honesty,
Miye nilidhani Mtazamaji anamaanisha sehemu ambayo mtu anaweza kufanya real market exposure to practice the theoretical knowledge aliyopata kwenye hivyo vyuo ulivyotaja.
Maana vyuo mara nying wanabase sana kwa theory either kwa kukosa muda wa kutosha au walimu wengine hawako competent in practical aspects.
That is why they have field practical/training, and with my experience most of students struggle a lot in securing a 'right' place.

I stand to be corrected.

Uko sahii kabisa na umenielwa by institutions simaanishi vyuo au shule. Ndio maana nikatoa mfano wa kampuni za simu na TCRA.
 
siko interested na salalry japo nahidsi kuwa BOT ni kati ya tasisis zinazolipa vizuri. Je pale Kuna

  • professibal za aina gani ziko related to ICT
  • wana wataalamu wa IT sio magenegerila post Daily to daily kazi zao ni nini pale kama kuna mtu anajua.
  • Wanatumia system au application au softwaregani kwenye accouts, HR, DBMS
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom