Le mutuz hoi siasa za kata ccm

Status
Not open for further replies.

Machiavelli

Member
Oct 3, 2007
75
14
Jamaa alikuwa anagombea Katibu wa uenezi Seaview/Kivukoni hana sera. Mshaurini arudi kwao akapige box hapa siasa ni SIHASA
 
itakua hana kundi, namshauri atafute kundi ndani ya ccm lenye nguvu atashinda kila uchaguzi.!!
 
From kugombea ubunge EAC to ujumbe wa kata? Anguko la aina gani hili jamani!!!!!!!
 
Huyu jamaa anaangaika sana na kutaka kufanikiwa kwenye siasa, ila anaonekana ana damu ya kunguni kwenye siasa. Juzi nilimuona anampinga kauli ya John Mnyika kuwa raisi dhaifu, kumbe alikuwa anataka kupanda kwenye siasa kupitia mgongo wa Mnyika.
 
usitpotezee mda mbona hueleweki go on the point,try 2check friends what and how can suply information!
 
Huyu ni william malecela huyu jamaa n tapel anawapa kaz watu alafu awalipi akiona kafanikiwa anampa mtu mwingne
 
Mwacheni mdogo wangu na mmkome kabisa kumsema vibaya. Le mutuz ni mtanzania na anayo haki ya kugombea uongozi wowote na popote katika Tanzania ili mradi anafuata sheria. Acheni ushamba wenu kusema anapiga mapicha na mademu, kwani nyie mmekatazwa kupiga picha na mademu?. Fungukeni na amkeni siyo kila ukiwa rafiki na demu basi ni mapenzi kwa kwenda mbele, tembea muone jamani.
 
Ongezeeni nyama kwenye hii story, nimeipenda, nasubiri kama ataweza kujitokeza acheke, kisha afichue siri jinsi rushwa ilivyotumika ha! ha! haa!
 
Ndugu zake wamfundishe adabu.
Nlichukia kweli mke wangu aliponiambia huyu mtu alikuja kumtongoza. Asidhanie hapa ni marekani
 
Nimemkumbuka Mayaula Mayoni. Alianza kupiga Diamond jubilee hall akaishia kupiga mziki Sisi kwa sisi bar!
Kama hafuati nyanyo zake basi anamuiga
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom