aiseeeeeeeeeeKwenye Majimbo Yote yanayoongozwa na Chadema hali ni mbaya. Ubungo, Kawe, Mwanza. Musoma , Mbeya, Moshi, Arusha...
Ngerejea aliwahi kunukuliwa kuwa Mgao wa umeme basi., this time yuko Busy na Posho bungeni. Wabunge wa Chadema nao kimyaa wanakimbizana nyama choma chako ni chako dodoma. Tusiandamane ila tujiandae kufanya mabadiriko makubwa 2015..
Hi ni combination ya mabogus si umesikia kila mtu anasema vyake ukweli wenyewe hakuna suluhu ya tatizo la umeme ukiwa na wasanii wa aina hii,mwananch amka hawa lazima wanq'oke hawana fikra wala uzalendoNakubali. Combination hii haiwezi kuleta suluhu ya tatizo la umeme kamwe. Mhando yuko bize na rushwa na ukabila kazini na huyu boss wake ni rushwa na mademu. Huoni kama kuna dalili za ubunifu. Hakika nchi hii Rais wanamtesa sana watendaji hawa! Mungu ampe nguvu na hasira Rais ili awamwage fisi jawa.