Lazima utanivulia

Kwa hiyo uyo bingwa wa magonjwa ya kike kila kitu yeye anaona ni pus*y?? Ama kweli jeneza lake litavikwa chupi aina ya bikin
 
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo alifariki dunia kwa ugonjwa wa moyo.Wananchi,ndugu,jamaa,mara
fiki na majirani waliamua kumuenzi dokta kwa kumchongea jeneza zuuuri lenye shape ya moyo.Wakati maelfu ya watu wanapita kutoa heshma za mwisho na kuaga mwili wa marehemu,ghafla wakasikia mtu anacheka sana tena kwa sauti ya juu.Watu walidadisi wakagundua anayecheka alikua akifanya kazi na marehemu.
Ndipo Padri akaenda kumuuliza
PADRI:Ndugu mbona unacheka sana na unajua hapa ni msibani?Au umefurahi mwenzako kufa?
JAMAA:Hahahahahaha nisameheni jamani.Mimi najiuliza siku nikifa jeneza langu litakuaje,maana mim ni daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake..hahaha.
padri alienda kuchekea stoo.

itabidi achagte shape ya mewata, au ile ya chini.
 
Dahhhh,hii kali kinoma.
 
Back
Top Bottom