Lazima ucheze hizi pc Games


Processor yako iko vizuri na itacheza games nyingi lakini Chief Mkwawa Anasema Ukiwa na i7 inayo ishia na K itacheza Games Nyingi sana.
na ukiwa na GPU ya maana na RAM hata 4gb au 8gb itakua poa sana.
Ukiwa na Intel HD Graphics utacheza games nyingi kiasi
kama
assassins creed 1.2.3 na4
pes 13
fifa 16
fallout 3
gta 4
just cause1 na 2
prince of persia forgotten sands
NFS 11 na13
CODMW 2
codmw3
cod black ops 2
Hizo ni games ambazo nimeshawahi Kuzijaribu lakini nyingine hautacheza kwa FULL HD
Lakini Ukiwa na Graphics Card kama za NVIDIA kama zile za 2gb UTACHEZA GAMES NYINGI KWA FULL HD.[/QUOTE]
Hivi kusema kwamba unacheza kwa full HD una maana gani mkuu?
 
nisaidieni nimedownload pes2015 nimeinistall kuna sehem inataka niweke key. kwa anaezifahamu naombeni anisaidie
 
au nipeni link ambayo hatonisumbua mana kuna link zina mambo mengi hadi kero kama hii softnic.net
 
  • Thanks
Reactions: 4wd
Wakuu kuna kitu inaitwa DISHONORED. Hii game ni hatari asee. Katika game nmewai enjoy kucheza ni hii apa. Na Dishonored 2 yak imetoka ila crack ndo hamna
 
Naombeni link ya europe truck stimulator game.. My acer travelmate pc ram 512, processor duo core, Window 7 ultimate.
 
Game nilioipendaga sana ilikuwa MAX PAYNE 3, Sema kuna chapter nilikwama kutumia Machete kupigana na jamaa sikuendeleaga tena!

Ila sio siri games za siku hizi nyingi zipo na very advanced graphics hadi raha kuzicheza, nilikuwa pia na TOMB RAIDER, METRO na HALF-LIFE. Sadly niliuza Laptop ilokuwa inachezesha yote hayo no nipo na mashine ya kawaida hp655 ya AMD processor!
 
Napenda sana games sema computer yangu haina uwezo mkubwa
unaweza ukacheza games nyingi na hiyo pc yako kwa kudownload PSP EMULATOR
http://ppsspp.org/files/1_3/ppsspp_win.zip
halafu jaribu game hili god of war http://psp-roms.freeroms.com/psp_roms/popular/god_of_war_-_ghost_of_sparta.zip

God_of_war_ghost_of_sparta_logo.jpg

pia unaweza kucheza games nyingi zaidi kwa kudownload hapa PSP ROMS Top Rated: Assassin's Creed - Bloodlines ROM. PSP ROMS Most Votes: ROM.
hakikisha umeinstall direct x
 
unaweza ukacheza games nyingi na hiyo pc yako kwa kudownload PSP EMULATOR
http://ppsspp.org/files/1_3/ppsspp_win.zip
halafu jaribu game hili god of war http://psp-roms.freeroms.com/psp_roms/popular/god_of_war_-_ghost_of_sparta.zip

God_of_war_ghost_of_sparta_logo.jpg

pia unaweza kucheza games nyingi zaidi kwa kudownload hapa PSP ROMS Top Rated: Assassin's Creed - Bloodlines ROM. PSP ROMS Most Votes: ROM.
hakikisha umeinstall direct x

Mkuu dadafua kidogo kuhusu PSP Emulator

Maana wengine vi Pc vyetu vya kizamani vya Ram ya 1gb ni shida tunaishia kucheza gta za mwanzoni na Zuma na karata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom