Andindile
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 304
- 16
Tahiri na fanya ngono zembe uone kama ukimwi utakuachia. Tafiti zingine zinazidi kutuondosha kwenye kiini cha tatizo. Ukweli ni kuwa tabia zetu chafu katika mambo ya mahusiano na kingono ni mbaya kupindukia.Sio kwa viongozi wala wananchi wa kawaida. Sie tumekuwa watu wa kuwaza ngono kwenda mbele kuliko hata kuleta maendeleo. Tusipokubali kupunguza hiyo kitu au kubadiri tabia hiyo chafu mwishowe wataalamu watatuambia kuwa suluhisho la kuepuka ukimwi ni kukata uume tu.