Lazima mambo ya vurugike zaidi kwanza, ili vurugu TZ ziishe!

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Matatizo makubwa kwa sasa hapa kwetuTz ambayo ni kuliko MALARIA+HIV ni;
1. Mahusiano ya karibu kati ya chama cha kisiasa na dini (CUF + WAISLAMU)
2. Udini (ambao kiuhalisia haupo, ila wasomi wanaonufaika wanaukoleza udini kwenye nyoyo za wa TZ wasio na elimu)
3. Muungano wa ZNZ + TNYK. (ambao uliunganishwa raia wengi wakiwa hawana elimu, leo wengi wanaelimu na serikali imeshindwa kuwadhibiti, mpaka wasomi hao wakagundua kua njia nzuri ya kupambana na serikali ni kwakutaja neno '''DINI''', mwisho serikali kwakutokua imara ikasarenda)
NINI CHA KUFANYA??
Serikali 'ikodoe' macho kwa chama ambacho kinifahamika ni rafiki ya chama Tawala kwa ukaribu **CUF** kimeweza kushawishi waumini wa kiislamu, na kina urafiki mkubwa na *CCM*. Serikali iweze kukikemea CUF , hata kama urafiki utavunjika; ila kwa manufaa ya Taifa.
SWALI:
Rais huyu ataweze kutupeleka ng'ambo nyingine salama? Let us wait.
 
Back
Top Bottom