Lazima kuwe na Shida ndo Maisha yaende!

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
Matatizo Duniani hapa hayawezi kuisha kwa style hii!
Polisi njaa wanaomba uhalifu uongezeke ili wale Rushwa,
Wanasheria wanaomba kesi ziwe nyingi ili wavune pesa,
Madaktari nao wanataka wagonjwa waendelee kuwepo wanufaike,
Wauza Majeneza …..hapa ndo hakuna haja ya kusema kitu,
Kama wapo wengine ongezea!!!
 
Back
Top Bottom