lazima kuna kitu hapa

ila sio domain ni website ndo ipo down nime access kupitia ip adress yake same problem inatokea apache inanipa ma error tu
 
Hee mbona nimeandika web afu limetokea hlo neno hapo.heee!mbona cielewi?
 
ndio mambo ya kulemaa kiakili kila kitu google,kama haifunguki c upande basi uende,kwa msaada kipo mwanza.
 
kama domain imelipiwa basi itakuwa wameifunga makusudi au uzembe wa wahusika. hapo hakunaujanja, ni kusubiri au kupiga simu
 
Back
Top Bottom