Lazima hili katika katiba tulidai.

cilla

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
369
296
[h=6]sisi kama wa kristo ni lazima tupiganie katiba mpya iseme na itaje wazi wazi ushiriki wa madhehebu yote ya kikristo katika kutumia vyombo vya umma tbc.mwanzoni hili lilikuwepo lakini kwa sababu ya kutokutaka kukosolewa na kuhubiriwa kweli waliamua kutoshirikisha madhehebu mengine isipokuwa katoliki ,kkkt na anglikana,hili tumelipigania lakini majibu unayopewa pale tbc nikuwa kunautaratibu usio wazi uliowekwa kukataza kuwapa au kuandika habari za madhehebu mengine.mfano katika sikukuu zote za kikristo taarifa kutoka makanisani na habari za yaliyosemwa na watumishi mbali mbali nafasi hutolewa tu kwa makanisa ambayo mimi huamini ni makanisa ya serekali kama katoliki kkkt na anglikana na moravian tu.hili linatunyima furusa kama wa tanzania kutambua na kusikia ujumbe kutoka kwa viongozi wengine wa kikristo.bila kumung'unya maneno nyerere alikuwa nyuma ya jambo hili.kama tatizo ni umoja tu au wasiwasi wakutumika maneno ya uchochezi kwanini usiwekwe utaratibu na wahariri nao pia siwapo.heshima ya viongozi wa dini imebaki kwa wakatoliki kkkt na anglikana ambapo maamuzi yoyote yanayogusa madhehebu haya lazima yajadiliwe kwa unyenyekevu mkubwa sana.yako mengi sana yaliyojificha juu ya serekali ambayo yanaonesha ni dalili za ubaguzi wa kimadhehebu.lakini yote haya ni kwasababu ya kutokutaka kukosolewa na kuambiwa ukweli pindi wanapokosea.tunataka katiba iweke hili wazi kama tanzania ni ya wakatoliki au kkkt tujue moja
[/h]
 
Back
Top Bottom