Lazima CCM tuwape Watanzania Mabadiliko wayatakayo (NAPE Nnauye)

bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,071
185
Katika pitapita yangu kwenye ukurasa wa Nape Nnauye kwenye Facebook nikutana na post hii hapa chini! Swali moja najiuliza je ni kweli Nape ni mtoto wa kuli??

Nape Nnauye

‎"WATANZANIA HAWA WANATAKA MABADILIKO, WASIPOYAPATA CCM WATAYATAFUTA NJE YA CCM" JK. NYERERE....."LAZIMA CCM TUWAPE WATANZANIA MABADILIKO WAYATAKAYO.....ILI TUENDELEE KUONGOZA" Nnauye (mtoto wa kuli)
 
CCM has rulled 4 over 45 yrs with nothing new! Do you think we are fool as our fathers? The answer is "NO", lets wait and see the extent of your downfall. You are in ICU, dying slowly but surely. RIP CCM.
 
Bila kutaja mabadiliko yapi?? kuelekea wapi?? etc.. ni bure ku-discuss "statements" au quotations!!!
 
Katika pitapita yangu kwenye ukurasa wa Nape Nnauye kwenye Facebook nikutana na post hii hapa chini! Swali moja najiuliza je ni kweli Nape ni mtoto wa kuli??

Nape Nnauye

‎"WATANZANIA HAWA WANATAKA MABADILIKO, WASIPOYAPATA CCM WATAYATAFUTA NJE YA CCM" JK. NYERERE....."LAZIMA CCM TUWAPE WATANZANIA MABADILIKO WAYATAKAYO.....ILI TUENDELEE KUONGOZA" Nnauye (mtoto wa kuli)
CCM kama chama ni kama chumvi iliyoharibika,haiwezi kukoleza chakula.Anachofanya Nape ni kutapatapa kwa mfa maji. For CCM it is over.
 
Nape amekuwa muwazi nimependa hiyo!! Haya watz wanata ccm itoke magogoni na cdm washike hatamu je yupo tayari? Ccm kiwe chama cha upinzani hupo tayari? Kikwe na mafisadi,wauaji,wauza madawa wote wanaounda ccm wakamatwe wapelekwe kwa ocambo,kikwete awe mshitakiwa No1 je yupo tayari?
 
Mabadiliko gani ambayo CCM inataka kuwapa watanzania ambayo mmeshindwa hata ku-implement miaka 50 iliyopita? Watanzania ndiyo wanataka kuwapa CCM mabadiliko and vice versa isn't true.
 
yule Profesa si kuli , hajawahi kuwa kuli, na hana hadhi ya kuli. Ni mwanazuoni ktk taaluma yake. Damn Nape pumbunguza porojo.

Marehemu Brig. Gen.(rtd). Moses Salum Nnauye alikuwa kuli kwenye bandari ya Mtwara kabla ya kujihusisha na siasa..... Amewahi kumjibu mwandishi moja wakati wa uhai wake kuwa anamshukuru Mungu kumwezesha kutoka kuli mpaka kumfikisha ikulu ndo maaana hana ulafi na kujilimbikizia mali kwani ameridhika na mafanikio aliyopata si haba.....TOKA KULI MPAKA MSHAURI WA RAIS IKULU..
 
mh.NAPE jiadhari na michango yako,title ya thread imeeleza ya nyie mtakavotupa mabadiliko. Badala ya kuja hapa jamvini na maelezo muruwa utakavoikomboa jamii,we unadoka kaneno kuli' na kuja kujisifia ktk kuishauri ikulu. Nadhan ni wakati muafaka wa kuitrain IQ yako kujua kuwa jf is for great thinkers,plz show it in you whether with it or not. Mkuu jitahidi kuja na substantial/material content ili nasi tufaidike kutoka kwako,angalia akina Regia Mtema,Mnyika,DR Slaa,zitto,makamba,n.k wanaleta nini jamvini,may be kwako jf ni sehemu ya starehe?sijawahi kukuta hot comment toka kwako mkuu. Plz use jf for best of our society. Nakuheshimu,ila ni ushauri tu ndugu kiongozi!
 
Marehemu Brig. Gen.(rtd). Moses Salum Nnauye alikuwa kuli kwenye bandari ya Mtwara kabla ya kujihusisha na siasa..... Amewahi kumjibu mwandishi moja wakati wa uhai wake kuwa anamshukuru Mungu kumwezesha kutoka kuli mpaka kumfikisha ikulu ndo maaana hana ulafi na kujilimbikizia mali kwani ameridhika na mafanikio aliyopata si haba.....TOKA KULI MPAKA MSHAURI WA RAIS IKULU..

- Elimisha Bro, saafi sana sasa mwenye macho haambiwi ona sawa sawa sana!

William @ NYC, USA.
 
Nnauye, nafikiri hii forum haikufai. Hapa si mahali pa kuleta hoja nyepesi nyepesi za kuwahadaa wadanganyika. Mabadiliko yaliyobaki kwa watanzania wanayo wenyewe na si ccm iliyoshindwa kwa karibu nusu karne! Mabadiliko hayo ni KUIONDOA CCM madarakani...hilo ndilo badiliko la msingi lililobeba mabadiliko mengine muhimu ya watanzania.
 
Nape Anachokitaka hakiwezekani ndani ya Ccm, naimani anadhamira ya dhati ya kutaka kuleta mabadiliko, hili amelionyesha kwa kuanzisha na kutaka kujiunga ccj bt ndani ya ccm ni matatizo, kule watk ni conservative sana, changes hawataki. Hata fanikiwa katu!
 
Back
Top Bottom