Lazaro Nyalandu's Profile

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Naomba Profile ya Private na Public ya huyu jamaa

Vitu kama vile alizaliwa wapi mwaka gani

kasoma shule gani(Not interested in Primary)

University (undergrad kasoma wapi?)

alisomea nini?

Kama alisomea Humanities dessertation yake alindika kuhusu nini

Post Grad kasomea wapi, lini, thesis yake aliandika kuhusu nini

Alifanya kazi wapi

kazi gani

Kama nani

Private je aliwahi kuwa mfanya biashara

zipi?

majina ya kampuni zake?

Kaoa?

wapi?

ana watoto?

wangapi?

wakike

wakiume?

Je ana kimanda? au vimanda? wangapi? (maana kweli hiyo sifa kubwa sana apparently)

Je Ubunge wake alimshinda nani?

kwa kura za idadi ngapi?

ambayo ni sawa na asilia ngapi?

Base yake hasa ni ipi?

Je ana weza ku cross over ama?

Last but not least ambitions zake hizi zinamwelekeo au naye ni walter mitty charactter kama Lau & Co?
 
wewe ndio yule "kijana msomi aliyerudi kutoka Uingereza"?

msomi?

wasomi siku hizi wako overrate kwanza sio sifa kuninginiza ma vyeti na magwanda uliyoyavaa ukutani

wasomi ndio wametufikisha hapa leo bila umeme wala nini

jamaa zenu hao
 
who is this guy??

lets just say he has a SLUSH FUND ya kutisha for 2015 kiasi cha kwamba hata waliopokea pesa za Ghadafi wanajiuliza watamcontain vipi?

kama primaries za mwaka jana zilitumia pesa kuliko secondary tena in the wake of kashfa za ufisadi then that should tell you alot about who has the potential for 2015 na huyu kijana tayari keshaanza

so tunawa profile mapemaaa
 
Naomba Profile ya Private na Public ya huyu jamaa
Kila kitu ya Mhe. huyu ilishabandikwa humu, just search and you'll find majibu ya maswali yako karibu yote.

Nimependa jinsi ili construct maswali yako, ni typcal reseach type na jamaa zetu wa sehemu wakikunote vizuri, within no time utalamba dume ili wakutumie wakati wakifanya vetting.
Ungekuwa mwandishi habari, ungefiti sana kwenye 'investigative journalism.

Pasco.
 
slidingroof ameona mbali

Thank you chief, young man ameanza race ya marathon kwa sprinting.... mapafu ni kipimo chake
 
lets just say he has a SLUSH FUND ya kutisha for 2015 kiasi cha kwamba hata waliopokea pesa za Ghadafi wanajiuliza watamcontain vipi?

kama primaries za mwaka jana zilitumia pesa kuliko secondary tena in the wake of kashfa za ufisadi then that should tell you alot about who has the potential for 2015 na huyu kijana tayari keshaanza

so tunawa profile mapemaaa

Fisad mwingine tena?
 
Kila kitu ya Mhe. huyu ilishabandikwa humu, just search and you'll find majibu ya maswali yako karibu yote.

Nimependa jinsi ili construct maswali yako, ni typcal reseach type na jamaa zetu wa sehemu wakikunote vizuri, within no time utalamba dume ili wakutumie wakati wakifanya vetting.
Ungekuwa mwandishi habari, ungefiti sana kwenye 'investigative journalism.

Pasco.

Mimi Nimependa jinsi ilivyo na uwezo wa kutambua potential human resource
Ungekuwa katubu mkuu wa utumishi au Muajiri mkuu wa serikali( sijui cheo hiki kama kipo) nchi yetu ingekuwa kama Canada
 
Kila kitu ya Mhe. huyu ilishabandikwa humu, just search and you'll find majibu ya maswali yako karibu yote.

Nimependa jinsi ili construct maswali yako, ni typcal reseach type na jamaa zetu wa sehemu wakikunote vizuri, within no time utalamba dume ili wakutumie wakati wakifanya vetting.
Ungekuwa mwandishi habari, ungefiti sana kwenye 'investigative journalism.

Pasco.
ahhh wapi mambo hayo waachie vijana ambao wanaanza maisha na waliosoma sie wengine si unajua shule ilitupitia kushoto?
 
Kila kitu ya Mhe. huyu ilishabandikwa humu, just search and you'll find majibu ya maswali yako karibu yote.

Nimependa jinsi ili construct maswali yako, ni typcal reseach type na jamaa zetu wa sehemu wakikunote vizuri, within no time utalamba dume ili wakutumie wakati wakifanya vetting.
Ungekuwa mwandishi habari, ungefiti sana kwenye 'investigative journalism.

Pasco.

Nadhani ulikuwa una zungumzia thread hiii https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-ni-mchapakazi-sana-au-ni-media-coverage.html

Kwa mtoa Hoja unaweza kupata majibu ya maswali yako kwenye hizi link hapa.

https://www.jamiiforums.com/celebri...-lazaro-nyalandu-aoa;-kaoa-miss-tanzania.html
Parliament of Tanzania
 
nashukuru sana kwa links zako...nimepata shule lakini ... I can say alot needs to be done on the dude.

He comes across as a lose cannon...
 
Academic history of this guy ended when he finished his A-level studies at Ilboru between 1990 - 1993. I am aware that he used to be involved with summer camp stuffs and finally he also dissapered to the US.

Baada ya hapo historia yake ina anza kuwa na utata. Je alivyokuwa US was he studying? what? where? maana nilishangaa tu alikuja akaingia kwa mama Anna Mkapa then politics, mbunge mara waziri.

Kama huna jibu kula kona wacha wenye majibu watoe.
 
Academic background of this guy ended when he finished his A-level studies at Ilboru between 1990 - 1993. I am aware that he used to be involved with summer camp stuffs and finally he also dissapered to the US.

Back
Top Bottom