Lazaro Nyalandu: Ni mchapakazi sana, au ni media coverage?

mtu unayejuwa system inavyoo operate huwezi kugombana na wachina...kabila ya kushauriana na system.......Nyalandu alitoa kauli ile kweli tena akiwa anakaimu uwaziri nadhani bosi wake alikuwa nje ...lakini guess what the next day he went running TBC kwenda kusema hakusema wachina ....as it would have amounted to the diplomatic row that Tanzanian are targeting chinese....
Chinese we need to approach them in win win wako powerful..na ni waelewa hawapendi kudhallilishwa ....kama wanaweza kutejengea uwanja na misaada unlimited ya kijeshi .....the best approach kwa wizara ya biashara ilikuwa kwao kupeleka cabinet paper ili kumuomba rais amueleze rais mwenzake kero wanazoleta raia wake kwa kuchukua ajira za watanzania wa kawaida...kwa misaada wanayotoa na urafiki ......china haingeshindwa kuwaagiza raia wake wanaokuja hapa kuwekeza kwenye vitu serious zaidi.....naamini bado nafasi tunayo...
wenzetu Kenya wamefanikiwa kuwawekea mipaka ......mfano hakuna ubaya kwa raia wa china kuwekeza kwenye viwanda hapa badaya ya kutufanya wachuuzi wa bidhaa zinazotoka kwao....they can invest in secondary process...na tukawaomba wasiingie kwenye retailing .....tunaweza kuvumilia wao waishie kwenye distribution ...lakini wholesale na retailing kule kariakooo washike wazawa.....


Huyo bwana mdogo ni ulimbukeni tu. Hajui hata madhara ya matamshi yake mbe ya vyombo vya habari. Anachotafuta yeye ni 'publicity'
 
mhubiri, mbona wengi wanafanya lakini kimya?
hapa at least thro colctn pcs of info we ve got to know him.ukiacha waliokuwa wanatukashifu all pcs makes a story connected!.gnite!
 
mhubiri, mbona wengi wanafanya lakini kimya?
hapa at least thro colctn pcs of info we ve got to know him.ukiacha waliokuwa wanatukashifu all pcs makes a story connected!.gnite!

Wataje hao wengi(kwenye baraza la mawaziri la JK)wanaofanya lakini wako kimya na useme wamefanya nini chenye tija kwa walalahoi.Halafu hiyo uliyoandika ndiyo lugha gani tena mkuu?Au ndiyo lugha ya wasomi wa Msc??
 
Nafahamiana nae kwa karibu.

1. Amesoma Ilboru
2. Akaenda Marekani
3. Akaonana na Anna Mkapa akiwa Marekani
4. Akaula kwenye Mfuko wa Fursa sawa kwa wote
5. Akaitumia mfuko kuupata ubunge
6. Anapenda watoto wa kike sana :msela:
7. Mpenda sifa
8. Mlokole bandia (baba yake Samwel Nyalandu ndie mlokole)

Jamaa kapata Unaibu kwa sababu ya mgawanyo wa maeneno na wala si uwezo wake. Anachokifanya ni kuuza sura tu hana lolote huyu.

alikwepa kwenda jkt kwa mujibu wa sheria za nchi!
 
Kweli JF ni kiboko,me sikuwahi kumjuwa huyu jamaa ila swala la ulokole na kupenda mabinti nasikia ndiyo zake,KUNA MTU ANAFAHAMU HISTORIA YA MKEWE?NA WAMEKUTANA LINI? NA ILIKUWAJE AKAAMUA KUMUOA YEYE BADALA YA YA WALE WA DAR WA3 NA YULE WA MORO? jamaa uliyesoma naye Kibaha na Ilboru nakukubali kwa dataa
 
Just curious Lazaro ana shahada au hana? Hizo sehemu zenye red zinapingana. Kama nimekusoma vizuri at first umesema hana shahada then ukasema ameenda IOWA kusomea shahada yake.

Swali hili ni muhimu lijibiwe ili tupate wasifu kamili wa nyalandu na tuhitimishe suala hili.
 
Swali hili ni muhimu lijibiwe ili tupate wasifu kamili wa nyalandu na tuhitimishe suala hili.

Mkuu nahisi this quote explains something "Mheshimiwa Nyalandu hakumaliza shule yake huko Waldorf.... " Unless alimalizia mahali pengine mwenye ufahamu zaidi ya hapo anaweza kutuambia.
 
Mkuu nahisi this quote explains something "Mheshimiwa Nyalandu hakumaliza shule yake huko Waldorf.... " Unless alimalizia mahali pengine mwenye ufahamu zaidi ya hapo anaweza kutuambia.

Huyu kijana namjua kidogo. Wakati akiwa kibaha sekondari anasoma O-level mimi nilikuwa A-level. Nilimaliza A-level wakati yeye anaingia form two. But just imagine pamoja gap kubwa hivyo la kimadarasa lakini bado nilimfahamu. Kwa nini? Kwa sababu anajihusisha sana na social groups and it is true anapenda sana yeye ndiye awe kinara kwenye kila social group anayojiunga. Nakumbuka kadi yangu ya umoja wa vijana wa ccm (niliichana na kuitupa mwaka 1995) yeye ndiye aliyenikabidhi akiwa kiongozi wa tawi la kibaha sec. Alitushawishi kaka zake tukajiunga na umoja huo. So, ana convincing power na sishangai yeye kuwa mwanasiasa mpaka leo.

Labda kuna sifa moja imesahaulika kabisa inayomtambulisha nyalandu vizuri zaidi. Nayo ni kupenda mafanikio kwa njia za 'short-cuts'. Katika hili, ninamvulia kofia na si ajabu hata hiyo degree hakumaliza kweli kwa sababu alichokuwa anakitafuta huenda alipata kabla hata ya kutunukiwa degree na hivyo hakuona sababu ya kuendelea kusota.

Maoni yangu ya mwisho kuhusu nyalandu:

Nimefuatilia michango ya wanaJF wengi waliosoma nae huyu kijana na kuona wanachoongea in common kinafanana na in fact ndivyo nami ninavyomfahamu. Ni kijana anayependa umaarufu na fedha kwa maslahi binafsi. Mfano mzuri, inasemekana alikuwa anatembea na wanawake wengi tena wazuri na kuwaahidi kuwaoa. Lakini baada ya kukutana na miss tanzania akamwoa haraka ili kupata alichokuwa anakitafuta, 'umaarufu'. Kwake uongozi ni daraja la kupata umaarufu na kutimiza matakwa yake. Uongozi kwake siyo njia ya kuwakomboa watu wake. Aidha, ni kijana anayejipendekeza sana kwa wakubwa bila kujali madhara ya baadaye kwake na watu anaowaongoza.

Hivyo, kwa sifa hizo, nyalandu hafai kuwa kiongozi. Watanzania tupo zaidi ya 40 milioni, kwa nini tupate shida ya kuainisha viongozi wanaotufaa? Nina hakika katikati yetu bado tuna watu waadilifu wenye uchungu na nchi. Bado tunao only that mfumo wetu wa kupata viongozi umechafuliwa, umeingiliwa na virus.
 
MBUNGE PEKEE WA CCM ALIYEFANYA KAMPENI KWA HELICOPTER......ukiachilia RAIS Kikwete ndani ya CCM....

Lakini nadhani ili kukata mzizi wa fitina atangaze mali zake ...ili watu wasimfikire tofauti........najiuliza kwanini viongozi wa umma 5,000 hawajataaja mali hadi sasa..hizo ndio zinazaa speculations...viongozi wa umma namaanisha mpaka wa CHADEMA........na CCM

Naanza kupata mwangaza kidogo wa pesa zake zilipoanzia. I just found out he is the founder of STEMM.
STEMM is an inter-denominational Christian ministry.

STEMM was founded in 1996 and organized in 1997. The founders, Dr. Steve Meyer, Rev. Jon Gerdts, Mike Boose and Lazaro Nyalandu, led a group of 10 Siouxland residents on the first trip to Tanzania in 1997.

Read more at www.[URL="http://www.stemm.org"]STEMM.org[/URL]
 
Huyu Nyalandu ni mtu wakaribu sana na Mama Anna Mkapa, huyu jamaa ndiye alikuwa anasimamia ile NGO ya mama Mkapa na amepata support kubwa sana kwenye uchaguzi wa mwaka jana toka kwa mama Mkapa...

Kuuumbe! inaelekea mama Mkapa na Mkapa wana ajenda fulani sie hatuijui, naanza kujiuliza maswali mengi kuhusiana na Kigwangala ambaye pia inasemekana kuwa ametokea kwenye NGO ya Anna Mkapa,
 
Mkuu nahisi this quote explains something "Mheshimiwa Nyalandu hakumaliza shule yake huko Waldorf.... " Unless alimalizia mahali pengine mwenye ufahamu zaidi ya hapo anaweza kutuambia.

nakumbuka mwaka 1997 / 98 ndipo mara ya kwanza kumfahamu, Alikuja kuandika dissertation yake na alikuwa akiishi kwa mama mkapa pale LAIBON RD O'bay. Baada ya kama miezi 2 au 3 aliondoka. sasa kama hakuifaulu cjui. alikuwa anabanjua madem wa obay na masaki kama kichaa, alikuwa anatembea na nguo zake kwa gari kwani nyumbani alikuwa hashikiki
baadaye mwaka 2001 nilikutana naye tena pale bamaga alikuwa ana mchumba wake ambaye ni shem wa jirani yangu, ndipo nilipojua ni mbunge na anamiliki kampuni ya bness consulting.
 
alikuwa na office yake private PSI building kama nakumbuka vyema kwa maelezo ya business card yake. alichoniudhi ni kitu kimoja tu. alinipa business card ambayo hakuna hata namba yake moja inapatikana. hili sikulielewa lakini nadhani nitapata jibu siku moja.
QUOTE]

Wasiliana na mdogo wake anaitwa Peter atakupa namba anayoitumia leo mhe. Nyalandu 0712480426.

Kitu kizuri kuhusu huyu Naibu Waziri: Anakumbuka kwao sio kama wanyaturu wenzie! Ametoka kwenye familia fukara sana, na amejitahidi kuiinua. Kawasomesha wadogo zake Makerere kwa pesa zake (hata kama walikuwa hawana nafasi ya ksuonga mbele nchini). Kamjengea mzee wake huko Basotu. Amenunua viwanja vyenye utata na wingu la ufisadi huko Arusha kwa majina ya wadogo zake. Kimsingi ni fisadi anayeutumia ufisadi wake kuisaidia familia yake (kama huo ni uzuri, basi huyu jamaa anajitahidi)
 
Huyu bwana atakuwa na Afya njema kweli, maana kila mmoja anakubaliana na sifa yake ya kubanjua watoto wa wenzie, kule kwao kuna Ka hospitali kamoja ka wamissionary fulani kanaitwa ......, akiwaga huko anawatafuna manesi kama hana akili mzuri, kuhusu utapeli nao anao kwani uchaguzi wa 2000 alimtapeli kitu kidogo jamaa yangu (nafikiri hii ilitokana na yeye kudharau kiwango kile na kutokuwa karibu na watu wake
 
Kuuumbe! inaelekea mama Mkapa na Mkapa wana ajenda fulani sie hatuijui, naanza kujiuliza maswali mengi kuhusiana na Kigwangala ambaye pia inasemekana kuwa ametokea kwenye NGO ya Anna Mkapa,

Duh jamani, na mimi nipo tena hapa...kwa CHE NKAPA...too paranoic, my brothers and sisters...
 
Duh jamani, na mimi nipo tena hapa...kwa CHE NKAPA...too paranoic, my brothers and sisters...

Pambana Kada..wenzako kina Zitto,mnyika,Lissu, etc vijana wenzako wanapelekeshana nao hivo hivo...na mara nyingine wanapewa za uso vile vile..hadi wanafanikiwa kueleweka.....
Kwanza nikusifu kati ya makada wachache mnaodhubutu kuingia kwa jina wazi......sasa kinachotakiwa pambana msiwaachie vijana wa CHADEMA peke yaao wanaatamba hapa...CCM inafanya waonekane wanaogopa challanges...natambua ugumu wa kuitetea CCM enzi hizi lakini pambana tu!.
 
Duh jamani, na mimi nipo tena hapa...kwa CHE NKAPA...too paranoic, my brothers and sisters...

Dr kigwangwalla MD, MPH, MBA, wizi mtupu, hivi wewe si ndio yule ambaye ulikuwa kwenye ile taasisi ya kitapeli ya WAMA? unapozungumzia mabadiliko halafu upo CCM nadhani unatuletea mzaha hapa, ni lini CCM iliahidi mabadiliko? siku zenu zinahesabika.
 
Dr kigwangwalla MD, MPH, MBA, wizi mtupu, hivi wewe si ndio yule ambaye ulikuwa kwenye ile taasisi ya kitapeli ya WAMA? unapozungumzia mabadiliko halafu upo CCM nadhani unatuletea mzaha hapa, ni lini CCM iliahidi mabadiliko? siku zenu zinahesabika.

Nakusifu kwa kuwa na ujasiri wa kueleza ukweli kiasi hicho.
 
Dr kigwangwalla MD, MPH, MBA, wizi mtupu, hivi wewe si ndio yule ambaye ulikuwa kwenye ile taasisi ya kitapeli ya WAMA? unapozungumzia mabadiliko halafu upo CCM nadhani unatuletea mzaha hapa, ni lini CCM iliahidi mabadiliko? siku zenu zinahesabika.

Hivi lile jina lake la KIRUNDI ni nani tena >>?....waliosoma nae primary waanalikumbuka...
Bashe anasema huyu jamaa ni kama houseboy wake eti ...kamwachia amwangalizie nyumba yake ambayo haijaisha ili mwaka 2015 aingie mwenyewe!!!
 
Back
Top Bottom