Unstoppable
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,046
- 384
Huyu Nyalandu ni mtu wakaribu sana na Mama Anna Mkapa, huyu jamaa ndiye alikuwa anasimamia ile NGO ya mama Mkapa na amepata support kubwa sana kwenye uchaguzi wa mwaka jana toka kwa mama Mkapa...
I believe kuwa karibu na the Mkapas ndio kumesaidia ku-launch his career. Nilimfahamu Lazaro alipokua rais wa Ukwata Tanzania (nafikiri alikua anasoma A level Ilboru at that time). He is a very good speaker, analugha yakuvuta watu kumsikiliza, na alipenda sana kujitambulisha kwa watu wenye nafasi kubwa kubwa kila alipowaona. I think umachachari wake ulimfanya watu wavutiwe kumjua zaidi. Kwangu mimi ni aina ya wale watu wanaokuambia what you want to hear lakini hawafanyi anachosema (talk the talk but not walk the walk). He is an opportunist, he can go at any level ku-timiza azma yake. Lakini that was then ( more than 15 yrs ago) anaweza kuwa amebadilika sasa. Who knows.