Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
Kwa mtaji wa vimbwangaa kama hivi kwenye ki-varanda cha taaluma ya sheria na utoaji haki nchini ndio kusema ya kwamba Tanzania yetu imekua ni nchi ya KITU KIDOGO AU NDIO KUSEMA TANZANIA jela ni yaa watu wadogo tu wasiokua na kitu mifukoni??????????????