Lawrence Masha na dd Simba kimenuka mazima!

fiksiman

JF-Expert Member
May 17, 2008
402
104
Lawrence Masha, former Minister of Home Affairs. In recent years, Mr. Masha has been accused on several occasions of conflicts of interest, including in the multi-million dollar national identity cards (IDs) project, which his ministry oversaw. His law firm, IMMA Advocates, has been linked to a controversial gold related project, Deep Green Finance, which is alleged to have siphoned $122 million from the Bank of Tanzania.

Iddi Simba, former Director General of the East African Development Bank and former Tanzanian Minister for Industry and Commerce, a position he had to resign from in 2001. He came under fire as reports surfaced about him having issued sugar import licenses to 44 companies instead of only 10, in an environment surrounded with circumstantial evidence of graft. A more recent scandal, which has tainted the entire government, involves the sale of the city transport firm Usafiri Dar es Salaam (UDA) to a local company Simon Group Ltd for $1 million. Simba is being investigated since the first installment of $200,000 was credited to his own bank account.

What will happen if these two CROOKS:alien: form an allie? It has happened and stay tune more is to come

Update:

Kwa wale wanaomkumbuka vizuri Lawrence Masha, pia watakumbuka jitihada zake za kuhakikisha ifikapo mwaka 2010 Tanzania itakuwa haina tena kambi za wakimbizi kule Kigoma. Na alifanya kila jitihada kuhakikisha kuwa zoezi hilo linafanyika kikamilifu. Kumbe yule bwana hakuwa na malengo hayo tu bali kuna-tetesi alikuwa akitekeleza agizo la Mdhamini wake, Idd Simba ili kupisha Mradi wa Kilimo ambao unatarajia kuwahamisha wakazi zaidi ya 162,000 ambao wengi wao wamekaa kwenye ardhi husika kwa zaidi ya miaka 40. Kikubwa ni kuwa ardhi hii ilikuwa ikikaliwa na wakimbizi na tayari walikuwa wakiitumia kwa shughuli za kilimo. Ni ardhi yenye rutuba ya kutosha. Pamoja na yote, Lawrence na kampuni yake ya IMMA ni washauri wa kisheria katika mradi huu (kama alivyojimegea mradi wa Vitambulisho).

Idd Simba kupitia kampuni yake (serengeti advisers) ambayo inamilikiwa kwa pamoja na familia ya Eyakuze wamepania kutekeleza mradi huo ambao kwa kushirikiana na kampuni ya Kimarekani ya Agrisol Energy utawekeza dola milioni 100 na utaendeshwa kwa kipindi cha miaka 10 ya awali. Yeye binafsi amekana kuwa kampuni yake haihusiki na kuhamishwa kwa wakimbizi hao ila Serikali ya Tanzania. Je swali liko hapa, Masha alikuwa akitekeleza majukumu ya Serikali au ya Kampuni ya Idd Simba?

Kumbuka pia, Serikali ya Tanzania ilianza mchakato wa kuwapatia uraia wakimbizi zaidi ya 162,000 kuanzia mwaka 2008 na mradi huo ulitegemea kumalizika April 2010, maanake ni kuwa watu hawa watakuwa raia ya watanzania baada ya mradi huo na wataendelea kuishi katika ardhi hiyo ambayo Masha ameiuza kinyemela na kulazimisha wakimbizi hao kurejeshwa ili dili lisigonge mwamba. Wakati tangazo la kuwapatia uraia wakimbizi hao linatolewa, mchakato wa tathmini ya eneo la mradi ulishaanza pia, kwa maana hiyo Masha alitoa tamko akijua kiwingu kinacholetwa na kimbizi hao.

Je mradi huu unafaida kwa watanzania?

Wakati kampuni ya Agrisol na mdau wake Serengeti Advisers wamewekeza dola milioni 100, kuna uwezekano wa kupata faida ya juu kuliko pesa walizowekeza. Kama mavuno yataenda sawa, watavuna tani 200,000 katika heka 325,000. Faida watakayopata ni zaidi a dola milioni 272 kwa mwaka, hii sawa na bajeti ya mwaka ya wizara ya kilimo. Lakini jambo jingine ni kuwa kampuni hii inadai ipewe Hadhi ya Uwekezaji yaani Strategic Unvestor Status, hii inamaana kuwa itasamehewa corporate tax ambayo ni asilimia 30 ya faida wakatayopata.

More to come....!
 
Naaaaam...tatizo mtaanza kulihusisha jina langu na kinachoendelea kwa hawa "MAFISADI" wawili
 
Mbona jamaa watapeta tu maana wezi ni wale wa mifukoni na waiba simu za mkononi. Wezi wa mali ya umma tunawaita ni waheshimiwa na vigogo. Hawastahili kutajwa majina yao kabisa
 
Naaaaam...tatizo mtaanza kulihusisha jina langu na kinachoendelea kwa hawa "MAFISADI" wawili

Hakuna atakayehusisha jina lako na kinachoendelea. Tatizo ni kwamba title ya uzi imekaa kinamna fulani na hivyo kuvuta hisia tofauti.

Wote tunajua kwamba Masha na Idd Simba wana scandals kibao, lakini mpaka leo bado wanapeta mtaani. Hakuna cha TAKUKURU wala Polisi ambao wanafuatilia huo ufisadi wao.

Labda ufafanue, kimenuka in what sense? Wanachunguzwa? Au Wamefunguliwa mashtaka? Hii nchi imeishakuwa na ya mafisadi na hivyo wao kwa wao hawawezi kushughulikiana, ila ukiwa Karumekenge kama mimi siku ukijaribu tu ujue kwamba unaenda kuozea gerezani. Waulize akina Maranda ambao wako gerezani wanatumikia kifungo na ilihali wengine waliokwapua EPA hiyo hiyo wanadunda mtaani na wala hawajarudisha fedha za EPA.
 
Mhhh! Inafaa kuanzisha forum ya kupost kwa kiswahili na kiingereza, maana inabidi kutumia nguvu hadi njaa.... kwa walioelewa eti Fiksiman anasema Lawrence Masha na Iddi Simba wamefanyeje? Eti wameteuliwa kufanya nini?
 
Na ule mradi wa Agrisol je? Nasikia Masha na Simba wana kampuni inaitwa Serengeti something...ambayo imeingia mkataba na Agrisol wawanyang'anye wakimbizi ardhi yao kule Rukwa.
 
Mkuu...., nimeipenda sana hii
 
Lawrence Masha, former Minister of Home Affairs. In recent years, Mr. Masha has been accused on several occasions of conflicts of interest, including in the multi-million dollar national identity cards (IDs) project, which his ministry oversaw. His law firm, IMMA Advocates, has been linked to a controversial gold related project, Deep Green Finance, which is alleged to have siphoned $122 million from the Bank of Tanzania.

Iddi Simba, former Director General of the East African Development Bank and former Tanzanian Minister for Industry and Commerce, a position he had to resign from in 2001. He came under fire as reports surfaced about him having issued sugar import licenses to 44 companies instead of only 10, in an environment surrounded with circumstantial evidence of graft. A more recent scandal, which has tainted the entire government, involves the sale of the city transport firm Usafiri Dar es Salaam (UDA) to a local company Simon Group Ltd for $1 million. Simba is being investigated since the first installment of $200,000 was credited to his own bank account.

What will happen if these two CROOKS:alien: form an allie? It has happened and stay tune more is to come

CE_Quirk.jpg oooh Masha siku hizi aonekani ameibukia huku..........Creative Eye Country Manager, Jenny Woodier (3[SUP]rd[/SUP] right) in a group photo with Mr. Lawrence Masha (3[SUP]rd[/SUP] left) and other officials of the advertising agency during the workshop held at the Double Tree Hilton Hotel in Dar es Salaam yesterday to mark the launch of the firm's digital services as part of its growth strategy
 
Hizi skendo mbona ni za siku nyingi. Mleta habari embu fafanua, ni kwamba skendo hizi zimeibuliwa upya leo, jana au juzi (i mean hot news kwa sasa) au unaongelea zile zile za zamani?
 
skini nchi yangu, mafisadi wanazidi kuitafuna bila ya kujali walalahoi:embarassed2:
 
skendo zote chafu za mjini, huwezi kumkosa mzee mmzima....mzee wa totoz...idd simba.
 
Eid Lion akiwa kwenye vyombo vya habari, anajifanya kuzungumza kama vile anamuonea huruma mtanzania maskini lakini akipata upenyo japo kidogo tu, anampora huyo huyo lofa hata kile kidogo alichonacho. Kumbuka Eid Lion ana uchungu na Burundi kuliko Bongo!
 
Na ule mradi wa Agrisol je? Nasikia Masha na Simba wana kampuni inaitwa Serengeti something...ambayo imeingia mkataba na Agrisol wawanyang'anye wakimbizi ardhi yao kule Rukwa.
Nadhani nimesoma mahala kampuni husika 'Agrisol' wamejitoa kwenye sakata hilo...
 
mleta mada hajaelezea chochote kipya,nikimtukana mtu kama huyu naishia kupigwa ban..
 
Swala la kisheria hilo, tuwaachie wanaolishughulia ili baadaye tujue mbichi na mbivu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom