Lawrence Mafuru umewakilisha vyema majivuno/maringo ya Wajita

Wee ni mpuuz unalako jambo,unadisi watu usiowajua,kama kabila lako washamba endelea na ushamba,by the way mkoa wa Mara kabila lililoanza kuelimika/to be civilized ni wajita,coz wamishionari wa kijeruman waliaanzia MAJITA-BWASI,kufa huko na ushamba wako!!..
Haya, li-jita jingine hili huku!. Angalia povu lilivo mjaa. Wajita badilikeni bhana. Mnatoka majita na yeboyebo kuja mjini afu mwajifaragua kana kwamba watu wa maana.
We kweli umeonesha umburura wa kijita. Unajivunia utamaduni wa wajerumani kwa kuwatwanga babu zako bakora za makalio hadharani ndo unasema umekuwa civilized!
Kwa hiyo na wewe mjita unataka kujifananisha na wajerumani? Tehe,tehe, tehe! Kweli ujinga mzigo.

Kutawaliwa na wazungu anajiona sio mjita tena! Zombi wa mazombi!
 
Yani wewe ndo Mpumbavu kabisa wa Mwisho, Sikutegemea uingize Mambo ya DINI hapa, Acheni Wivu wa Kijinga, Kama kabila lenu Elimu iliwapita shauri zenu, Acheni Ujinga Na Kabila Letu. Ulaaniwe kabisa ww. Unawazungumzia wasabato na Ujita? Mungu ashughulike na wewe. PUMBA KABISA
Na wajita wa kisabato kwa kupenda biashara ya kulaani wenzenu utafikiri huyo Mungu mnakaa nyumba moja!
 
Haya, li-jita jingine hili huku!. Angalia povu lilivo mjaa. Wajita badilikeni bhana. Mnatoka majita na yeboyebo kuja mjini afu mwajifaragua kana kwamba watu wa maana.
We kweli umeonesha umburura wa kijita. Unajivunia utamaduni wa wajerumani kwa kuwatwanga babu zako bakora za makalio hadharani ndo unasema umekuwa civilized!
Kwa hiyo na wewe mjita unataka kujifananisha na wajerumani? Tehe,tehe, tehe! Kweli ujinga mzigo.

Kutawaliwa na wazungu anajiona sio mjita tena! Zombi wa mazombi!
Mkuu huyo anatoka sehemu moja inaitwa MAJITA MAKOJO( mkojo)
 
SIONI SABB YA KUGENERALIZE YA MAFURU NA KABILA LA WAJITA.HUKO NI KUCHAFUA MAKABILA YA WATU.KIMSINGI ULIPASWA KUMDISCUSS MAFURU NA SI KABILA LAKE.NI UPUUZI WA HALI YA JUU KARNE HII KUISHI KWA KUKARIRI HABARI ZA MAKABILA.@GENT
 
Mleta uzi kwani we wa wapi naona umemkomalia POTI wangu mbona mnafanana wewe kwani mzungu mbona umejichubua sura yako si inaonekana uafrika unauchukia kwa jina lako tu muache mafuru ateme mayai bhana
 
Wew gentamycizine me nakuona fala tu,ng'ombe tu,fisi,tu na maneno yako yote ya kwenye khanga,watishe wajinga wenzio,kama kingereza hujui c ukasome,mbuz wew,afterwards nakuambia usipokuw makin UTAOLEWA,napendekez uje kwetu,Tarime/Bunda uolewe,mende wa maziwa wew!!..

Umeshamaliza Wewe Choko?
 
Nimeamua kukutukana coz hujiheshimu,kichwa kikubwa akil nukta,Mpuuz sana wew jamaa,u'r a literary bitch!!..

Uzuri ni kwamba huo u ' bitch ' aliuanza Mama yako Mzazi na ndiyo maana hata Wewe ukazaliwa na huo huo u ' bitch '. Uzuri ni kwamba umeanzisha ' Matusi ' na ' Kashfa ' katika Makao Makuu au Pentagone ya hayo hayo matusi na hizo kashfa zako hivyo nitakufundisha jinsi ya ' kutukana ' na hadi ' kukashifu ' kwani naona bado unahitaji ' msasa ' huku pia ' nikikupumulia ' Kisogoni na ' Mkuyenge ' wangu ' ukitambaa ' tu na hilo ' nyero ' lako.
 
Kupakuliwa kwa kiswahili kilichozoeleka ni kufi**, najua lina maana nyingine lkn siyo maarufu km ilivyo hiyo, Acha uswahili wa kitoto, na usitake kubadili maana yako, na usijifanye mjuaji sana kuliko wengine.

Naona bado kumbe unataka ' kupakuliwa ' Mkuu. Na siyo tu kwamba najua kuliko wengine bali tambua ya kuwa I am Intelligent by nature na laiti tu ' Ukoo ' wako wote ungepata tu hata ' theluthi ' ya IQ yangu mngejisifu sana ila bahati mbaya ni kinyume chake.
 
Toga Gentamycine huyo Ana chisege sana.

Oneni sasa kwa jinsi ' uzi ' wangu ulivyowaguseni ' Wajita ' wote mnaanza ' kupovuka ' na kutukana kwa ' kilugha ' chenu na mnadhihirisha ' vividly ' kabisa kile nilichowasema kupitia kwa Ndugu yenu Mafuru.
 
Lakini Mkuu mbona Mimi nimekaa kwa takribani miaka miwili ( 2 ) na aliyekuwa Balozi Mdogo wa Tanzania nchini Uganda Marehemu Mufungo Silas Mujaya ( R.I.P ) kati ya mwaka 1998 hadi 2000 pale Nyumbani kwake Kololo Kampala ambaye ni ' Mjita ' wa ' kutukuka ' kabisa lakini hakuwa na haya maringo / majivuno mengi ambayo ninayaona kwa Wajita wengi? au ni ' ushamba ' na ' ulimbukeni ' ndiyo unawasumbua? Ulikuwa huwezi jua kama Marehemu Mzee Mujaya alikuwa ni ' Mjita ' kwani alikuwa ni Mtu ' mkarimu ', mwenye ' huruma ' na mpenda Watu sana na najua hata Watanzania tuliokuwa Uganda miaka ya 1996 hadi 2001 mtakubaliana nami kuhusu ' uwema ' wa ' kutukuka ' kabisa wa huyu ' Mjita ' Marehemu Balozi Mufungo Silas Mujaya. Wajita ' badilikeni ' kwani bado hamjachelewa!
Wajita wa aina hiyo ni wale walio changanyikana na makabila mengine.
 
Myself i like kuongea lugha ya Kingereza mda wote kwakuwa nilisoma kwa gharama english medium.
Sasa wewe umesoma kayumba upo shallow then unajifanya unajua lugha eti hutaki kuongea!

Nimesoma kwa gharama ngoja nikipige sawasawa
 
mimi ni Chotara wa kijita. Nimekaa na wajita karibu 60% ya maisha kuna vitu nimejifunza.
Baada ya kupitia kila sentesi humu. Nimegundua mleta mada ni darasa la saba lakini anajiamini na kujikubali sana na uwezo wake kiakili(kitu kizuri). Lakini Anaudhifu wa watu karibu wote ambao mfumo wa elimu haukwa rafiki kwao uwezo mdogo wa kuhimili changamoto hivyo kukimbilia kwenye kukasirika, lugha chafu na matusi kama ulinzi wake. Pia kama anaasili ya Rwanda, watu wa rwanda hasa watutsi wanajiona wao ni bora kuliko mtu yoyote afrika mashariki na kati kama sio afrika yote. Ukiangalia kwa kina hapa naona mgongano wa kimaslahi baada ya kukutana na kabila dogo lenye kuamini nao ni bora sana tena bila kujilinganisha na yoyote na kwa vitendo.

Baada ya Kusema hayo, Zifuatazo ni sifa nzuri za wajita Popote utakapomkuta.

1/ Maridadi na Hafurahii kuwa chini ya Kiwango au ubora
2/Wengi wanaakili sana labda kwa sababu ya Omega 3 ya kwenye mafuta ya Chengu na gogogo.
3/Wanajiamini sana na Sio watu wa kubabaishwa, Wako radhi walale njaa kuliko kunyanyaswa.
4/Watetezi wa haki za wanyonge
5/Wanamisimamo kwa vitu wanavyoamini ni sahihi.
6/Sio waoga hata kama ni mdogo
7/Hawapendi kubaki nyuma muda wote wanataka wajue kinachendelea (wanapenda updates):Yawezekana hapa ndio umbea unaanzia
8/Wanapenda wageni na kuonyesha kuwa mgeni kajaliwa. Hii ni sana kwa wajita wasionacho
9/Kama kashika dini (Wengi wasabato) kwelikweli humuamishi hata cm moja na anakuwa mwaminifu kupitiiza.
10/Ukikuta hajaenda shule (mjuaji) lkn kama kaenda shule kweli na atahakikisha anaelewa kila kitu na kuwa mtaalamu kwa gharama yoyote ile na huwezi kushindana nae kirahisi, yuko radhi kubishana hata siku tatu mfululizo kwa hoja, mifano na tafiti sio uongo na kuzusha.
11: Watu wenye ushawishi

KUHUSU UBAYA WAO;
Endeleeni kuorodhesha ila mengi yanaukweli japo La Uchawi mnawasingizia
 
Back
Top Bottom