TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,889
- 11,285
mkuu kuna waivers huwa zinakua granted kwa extension, na kama anakua yeye basi atanaletewa wapambe hasa kwenye treasury na finance [wenye rangi yao na pesa zao]... eniwei mimi si bankerBOT's requirements na sio limewashinda, ilikubaliwa wazungu washike kwa muda wawafundishe wazawa management then waaondoke. Kuna vitengo kama vya idara ya mikopo na finance nao wanatakiwa wawachie wazawa ili mikopo itoke zaidi kwa manufaa ya makampuni ya watanzania na sio makampuni ya wawekezaji wa nje tu.