Lawama...

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,839
Kina mama naomba niwaulize swali leo hii,
Hivi kwanini mnapenda manung'uniko na kulalama sana? yaani mtu kufumba na kufumbua anakuanzishia soo bure bure tu...

Mnatufanyisha wengine tuone hivi vibanda tulivyojenga kama vituo vya polisi au transit point, na kuwafanya wengine wakitokea kazini bar,....au wenye 'IQ ndogo' kutokomea nyumba ndogo.

Nini "tatizo" hasa?
 
Inawezekana wewe ndio chanzo.Hakuna mtu anyelalama bila sababu za msingi unless awe anamatatizo ya kisaikolojia.
 
Ndivyo walivyo.....kama huamini subiri waje hapa....
Jamani wakuu,
Tusiwalaumu wakina mama peke yao! Kuna wanaume nao wanawakera wake zao! Manung'uniko kibao! Hata wapewe nini bado hawaishi kunung'unika! Ndiyo maana baadhi ya wanawake huamua kujitafutia 'serengeti boys' kwani hivyo vibanda mlivyowajengea vinakuwa kama ni 'segerea'
 
Inawezekana wewe ndio chanzo.Hakuna mtu anyelalama bila sababu za msingi unless awe anamatatizo ya kisaikolojia.

...haya GS, lakini kuna wengine hata ukiwabembeleza na kuwauliza "unalalamika nini mahabouba wangu eeh, maana mimi sikuelewi" anazidi kunung'unika na kulalama kwanini huelewi, sasa niseme uongo nimeelewa?!
 
hakuna binadamu aliyekamilika usikute wewe mwanaume ndio chanzo labda umeombwa ufanye kitu unakuwa mbishi unadhani matokeo yake nini kama sio lawama jaribu kuwa msikivu wa kila kitu uone kama atalalamika,akiendelea basi hiyo ujue ndio huluka yake
 
Mbu umenichekesha hadi nikakumbuka swali ambalo huwa najiuliza mara kwa mara, mwanaume na mwanamke nani huwa anapenda kudekezwa sana.
Pole but tumetofautiana sana Mbu wapo wanawake walalamikaji na wale wasiolalama. Mimi huwaga najionea kila kitu sawa tu mpaka huwa naambiwa 'Sometimes be a lady kidogo, deka deka kidogo' Ila kama walivyosema wengine usiombe kukutana na mwanaume mwenye gubu utajuta!! I am talking from my own experience yaani nilikuwa nabaki natumbua mijicho utadhani naingiza vocha kwenye simu!
 
tatizo hawataki kukubali kua wao ndo husababisha manung'uniko,mfano unakuta baba kila siku anadai hana hela ila akirudi home anataka akute msosi mtamu,nyama, samaki,mbogamboga na matunda,,akikosa anaanza ugomvi.mwishoe anaanza katabia anakula nje,familia inaanza kuteseka,sasa hapo kwa nini mama asilalamike.... ingawa wengi wanastrugle maana most of mamas hawapendi kuona watoto wao wakihangaika.
 
I am talking from my own experience yaani nilikuwa nabaki natumbua mijicho utadhani naingiza vocha kwenye simu!
Ha ha ha MJ1 dah asubuhi asubuhi tunaamkia na kucheka..dah kweli leo weekend itakua poa! thanks!!
 
Mbu umenichekesha hadi nikakumbuka swali ambalo huwa najiuliza mara kwa mara, mwanaume na mwanamke nani huwa anapenda kudekezwa sana.
Pole but tumetofautiana sana Mbu wapo wanawake walalamikaji na wale wasiolalama. Mimi huwaga najionea kila kitu sawa tu mpaka huwa naambiwa 'Sometimes be a lady kidogo, deka deka kidogo' Ila kama walivyosema wengine usiombe kukutana na mwanaume mwenye gubu utajuta!! I am talking from my own experience yaani nilikuwa nabaki natumbua mijicho utadhani naingiza vocha kwenye simu!

here you come again on a friday morning my dear hahaaaaaa!!!!! ila sema na hawa nao hawaelewekagi wanataka nini, u be that he would wish you were this.........
cha maana dance to the ryhthm!!!!
 
Alrite B, nimekusoma apo! leo umesema una nanihii eeh?:rolleyes:

Yee Mungu ume edit B!!!!!

ndio leo ndo siku yenyewe

Lakini B ukilalamikiwa hujisikii raha kweli?? si sehemu ya mahaba tu!!!
 
Yee Mungu ume edit B!!!!!

ndio leo ndo siku yenyewe

Lakini B ukilalamikiwa hujisikii raha kweli?? si sehemu ya mahaba tu!!!

hahahaha B,

Unajua 'kulalamika' kwa mahaba na mahanjumat bin 'Al-batar' ni tofauti na anayosema Mbu hapa.....

Mi nina bahati kubwa kweli sipati malalamiko ya ki ivyo, ila napata yale ya kiuhamasishaji B.....au nimeingia ndani sana sweetheart?
 
leo hujaingia deep nitakavyo ujue Ijumaa hii hunny bunny!!!

Ni kweli lakini na sie wakati mwingine tunakuwaga na gubu tu, kulalamika bila sabau ya msingi na kumpa karaha mwenzio!!! lakini ile ya 'deko' inalipa bana (tabu uwe na wako kama MJ1 na BHT vichwa ngumu)
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom