Lawama nimpe Nani?

pamoja na hayo unadhani ni makubaliano rahisi kuyafikia? kuna mfano mwingine hai ningekutolea lakini nahisi utanila nyama,ngoja nijinyamazie tu.

Bishanga wangu...usinichukulie hivyo jamani, nakupenda ujue, uctishike na sera zangu bwana! haya niambie bac.....hapo red Bishanga, mama alijipanga na akaamua hayo maamuzi, hujiulizi kwann hakumpa hiyo chance shoga/rafiki mpaka akampa mdogo wake? alijipanga akayaamua hayo, hapo kwangu nin sawa kabisa, coz ni wameamua iwe hivyo!
 
Makosa yatakuwa ya mwenza wa aliyemega au kumegwa.............kama humpi kitu ambayo akikaa ofisini anacheka mwenyewe unategemea nini???!!!
haijalishi kala/kaliwa na nani..........issue inabaki pale pale.......kaliwa/kala!!

aisee...kazi ipo haswa! pwehhh
 
MJ1 ..umemsahau mtu wa tatu. ambaye yupo kati yao..anaitwa Sheeeetani!

Ukiwa rafiki na huyu jamaa anakubadili akili na kuwa punguani au Juha hadi unaweza kutembea na mtoto wako au mama yako mzazi..
Tulizo kusema ukweli nafikiri sasa kuna mengine hata shetani mwenyewe anatuonea aibu. Ah tumekuwaje sijui? Hivi pamoja na kusema kuwa ni kwa kuwa siku hizi press imekuwa na kupanuka lakini ninajikuta ninataka kuamini kuwa zamani hakukuwa na makitu ya namna hii. Siku hizi kila kitu tunaona ni sawa na halali!!!

Mi mpaka ninaogopa!
 
Wote ndio mashetani wenyewe adhabu yao kufungwa jiwe la kusagia shingon na kutupwa baharin, kama atakuwa amebakwa basi mbakaji adhabu yake ni kuchemshwa kwenye pipa la mafuta mpaka aishie huko.
Kudadadeeeeeki duh!! Wewe unaweza kumkaanga mtu na maji ya moto kwa hisia tu.
 
Makosa yatakuwa ya mwenza wa aliyemega au kumegwa.............kama humpi kitu ambayo akikaa ofisini anacheka mwenyewe unategemea nini???!!!
haijalishi kala/kaliwa na nani..........issue inabaki pale pale.......kaliwa/kala!!
Mkuu Big avatar na comment zako zimerandana sana lol
 
huu ni ukosefu wa maadili,kukosa hofu ya mungu na kumtumikia shetani MJ1
kwa akili za kibinadamu akitawaliwa na shetani inawezekana ..lakini kama una hofu na mungu it is imposible
 
Kama mke au mume wa mtu ametembea na shemeji yake (binamu/mdogo/rafiki) wa mumewe au mkewe, kosa ni la MKE/MUME - hakuna cha shetani wala ati ''inategemea na situation yenyewe''. Full stop
 
kusema wote wanamakosa inategemea na situation yenyewe, maana kuna sometimes mtu unafanyiwa visa mpaka unashindwa kupata suluhu, maana kusema kwa shemeji yako inakua ngumu ukiogopa kuvunja ndoa ya kaka au dada yako. ndo maana sa ingine mtu unasema "kubali yaishe"

Zanta situation zipi hizo zinazowezaruhusu usaliti wa aina hii? Umetoa mfano wa mtu anayefanyiwa visa tafadhali naomba unifafanulie basi maana sijakuelewa vizuri

Hata mahakamani kuna sheria ya "kuua bila kukusudia" kwa hiyo lazima tuangalie situation ilikuwaje mpaka ikapelekea hayo!

Bado unazungumzia mazingira- nadhani una maanisha kubakwa au? Supposed ni watu wazima na hakukuwa na tukio la kubakana. Je kuna situation nyingine kweli inayowezaruhusu usaliti wa aina hii?
hapo labda iwe amebakwa otherwise wote wana makosa makubwa sana! alikutongoza ungeniambia/nijulisha...visa kama vipi hapo vya kufanya utembee na shem wako?...ukiona watu wana mahusiano kama haya ujue wameamua kufanya, hakuna cha shetani wala ibilisi...cjui kama ntaweza wasamehe wote wawili.

Aksante Da Mkubwa hapa umenisaidia kumswalika Zanta hapa ili afafanue zaidi. Mie yamenichosha kusema ukweli.
 
Kama mke au mume wa mtu ametembea na shemeji yake (binamu/mdogo/rafiki) wa mumewe au mkewe, kosa ni la MKE/MUME - hakuna cha shetani wala ati ''inategemea na situation yenyewe''. Full stop

Aksante Consultant......hapa nimekuelewa ila naomba nikupate vizuri ina maana kosa litakuwa la mtu mmoja tu? Kama mke amekutwa anatembea na shemeji yake, kosa litakuwa la mke na kama mume amekutwa na shemeji yake basi kosa ni la mume?? What about huyo shemeji mtu?
 
Bishanga wangu...usinichukulie hivyo jamani, nakupenda ujue, uctishike na sera zangu bwana! haya niambie bac.....hapo red Bishanga, mama alijipanga na akaamua hayo maamuzi, hujiulizi kwann hakumpa hiyo chance shoga/rafiki mpaka akampa mdogo wake? alijipanga akayaamua hayo, hapo kwangu nin sawa kabisa, coz ni wameamua iwe hivyo!

ulimi laini ulimtoa nyoka pangoni!
 
huu ni ukosefu wa maadili,kukosa hofu ya mungu na kumtumikia shetani MJ1
kwa akili za kibinadamu akitawaliwa na shetani inawezekana ..lakini kama una hofu na mungu it is imposible
Nakuelewa Mama Mchungaji na ni kweli kabisa kuwa Mtawala wa dunia hii ameshika kasi kiasi kwamba watu hawana tena hofu ya MUNGU. Sasa hawa wanaofanya hivi wewe kama wewe unamlaumu nani? maana katu siwezisema namlaumu shetani kwani nakumbuka kule Eden tulishaonjeshwa ile ladha ya mti wa Mema na Mabaya!! So mtu mzima anaelewa kabisa kuwa hili ni baya na bado analikimbilia!
 
Wapendwa hamjambo?

Ninaomba mnisaidie kufikiri maana sasa naiona dunia ya mapenzi kama uwanja wa fujo tu ambao natamani kama ningeweza kujiepusha nao niuepuke.

Nimesoma na kusikia visa vingi sana vya mapenzi ila ambacho ninashindwa kukielewa lawama nimtupie nani ni hiki cha mtu na shemeji yake!! Yaani iwe
1. mke kutembea na shemeji yake i.e. kaka/mdogo/binamu wa mume wake
2. Mume kutembea na shemejiye i.e. dada/mdogo/binamu wa mkewe.

(Nimewaexclude marafiki kwa kuwa nahisi wao hawaangukii kwenye huu mshangao wangu).

Je kosa ni la nani kati ya hawa?

Hii mbona simple. Lawama zote huwa zinamwendea SHETANI. Hiki ni kisingizio wanachotumia hata wale wanaoamua kwa maksudi kabisa kufanya hayo unayoyasema na mengine makubwa zaidi ya hayo.
 
Aisee, sometimes sijui MJ1 anafikiria nini kabisaaaaaaaaaa
Sweetheart .......sometimes mawazo yanaranda tu hewani na hivyo kupick any particle iliyopo angani. Nothing substantial mydia. Just wondering!
 
MJ1.....ikitoke hii ctaoa msanaha kwa wote wawili, hii tabia ni chafu sana sana, kwanza ka huyo ndugu yangu atakuwa ameidhalilisha familia nzima, kwa mwanaume itakuwa ndio mwisho wetu coz kama hii ni dharau ya kutosha kwangu...ickie kwa m2 wa mbali....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom