Law school gumzo.

mtoto wa mfugaj

Senior Member
Jul 18, 2011
136
29
Jaman wa tz wenzangu,bachelor ya sheria imekua si kitu bila law school,mtanzania halisi amesoma shule za kata ,chuo kapata mkopo lakini law school hakuna mkopo hivyo degree yake ya sheria inakua haina deal maana waajiri wanahitaji mtu aliyesoma law school.gharama za law school ni kubwa sana kiasi kwamba mtanzania asie na uwezo hawezi zimudu,je hii ni sawa? Ukizingatia law school tanzania nzima iko dar pekee wkt vyuo vingi tz vinatoa shahada za sheria hivyo uhitaji wa law school umeongezeka na unaongezeka kila mwaka.
 
Hapo ujue maana yake ni kwamba wasomi wa law mmekuwa wengi mno kulinganisha na soko. Ndiyo maana wakaweka hiyo sifa ya ziada.
 
Jaman wa tz wenzangu,bachelor ya sheria imekua si kitu bila law school,mtanzania halisi amesoma shule za kata ,chuo kapata mkopo lakini law school hakuna mkopo hivyo degree yake ya sheria inakua haina deal maana waajiri wanahitaji mtu aliyesoma law school.gharama za law school ni kubwa sana kiasi kwamba mtanzania asie na uwezo hawezi zimudu,je hii ni sawa? Ukizingatia law school tanzania nzima iko dar pekee wkt vyuo vingi tz vinatoa shahada za sheria hivyo uhitaji wa law school umeongezeka na unaongezeka kila mwaka.
If you think Education is Expensive, try ignorance!
 
Mtajuta mlimchagua wenyewe!!!!!
 
Back
Top Bottom