Law for the Prevention of Genetically Diseased Offspring!

bona

JF-Expert Member
Nov 6, 2009
3,798
1,435
wana forum naendelea na utafiti wa kutaka kujua kwa nini bara la africa haliendelei, nikachek history nikakutana na ishu kua wazungu au european countries walikua na sheria ambazo zilikua zinazuia baadhi ya watu au koo zisiendelee ku exist kwa sababu zilikua zina matatizo mbalimbali je hii ni sababu ya nchi hizo kua na fine individuals than huku kwetu africa kwani hatujawai kua na sheria kama hizo? sheria yenyewe inavitu vifuatavyo;-
The basic provisions of the law stated that:
(1) Any person suffering from a hereditary disease may be rendered incapable of procreation by means of a surgical operation (sterilization), if the experience of medical science shows that it is highly probable that his descendants would suffer from some serious physical or mental hereditary defect.(2) For the purposes of this law, any person will be considered as hereditarily diseased who is suffering from any one of the following diseases: – (1) Congenital Mental Deficiency,(2) Schizophrenia,(3) Manic-Depressive Insanity,(4) Hereditary Epilepsy,(5) Hereditary Chorea (Huntington’s),(6) Hereditary Blindness,(7) Hereditary Deafness,(8) Any severe hereditary deformity. (3) Any person suffering from severe alcoholism may be also rendered incapable of procreation.
 
No brother... Nadhani hypothesis yako haiko valid kabisa kutokana na sababu zifuatazo

  • sio kweli kwamba bara la Africa haliendelei. pengine ni rate ya kuendelea iko chini
  • Hakuna utafiti uliothibitisha (kama upo naomba reference) kuwa ulaya wana watu ambao wako fine than huku kwetu Africa
  • Hakuna utafiti uliothibitisha (kama upo naomba reference) kuwa kwa kuwepo kwa watu wenye hayo magonjwa na ulemavu wa kurithi, nchi haiendelei
  • Hakuna utafiti uliothibitisha (kama upo naomba reference) kuwa watu wenye hayo magonjwa na/au ulemavu wa kuruthi ndio wanaosababisha (au uwepo wao unasababisha) rate ndogo ya maendeleo Afrika.
  • Zipo nchi nyingi Duniani zimeendelea lakini hazina hiyo sheria na nyingine ni za Afrika (mfano Botswana, Eq. Guinea).
 
Mi sidhani tu kama hizo law zipo... it could be a rpject ambayo ili abort ila haipo kabisaaaa. nawajua wazungu wengi wako hivo but wanazaa sana tu. Mel Gibsson is a Maniaco Depresive but he has FIVE kids. kuliko hata waafrika hapo.
Madona is maniaco depresive, she has a daughter, lourdes.
Michael Jacso was maniaco depressive he did not have kids but was allowed to adopt two kids. PAris and Prince.
Hiyo law ni ya nchi gani??? na ilisainiwa mwaka gani??? una statistics ya watu ngapi wamesha kua victims hapo????
PLUS: Africans problems are political/governance problems. Africans intelectual potential is just the same as any other continent's. Kwanza given our hability to adapt, to inovate and to survive maybe yetu iko juu kidogo kuliko wale walizaliwa under well organized countries where if you have money unanunua starehe.
 
the problem of underdervelopment of Africa can be traced back to colonialism and neo-colonialism hiyo fact yako mkubwa ni sifuri coz hayo yote uliyo taja haro juu ni pumba tu na hakuna sheria kama hiyo Africa and there are living proofs of people wenye hayo matatizo and they have made tremendous changes in the world.Kutokuendelea kwa Africa and mostly Tanzania kumechangiwa sana na ukosefu wa nidhamu kwa viongozi kwani wamejikita katika kujifaidisha wao wenyewe na watu wa tabaka lao na kusahau maendeleo ya nchi yetu.Ufisadi pia umekithiri kwenye bara letu pia uwoga wa wananchi katika kupigania maslahi yao na ya nchi yao laiti watu tungeamka na kupambana na ufisadi nchi yetu ingeendelea. Jambo lingine Watanzania tumezidi uvivu tumezoea mambo ya kupewa misaada kila wakATI HIVYO DHANA HII inazidi kutudidimiza.
 
mzee ishu ya kusingizia colonialism does not hold water for now, i was fed that gustapo crap toka chuo ila nimekuja jua si kweli kwani kuna nchi nyingi zilikua colonised na zinaendelea mfano mzuri ni nchi za south east asia, singapore etc hata south america kama brazil, nchi kama india etc

hizi lawa zilikua muhimu sana miaka ya mwanzo ya karne ya 21, nchi zote kubwa kipindi icho walikua bize kubreed fine people, usa, japan, uk, german etc walikua na sheria hizi baada ya kutimiza lengo wakaziabolish kwa kigezo cha human right kama walivyo abolish slave trade baada ya industrial revolution!
 
No brother... Nadhani hypothesis yako haiko valid kabisa kutokana na sababu zifuatazo

  • sio kweli kwamba bara la Africa haliendelei. pengine ni rate ya kuendelea iko chini
  • Hakuna utafiti uliothibitisha (kama upo naomba reference) kuwa ulaya wana watu ambao wako fine than huku kwetu Africa
  • Hakuna utafiti uliothibitisha (kama upo naomba reference) kuwa kwa kuwepo kwa watu wenye hayo magonjwa na ulemavu wa kurithi, nchi haiendelei
  • Hakuna utafiti uliothibitisha (kama upo naomba reference) kuwa watu wenye hayo magonjwa na/au ulemavu wa kuruthi ndio wanaosababisha (au uwepo wao unasababisha) rate ndogo ya maendeleo Afrika.
  • Zipo nchi nyingi Duniani zimeendelea lakini hazina hiyo sheria na nyingine ni za Afrika (mfano Botswana, Eq. Guinea).

mzee si kweli kwamba tunaendelea kwani development is a relative term! maendeleo yanapimwa kwa gap kati ya pande mbili unazozilinganisha, kama gap lilikua dogo miaka ya 60's and 70's kati ya nchi za africa na ulaya kuliko lilivyo sasa huwezi kusema kua tunaendelea labda unavigezo vya maendeleo vile vinavyoficha ukweli kama GDP, uwingi wa magari na majengo etc
 
Back
Top Bottom