Laurence Masha mbioni kufanya maamuzi magumu

Mzee huyo mnamtesa bure wakati bado anasubilia kifungo

Josorobert;
kweli mafisiem mna shida kuuubwa. Yaani mnaamini kuwa Magufuli atathubutu kumtikisa Lowasa?? Mbona jamani mna macho mabovu hivyo??
Huyu boss wake si naye alikuwa miongoni mwa ile list of shame?? Atamfanyaje?? Je EL alikuwa miongoni mwa wanufaika wa Escrow?? Acheni utoto jamni
 
Join Date : 27th September 2015
Posts : 33
Rep Power : 307
Likes Received4
Likes Given0

Utakuwa umeingia kwa ID nyingine kwa kazi maalum, nyie ndo mnaleta machafuko kwa kuzomea wagombea. Wacheni watangaze sera zao, wananchi wanaona pumba na mchele.

Changia mada
 
Mvutano mkali wa kutoaminiana umejitokeza miongoni mwa kamati tendaji ya Lowasa, shutuma kali za kufichua taarifa muhimu za vikao na kuzipeleka CCM zimekuwa zikitolewa kwa Masha. Hofu imetanda kuwepo na wasaliti ndani ya kamati ya mzee kitendo ambacho baadhi yao wamedai kufanya maamuzi magumu endapo hali hiyo itaendelea. Aidha swala la matumizi ya feza nalo limezua mvutano mkali, wapo wanaotumia feza kwa kujinufaisha na sio kwa kazi ya mzee.

Hiki ndo pekee mnachokijua

View attachment 292149
:fish: :fish: :fish:
 
kweli maccm mna kazi kubwa sana maana mnataka kuzuia mafuriko kwa mikono jambo ambalo mnajidanganya sana.
 
Mvutano mkali wa kutoaminiana umejitokeza miongoni mwa kamati tendaji ya Lowasa, shutuma kali za kufichua taarifa muhimu za vikao na kuzipeleka CCM zimekuwa zikitolewa kwa Masha. Hofu imetanda kuwepo na wasaliti ndani ya kamati ya mzee kitendo ambacho baadhi yao wamedai kufanya maamuzi magumu endapo hali hiyo itaendelea. Aidha swala la matumizi ya feza nalo limezua mvutano mkali, wapo wanaotumia feza kwa kujinufaisha na sio kwa kazi ya mzee.

Ndio sababu yako ya kujiunga jana? Tafuteni mbinu nyingine basi, jiongezeni siku zinaisha bandugu
 
Karibu jf,na kama ni chupa mpya wine ya zamani karibu pia.
 
Attachments

  • 1443461557136.jpg
    1443461557136.jpg
    12.5 KB · Views: 337
hata sishangai ,Masha ni wa kaskazini kwani?lazima asiaminiwe,Masha rudi kwenye chama cha kitaifa CCM
 
Kwani mamvi kabla hajatoka ccm si zilianza tetesi kuwa atahama na kweli akahama..... Sasa leo nyinyi makawa mwajidai kushangaa masha kuhama?... Mtanyooka tuuuuuu
 
kwa leo na kesho lazma mhangaike sana.... maana pigo la tanga halikutegemewa kabisa

Lau yupo gado
 
Back
Top Bottom