Laurence Masha mbioni kufanya maamuzi magumu

Bora Lipumba aligundua mapema kua UKAWA ya sasa inaelekea kuiua CUF akasepa. Duni na akili zake kama jina lake kaimaliza kabisa CUF

Mwenezi na itikadi wa ukawa (mbatia) njoo huku ujibu maswali watu wanauliza, babu duni yu wapi mbona hata simu yake not reachable, au ndo kasepa kiana?
 
Nyie new member bwana mna shidaa sana mtu kajisajili jana tu, mie siku hizi naangalia na mleta post amejisajili lini ndio naweza soma content zake

Mawazo mgando hayo ukiongea mbele ya wanainchi utapigwa mawe. Kwa hiyo graduate wasipate ajira kisa experience, pole sana . Magufuli anakuja kudeal na watu wa design kama yako.
 
Masha yupo salama ninyi ni ccm IT waliochoka kwa ubunifu dhaifu ingekuwa hivyo aaah mapema mngeitoa bado sana mtasubiri sana sana
 
Waache wapige mwisho wao october, Magufuli atawashughulikia.

Unajua baada ya octoba Magufuli atakuwa nani? Nobody, maana sio mbunge wala waziri tena. Pia hata kwenye ccm sio mjumbe hata wa tawi na ccm watakuwa na hasira naye kwa kuwakosesha ulaji.
Atabaki kuwa mkurugenzi mwenza wa ile hotel aliyomjengea kimada kama naye hataamua kumtosa.
 
Mvutano mkali wa kutoaminiana umejitokeza miongoni mwa kamati tendaji ya Lowasa, shutuma kali za kufichua taarifa muhimu za vikao na kuzipeleka CCM zimekuwa zikitolewa kwa Masha. Hofu imetanda kuwepo na wasaliti ndani ya kamati ya mzee kitendo ambacho baadhi yao wamedai kufanya maamuzi magumu endapo hali hiyo itaendelea. Aidha swala la matumizi ya feza nalo limezua mvutano mkali, wapo wanaotumia feza kwa kujinufaisha na sio kwa kazi ya mzee.
Kopi and pesti ... hayo ya kwenu ficm sisi hatuna habar hizo
 
Mvutano mkali wa kutoaminiana umejitokeza miongoni mwa kamati tendaji ya Lowasa, shutuma kali za kufichua taarifa muhimu za vikao na kuzipeleka CCM zimekuwa zikitolewa kwa Masha. Hofu imetanda kuwepo na wasaliti ndani ya kamati ya mzee kitendo ambacho baadhi yao wamedai kufanya maamuzi magumu endapo hali hiyo itaendelea. Aidha swala la matumizi ya feza nalo limezua mvutano mkali, wapo wanaotumia feza kwa kujinufaisha na sio kwa kazi ya mzee.

Ndugu hawa hawata fika kokote niporojo tu
 
Back
Top Bottom