Laugh a bit....

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Katuni hii imenifurahisha sana, eti huu ni ukaguzi wa airport kama tumefika huku basi kweli dunia si mahala salama tena..
Angalia hii attachment au gonga hapa
 
Sharrow Barrow,
ni baada ya kijana wa kinaijeria kujaribu kufanya tukio la kigaidi ndio hali imekuwa mbaya namna hiyo.
 
attachment.php
 
Bha!,

Teheeeeee,

Hako kajamaa kalikozama chini na lensi ambako kamejipumzisha kabisa kwa upande wa "LHD" ka nkumbusha enzi zile ya "chule ya nshingi bwana wewe", kha!, kuwaje hapo tena??..

ilikuwa unazama chini na kioo kuangalia "mistari ya ikweta" inapopita kwa mabinti!, kisha unaandaa "manuscripts" na mkanda wa bure wa kusimulia kwa darasa kuhusu mwonekano wa ndani wa kila aliyefanyiwa utafiti at "at a partiular day"...pengine unakuta binti yu "smart out", BUT inside mmmh,.....kama sio hakuna hata "bahasha/kufuli" kabisa.....
 
Teh teh teh! Si unajua wamegundua kwamba mabinti wanafichaga vitu kwenye pochi ya mama isiyofungwa? Teh teh teh! Wanarudishia mlango to, labda wavu wa net unawekwa kuzuia direct vision. teh teh teh! Ni maendeleo ya aina yake hayo wamegundua. Na wao wachunguliwe bunduki zao huenda zinasimama wakati wote hasa wakati wa upekuzi wa kina mama. Risasi zinatokaga kisilence?
 
They must be joking....sometimes I think those guys giys could see our 'nakedness', im not sure about the human rights at the airport security. anybody plz update me for the same....
 
Back
Top Bottom