Largest Software Company in Tanzania

Chief Lugina

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
286
76
Kwa mjibu wa wikipedia 2009,10 largest global Software companies ilikuwa ni:

  1. Microsoft
  2. IBM
  3. Oracle Corporation
  4. Accenture
  5. Google
  6. Yahoo
  7. HP
  8. Symantec
  9. Capgemini
  10. Computer Sciences Corporation
Back to the heading hebu tuangalie hapa ni makampuni gani ya Software yanayoongoza hapa Tanzania......
Kama unajua kampuni ambayo unadhani inaweza kuwa blargest hapo home weka hapa chini mwisho wa siku tuje list ya ukweli. tutaanda badi ya majaji ambao watapitia hayo makampuni then tupate list ya uhakika ambayo itakuwa kwa mjibu wa JF.http://www.royait.net
 
No SAP, no Ericsson? Nadhani list imependelea US zaidi.
 
hiyo title imepinda kidogo. Nadhani unamaanisha 'the top SELLING software company in Tz. Ama sivyo tunatakiwa kutaja watengenezaji wa software Tz.
 
Kwa mjibu wa wikipedia 2009,10 largest global Software companies ilikuwa ni:

  1. Microsoft
  2. IBM
  3. Oracle Corporation
  4. Accenture
  5. Google
  6. Yahoo
  7. HP
  8. Symantec
  9. Capgemini
  10. Computer Sciences Corporation
Back to the heading hebu tuangalie hapa ni makampuni gani ya Software yanayoongoza hapa Tanzania......
Kama unajua kampuni ambayo unadhani inaweza kuwa blargest hapo home weka hapa chini mwisho wa siku tuje list ya ukweli. tutaanda badi ya majaji ambao watapitia hayo makampuni then tupate list ya uhakika ambayo itakuwa kwa mjibu wa JF.

hivi hizo kampuni zote nilizowekea red kuna ambayo ni kubwa kwa terms za software kuifikia REDHAT au ADOBE ???
 
Mi nadhani issue siyo kuwa na software nyingi,but unaweza kuwa nazo chache but ni popular na zinauzika sang! Fanyeni hv nitajieni makampuni makubwa ya kutengeneza software kwetu Tanzania!
 
Kupata data Bongo itakuwa ni ngumu sana maana hakuna kampuni public ya software, so financial statements ni siri yao, hakuna njia ya kufananisha.
 
Anzisha wewe hii kampuni. Be the change that you want to see in the world. Na wewe unatumiaga software?

Mi nadhani issue siyo kuwa na software nyingi,but unaweza kuwa nazo chache but ni popular na zinauzika sang! Fanyeni hv nitajieni makampuni makubwa ya kutengeneza software kwetu Tanzania!
 
Hapa unataka kujuwa kampuni ambayo ni largest software kampany in Tanzania na unaponda kwanini hakuna kampuni kama hiyo Tanzania.
Kwa mjibu wa wikipedia 2009,10 largest global Software companies ilikuwa ni:

  1. Microsoft
  2. IBM
  3. Oracle Corporation
  4. Accenture
  5. Google
  6. Yahoo
  7. HP
  8. Symantec
  9. Capgemini
  10. Computer Sciences Corporation
Back to the heading hebu tuangalie hapa ni makampuni gani ya Software yanayoongoza hapa Tanzania......
Kama unajua kampuni ambayo unadhani inaweza kuwa blargest hapo home weka hapa chini mwisho wa siku tuje list ya ukweli. tutaanda badi ya majaji ambao watapitia hayo makampuni then tupate list ya uhakika ambayo itakuwa kwa mjibu wa JF.

Hapa unataka software kwa njia za kiwiziwizi! sasa nani ataanzisha kampuni kama hii wakati wakununua hakuna isipokuwa wa kuziiba tu?! unashangaza sana watu wewe.
Please kwa yeyote mwenye Activation key za Artisteer naomba tafadhali!
 
Mkuu, thanks a lot but a source couldn't do anything bad.

as per January 2013 ni hizi
1. Microsoft
2. Oracle
3. SAP 
4. Symantec
5. VMware
6. CA Technologies
7. Adobe Systems
8. Intuit
9. Fiserv
10. Amadeus IT Grou
 
Nadhani tatizo hapa ni kuangalia software in the traditional sense ya kitu ambacho kinakuwa installed kwenye computer za watu binafsi na kampuni. Kuna kampuni kama Google ambazo ziko powered na software katika service zao au Apple ambayo unaweza kuargue kuwa mafanikio yao yametokana na software iliyopo kwenye devices zao.
 
Hii google Ina wafanyakazi wangapi hapa bongo?

Kuna kampuni nasikia zinatwa SATCONET na softech. ziko chini ya mmiliki mmoja.
badilisha footer yako Tazama michezo live katika gym nayotumia kukuzia misuli ya IT- http://teknohama.x10.mx/live-sports/
 
Back
Top Bottom